mizimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watakatifu ni wazungu waliokufa zamani. Waafrika waliokufa zamani eti ni mizimu

    Ni upumbavu wa hali ya juu wazee wetu waliotangulia mbele ya haki kuitwa mizimu halafu wale wazungu kuitwa watakatifu, nakereka sana. Utasikia mtakatifu Yohana utuombee. Halafu sisi tukiwaambia wazee wetu watuombee mnasema tunaabudu mizimu. Halafu sipendi kabisa mnavyosema sisi ni wapagani...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi mizimu ya ukoo ilivyonifanyisha Mambo ya kustaabisha baada ya kukataa kupokea mikoba ya waungwana.

    Mwaka 2005 nikiwa nimezama kwenye imani kali ya ulokole, hapo nikiwa kiongozi wa Ukwata na pia kiongozi wa kiroho kwa vijana wa mtaani kwetu (nilikuwa napita majumbani, naongea na wazee waniruhusu niwafundishe maadili mema watoto wao ikiwemo kazi za nyumbani na za kitaaluma). Kutokana na tabia...
  3. JamiiForums Tanzania Pamoja na usomi wangu siachi matambiko na mila ng'oo

    Mimi na uislam wangu, na uchaga wangu, na usomi wangu siachi matambiko Huu ndio ukweli unaotusumbua watu weusi, Wazungu wana dini yao, Waarabu wana dini yao, Wahindi wana dini yao, Wachina wana dini yao, na wanaziishi dini zao, ila cc waafrika tulizikataa dini zetu. UPOTOSHAJI KUHUSU MIZIMU YA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…