Alianza na nyoya moja la kuku alilo-okota njiani wakati akitembea matembezi ya jioni, lakini leo hii ni mfalme wa ufugaji wa kuku, akisambaza bidhaa zake katika masoko ya kimataifa.
๐๐๐๐พ sijui huwa mnatuonaje,ningekuwa na mamlaka nngechunguza biashara zenu
Mwanangu J yani huyu mama anapika chakula Cha kawaida sana yani
Gey. Sasa si umekipenda na kawaida yake hiyohiyo Mimi huwa siingii kula hapa
J. Siyo kwamba nakipenda na siyo kitamu kuliko Kwa Adelina
Gey. Ehee Mimi huwa nakula Kwa Adelina chakula chake kitamu lakini pia si unajua anatotozi...
Jaribu kupiga mahesabu:-
Unatakiwa uuze viberiti vingapi ili upate milioni moja kama faida?
Unatakiwa uuze pipi tofi n.k ngapi ili upate milioni moja kama faida?
Unatakiwa uuze pakti ngapi za chumvi ili upate milioni moja kama faida?
Unatakiwa uuzemiche mingapi ya sabuni ili upate milioni moja...
Ukiwa Mbeya ni sifa ya nyongeza ๐ค lakini popote tutazungumza tu.
Kuna malighafi ya kuundia manati mipira bora kabisa inatafuta mjasiriamali.
Acha kutumia iliyotumika kwanza ni hatari kiafya. Hizi hapa tekenya zimeisha muda wake badala ya kuzichoma hebu tufanye upcycle.
๐MHADHARA WA 13
Hello mjasiriamali mwenzangu. Naomba leo nishee mambo sita (6) muhimu ambayo ukiyazingatia hutopoteza wateja. Kama unataka kufungua biashara, au tayari umefungua biashara zingatia mambo yafuatayo;
1. UCHESHI NA MATUMIZI YA LUGHA
Jaribu kuwa mcheshi kwa wateja hata kama wewe ni...
Mashine ya kukamua na kuchuja juisi ya miwa inauzwa Ipo Mbeya Mjini popote inatumwa
Bei yake: 1.6 M.
๐๐ & Whasap 0757687358
Whasap & call 0757687358
Specification zake
1.size 48*38*78
2 voltage 220/50hz
3. Three crushing rollers
(Stainless)
4. Ipo na 3HP electric...
KAMA LENGO LAKO KUU NI KUZAA ILI WATOTO WAJE KUKULIPA FADHILA KWA MALEZI YAKO BASI NAKUSHAURI HAIRISHA KUWA MZAZI KWA SABABU WEWE NI MJASIRIAMALI NA SIO MZAZI.
Ni ushauri tu sio lazima ufuatwe na wote ila unaweza kuutafakari kabla ya kuupinga kwa mihemko ya hoja zisizo na mashiko.Kama hujui...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda amempatia kijana wa kiume mjasiriamali mwenye ulemavu kiasi cha Tsh Milioni 2 kama sehemu ya kujiendeleza katika biashara yake ya duka la vinywaji.
Mwenezi Makonda amefanya hivyo mara...
Dunia leo hii inawataja mabilionea wafanyabiashara wakubwa kama vile Bilgates, Carlos Slim, Abraham Markovich, Trump, Mc Donald, Jeff Bezos na wengine wengi waliofanikiwa kifedha na kupata umaarufu mkubwa kupitia biashara.
Imekuwa ni changamoto Kwa wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo...
Inakuwaje kijana unakuwa hupatikani mida ya kazi? Utetezi ni hakuna network au ilikuwa chaji, yaani saa 4 asubuhi simu inakuwa chaji si upumbavu huo?
Ukitumiwa SMS hujibu hadi upigiwe na kujitetea sijaiona message? Kwenye email ndo majanga matupu, wengine mna biashara ila hata ku-update mara...
Mimi ni Mariamu, mwanamke mwenye umri wa miaka 40, mke na mama wa watoto wawili. Kama mtoto, nilitamani siku moja kuwa mjasiriamali, lakini haikuwa rahisi sana kwangu. Nilipata elimu ya chuo kikuu na nikaanza kufanya kazi katika benki kubwa, lakini siku zote nilijua kuwa nina wito mwingine wa...
Kumekuwa na mijadala mikali sana kuhusu nini kitangulie kwenye maisha ya mjasiriamali/mfanyabiashara, nyumba au gari? Watu wengi sana wamekuwa wakikatishana tamaa kwamba kununua gari kabla hujajenga ni upuuzi na uamuzi mbaya. Ni kweli wana sababu nzito kwasababu ukiachana na nyumba kukuondolea...
Wapo watu wanaowakejeli waajiriwa wanadai eti kama "Mtu asiye na Elimu anaweza kuosha Magari mtaani na akaweza kukuza kipatoโ kuna sababu gani ya kuishi Maisha magumu Kazini au Ofisini ?
Upo Ukweli wa namna Fulani katika kauli hii kwakua wafanyakazi wengi wanaishi Maisha ya Ukata, kazi yao...
Yapo mengi umejifunza au unayafahamu. Kuhusu wateja katika biashara yako. Sababu biashara ndogo zinawahitaji zaidi wateja kuliko wateja wanavyozihitaji.
Ila kuna nyongeza katika hayo nayo ni kuhusu saikolojia hii kuhusu watu. Ndani ya kichwa cha binadamu huwa kuna kitu ambacho mara zote huoji...
Wakaazi wa Chato wakihojiwa na BBC mwaka mmoja tangu aondoke Magufuli wametoa hisia zao tangu aondoke mpendwa wao mzawa wa Chato ikiwemo sekta ya biashara na maendeleo.
Wakazi hao wamelalamikia mzunguko mgumu wa biashara kwasasa Chato huku viwanja navyo vikiporomoka bei kulinganishwa wakati...
Kumbuka kuwa thamani ya nyumba ya biashara inaweza kuathiriwa na muda wa mkataba wa upangishaji wa nyumba husika.
Nyumba ya biashara yenye mkataba wa upangishaji wa miaka mingi inakuwa na thamani kubwa ukilinganisha na nyumba ya biashara yenye mkataba wa miezi michache tu.
Vilevile jambo hili...
Naombeni tofauti ya hao niliowataja hapo juu. Zoeni lililopita lilikuwa la "Kuondoa wa Machinga" ukiingia kwandani utapata maswali.
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Mapato, kuna viwango vilivyotajwa ili apewe kitambulisho cha wafanyabiashara ndogondogo.
Mzunguko wa mauzo ghafi kwa mwaka yasizidi...