Moja kati ya visa ambavyo bado vinaumiza vichwa vya watu mpaka leo hii ni kisa cha Treni Moja ya Kampuni ya Zannetti. Treni ambayo inadaiwa kupotea miaka ya 1800’s na imekuwa ikionekana kwa baadhi ya vipindi vya miaka, huku mara ya kwanza
Ikionekana miaka takriban 60 baada ya...
Watanzania wenzangu naomba mniunge mkono tuachane na hizi dini za kuletewa na meli ndege na majahazi!
Kama miaka mia iliyopita walitufundisha kuoa mwanamke mmoja tu tena hakuna kuachana mpaka kifo kitutenganishe tuliwaelewa japo kishingo upande tukauweka pembeni urijali wetu wa kuoa wanawake...
Jana mchana niliposema Waafrika tulimtuma Kolo Muani kuwapiga kibao Morocco kwa kusema wao sio waafrika na leo tunamtuma Kylian Mbappe kuwapiga ngumi Argentina ilionekana ni kama jambo jepesi lakini lilibeba maana nzito ya kiulimwengu! Waargentina waliwatesa Waafrika miaka ya 1870 hadi 1900 na...
Ndiyo asili ya Waafrka wengi, huwezi kumtoa mtu asili yake kirahisi rahisi.
Watu kibao nimewaona na chale za kwenye matambiko, niliwahi kuifanya kazi fulani iliyoweza kunipa access ya kuwaperuzi wanaume kwa wanawake wakiwa vifua wazi, ysani ni wengi tu wanazo chale za matambiko ama waganga...
MATATIZO YA IMANI ZINAZO PENDWA
Je wale wanao amini kuwa mwanadamu (roho) anajitambua baada ya kifo wanaweza kukataa kile kitakacho onekana kuletwa kwao na hiyo roho??
Imani kwamba roho za wafu zinarudi kuwahudumia walio hai inafungua mlango kwa ajili ya imani ya kisasa ya mizimu.
Ikiwa wafu...
Rais Samia Suluhi Hassan leo alitumia usafiri wa boti kutoka Zanzibar kuja Dar Es Salaam.
Je, huko kwenye Idara ya Ulinzi wa Rais kuna ambao ni manahodha wa boti au meli? Ambapo ikitokea Rais anatumia usafiri wa maji basi waweze kumuendesha?
Maana safari za namna hizi za Rais kutumia usafiri...
Waandishi wa Habari mkoani Arusha wametimuliwa kwa kupigwa na mawe ambayo hayajulikani yanapotokea katika Kijiji cha Kiwawa Wilayani Arumeru, ikiwa ni baada ya waandishi hao kufika kwenye eneo hilo kufuatilia taharuki ya wananchi kupigwa kwa mawe yanayohisiwa kurushwa na mizimu.
Ziara ya mkuu wa nchi anayondelea nayo nchini marekani zaidi ya wiki sasa ni nzuri sana ila ni lazima tuseme ukweli haitatuletea mapinduzi ya kiuchumi na nchi yetu kuwa na uchumi wa hali ya juu kama baadhi ya nchi za Afrika.
Ziara ya zaidi ya wiki moja ni kitu kikubwa sana kwa mtu ambaye...
Ni upumbavu wa hali ya juu wazee wetu waliotangulia mbele ya haki kuitwa mizimu halafu wale wazungu kuitwa watakatifu, nakereka sana.
Utasikia mtakatifu Yohana utuombee. Halafu sisi tukiwaambia wazee wetu watuombee mnasema tunaabudu mizimu.
Halafu sipendi kabisa mnavyosema sisi ni wapagani...
Mwaka 2005 nikiwa nimezama kwenye imani kali ya ulokole, hapo nikiwa kiongozi wa Ukwata na pia kiongozi wa kiroho kwa vijana wa mtaani kwetu (nilikuwa napita majumbani, naongea na wazee waniruhusu niwafundishe maadili mema watoto wao ikiwemo kazi za nyumbani na za kitaaluma).
Kutokana na tabia...
Mimi na uislam wangu, na uchaga wangu, na usomi wangu siachi matambiko
Huu ndio ukweli unaotusumbua watu weusi, Wazungu wana dini yao, Waarabu wana dini yao, Wahindi wana dini yao, Wachina wana dini yao, na wanaziishi dini zao, ila cc waafrika tulizikataa dini zetu.
UPOTOSHAJI KUHUSU MIZIMU YA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.