Ilikua ni kati ya kero zilizoibuliwa baada ya mgogoro wa Serikali ma Wafanyabiashara uliopelekea Majaliwa akiwa PM kuunda Tume.
Lakini yale yaliyolalamikiwa yamerudishwa kwa kasi ya ngiri na kodi zingine juu plus TOZO , huku TBS Ikiwa haina nia ya kuondoa kero hiyo