MAWAZIRI WA TANZANIA NA KOREA WAKUTANA, KUSHIRIKIANA KATIKA UJENZI WA MIUNDOMBINU.
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb) wamekutana na kuzungumza na Waziri wa Ardhi, Ujenzi na Uchukuzi wa Jamhuri ya...
Serikali inaendelea na ujenzi wa miundombinu bora ya barabara na madaraja ya kisasa ili kupunguza ajali za barabarani ambazo zimekuwa zikikatisha uhai wa wananchi wengi.
Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, Agosti 29, 2024 wakati akifunga Maadhimisho ya Wiki ya Nenda...
Tarehe 16.06.2023 zilisainiwa barabara 8 zaidi ya Km 2200 nchi nzima, ila mpaka leo hii hakuna ht moja iliyoanza kujengwa.
Ile ilikuwa ghilba? Walikuwa wanamdanganya nani, kwa faida ya nani. Tunaona Rais yuko bize na Kizimkazi, ni Rais yupi anafuatilia utekelezaji wa ujenzi wa ile mikataba...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali tayari imeelekeza kiasi cha Shilingi Bilioni 840 (Dola za Marekani Milioni 325) katika ujenzi wa miundombinu ya barabara, madaraja na makalvati yaliyoharibiwa na mvua kubwa za El-Nino na Kimbunga Hidaya ambapo maandalizi ya utekelezaji...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu kwenye maeneo yote yenye huduma za usafiri wa Vivuko na kupanga mikakati ya kudumu ya kujenga madaraja katika baadhi ya maeneo ili kupunguza changamoto zinazokabili uendeshaji wa huduma hizo.
Ushauri huo...
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imesema inajivunia kuwa sehemu ya mradi wa reli ya kisasa (SGR) uliozinduliwa hivi karibuni kwa safari ya kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma.
Akihutubia katika uzinduzi huo jijini Dodoma, Mheshimiwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliuelezea mradi huo kuwa...
Rais Samia Suluhu Hassan Serikali amesema Serikali ina mpango wa kuzifungamanisha huduma za Usafirishaji wa Treni za Reli ya TAZARA na za Reli ya Kisasa za SGR ili kuongeza ufanisi na kurahisha Usafirishaji nchini.
Rais Samia amesema hayo akiwa Mikumi mkoani Morogoro katika muendelezo wa ziara...
Kutokana na Soko la Kijichi lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ambalo lilijengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa Miundombinu katika Jiji la Dar es Salaam (DMDP) kwa mkopo wa Benki ya Dunia (WB), kuonekana limetelekezwa, ufafanuzi umetolewa.
Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com alidai...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) - Mwenge - Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa...
Kampuni binafsi ya kuzalisha umeme ya Madope iliyopo Wilayani Ludewa mkoani Njombe, imefikia makubaliano na Serikali ya kukabidhi miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mara baada ya kusainiwa kwa mkataba.
Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri...
RAIS SAMIA ATOA WITO WATANZANIA KULINDA MIUNDOMBINU YA BARABARA KWA MATUMIZI ENDELEVU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wasafirishaji wote nchini pamoja na Wananchi kuhakikisha wanalinda miundombinu ya barabara inayojengwa na Serikali...
RAIS SAMIA AELEZA JITIHADA ZA KUFUNGUA MKOA KATAVI KWA MIUNDOMBINU YA BARABARA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea na jitihada mbalimbali za kufungua Mkoa wa Katavi kwa kuboresha miundombinu ikiwa ni pamoja na ujenzi wa...
MKOA WA KIGOMA UTAKUWA MWANZO WA RELI KATIKA SEKTA YA MIUNDOMBINU: BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya miundombinu ya barabara katika Mkoa wa...
BASHUNGWA AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KARAGWE, MIUNDOMBINU YAENDELEA KUBORESHWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inyoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kuboresha miundombunu ya barabara katika Wilaya ya Karagwe hivyo amewataka...
Tanzania, kama nchi ambayo ukuaji wake wa kiuchumi unategemea sekta mbalimbali basi Masoko ya jumla yana nafasi kubwa na chanya katika pato la Taifa, kwani ukusanyaji wa mapato huwa ni kwa kiasi kikubwa katika masoko kulingana na shughuli mbalimbali zinazofanyika.
Pamoja na faida kubwa ambazo...
Nchi yoyote ile ili iwe na uchumi imara inatakiwa kuwa na miundombinu ya uhakika kwa ajili ya usafirishaji, usambazaji wa bidhaa kutoka eneo moja kwenda jingine.
1: Katika Tanzania tuitakayo tunataka kuona kwamba kuna miundombinu imara hususan barabara, Leo nataka kuongelea miundombinu ya...
Kwa miaka mingi hadi Sasa Tanzania imeendelea kukabiliwa na changamoto katika utoaji huduma ya maji Kwa wananchi pamoja na ubovu wa miundo mbinu hasa ya Barabara nchini. Changamoto katika maswala haya zimechangia Kwa namna Moja ama nyingine kufifisha Kasi ya uzalisha Kwa ghrama nafuu, kufeli Kwa...
Ili kupunguza changamoto ya foleni katika maeneo tofauti nchini Tanzania ni kuboresha miundombinu ya barabara zetu ambazo ndio chachu ya maendeleo kwa kiasi kikubwa kwani itapelekea Watu kuwahi katika maeneo yao ya kazi na shughuli zao na kuongeza kipato cha mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.