TBSyaingia mgogoro na wafanyabiashara baada ya kurudisha tozo ya 15% mizigo kutoka China

TBSyaingia mgogoro na wafanyabiashara baada ya kurudisha tozo ya 15% mizigo kutoka China

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Ilikua ni kati ya kero zilizoibuliwa baada ya mgogoro wa Serikali ma Wafanyabiashara uliopelekea Majaliwa akiwa PM kuunda Tume.

Lakini yale yaliyolalamikiwa yamerudishwa kwa kasi ya ngiri na kodi zingine juu plus TOZO , huku TBS Ikiwa haina nia ya kuondoa kero hiyo
 
Back
Top Bottom