mji

Stone Town of Zanzibar (Arabic: مدينة زنجبار الحجرية‎), also known as Mji Mkongwe (Swahili for "old town"), is the old part of Zanzibar City, the main city of Zanzibar, in Tanzania. The newer portion of the city is known as Ng'ambo, Swahili for 'the other side'. Stone Town is located on the western coast of Unguja, the main island of the Zanzibar Archipelago. Former capital of the Zanzibar Sultanate, and flourishing centre of the spice trade as well as the slave trade in the 19th century, it retained its importance as the main city of Zanzibar during the period of the British protectorate. When Tanganyika and Zanzibar joined each other to form the United Republic of Tanzania, Zanzibar kept a semi-autonomous status, with Stone Town as its local government seat.
Stone Town is a city of prominent historical and artistic importance in East Africa. Its architecture, mostly dating back to the 19th century, reflects the diverse influences underlying the Swahili culture, giving a unique mixture of Arab, Persian, Indian and European elements. For this reason, the town was designated as a UNESCO World Heritage Site in 2000.Due to its heritage, Stone Town is also a major visitor attraction in Tanzania, and a large part of its economy depends on tourism-related activities.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamati ya mapokezi, Kuna wanawake ukionekana nao watu wanakuona wewe ni mgeni wa mji ama mgeni wa mapenzi

    Ni aina ya wanawake ambao wala hutumii nguvu sana kuwapata, cha kukupagawisha tu ni kwamba huwa ni pisi kali sana, wakimya, wanavaa fresh, hawana mdomo, unaweza kusema umepata kumbe hapo ndiko wageni wa mapenzi hujifunzia na wageni wa mji hupokelewa. Mbaya zaidi unakuta watu wanakuangalia tu...
  2. Maombi kwa Serikali: Itenge eneo maalum ujengwe mji mpya wa Diaspora kuwakaribisha nyumbani wachangie maendeleo

    Mimi ni mmoja wa diaspora, nimeishi na kufanya kazi maeneo mengi tu nje ya nchi katika mataifa mbalimbali. Nilianza kutembea nje ya nchi kupitia safari za maskauti ambazo zilitupeleka huko nje kuona maajabu ya ulimwengu. Baadae nikaingia vyuoni na kisha kuanza kufanya kazi hukohuko nikizunguka...
  3. Wamachinga waliosalia katikati ya Mji Iringa wasakwa

    Meya wa Manispaa ya Iringa, Ibrahim Ngwada amesema Wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao wakati wa usiku ni changamoto na hawatakiwi kuwepo maeneo hayo, hivyo watakamatwa na kushitakiwa. Meya Ngwada ameyasema hay oleo Aprili 12 alipokuwa akizungumza na Mwananchi mjini hapa, akisema licha ya...
  4. Mafinga ni mji wa kibiashara lakini nyumba za kulala wageni nyingi ni chafu

    Kwa wale wasio ufahamu huo Mji; kwa ufupi tu uko ndani ya Mkoa wa Iringa (Kilomita chache kutoka Iringa mjini kama unaelekea Mbeya, Njombe au Ruvuma), uko ndani ya Wilaya ya Mufindi, na ni mji maarufu kwa biashara ya mbao na pia nguzo! Maana uko jirani na kiwanda maarufu cha Sao Hill. Kwa kweli...
  5. Wana Songea, mbona mji wenu haukui? Tatizo ni nini?

    heshima kwenu Wana JF wote Nipo Songea kwa matembezi kidogo,nimekuja kwa ajiri ya mazao kipindi hichChcha maharage,na wilaya hii nishawahi kuishi Sana miaka hiyo mzee alikuwa anafanya kazi hapa Songea. Kwa kiasi chake Songea imebadirika lakini sio Sana ni baadhi ya maeneo. hasa pale mjini...
  6. Urusi yakaribia kuuteka mji wa Bakhmut katika mapambano makali na Ukraine

    Vikosi vya Urusi siku ya Jumanne vimeendelea na safari yao ya wiki moja ya kuuzingira na kuuteka mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine ambapo kamanda wa vikosi vya ardhi vya Ukraine alielezea hali kuwa "ya wasiwasi mkubwa". Wanajeshi wa Urusi, wakiwemo wapiganaji kutoka Kundi la Wagner...
  7. Ukiacha Dar, kuna mji mwingine wa kula bata nzuri na machimbo makali kama Moshi?

    Kwakweli mimi sijazunguka mikoa mingi sana ila kwa nilipopita bado sijaona sehemu nzuri za kula bata kama Moshi. Isipokuwa Dar es Salaam Kwanza nilichopendea hakuna sehemu ya kiwango cha chini zote ni kama VIP ambazo kwa Dar lazma ukute vinywaji vinauzwa bei juu. Pamoja na kuwapo na wageni...
  8. Jumaa Kareem, Ijumaa ni siku ya furaha kwa Waislamu wote, Hakikisha leo unafika Msikitini

    Mtume Muhammad (s.a.w) anatujulisha mambo mawili muhimu yanayofanya siku ya ijumaa iwe bora miongoni mwa siku za juma. Kwanza ni kwamba, hii siku ya Ijumaa ndiyo aliyoumbwa Adamu. Pili ni kwamba siku hii ya ijumaa, baada ya Adamu kumkosea Mwenyezi Mungu aliomba msamaha na toba yake ikapokelewa...
  9. M

    Picha na video ya mji wa Kitchanga jinsi M23 walivyoukomboa

    Baada ya mwanajamvi Justine Marack kuendelea na kisa chake cha kusisimua nimeingia youtube na kupiga screen shots na video mbili na kushare na nyinyi. Napiga picha mazingira magumu mtu wetu alivyopitia hapo Kitchanga. Video
  10. Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

    . Katika harakati zangu za kujikomboa na umasikini, niliamua kufanya ziara ya kusaka fursa Mpya nchini Congo. Nilikua tayari nimeshapata masimulizi mengi ya upatikanaji wa madini ya dhahabu na Rubi. Ni mnamo mwaka Juzi mwanzoni nikiwa mji wa Uvira amabapo jilikutana najamaa Akiwa na jiwe alilo...
  11. M23 wakamata mji FARDC na washirika wak wakimbia

    M23 wakamata mji wa Kishanga tena, Jeshi la Congo na washilika wake FDLR,MAIMAI NYATULA,CODECO,MAIMAI YAKUTUMBA NA WAZUNGU MERCENARIES waliopewa kazi na DRC wakimbia. M23 yatangaza vita rasmi kupambana na hivo Vikosi kwa kuwa wanafanya Mauaji ya kuwalenga Watusi,Hema na wanaozungumza...
  12. Mji wa Ukraine wa Soledar umetekwa lakini waliokufa wengi ni Warusi. Ipo vipi hii?

    Jeshi la Ukraine pamoja na msaada mkubwa wa NATO linazidi kuishiwa nguvu na hata habari za mrejesho kwa wafadhili wake. Mji umezingirwa tangu Agosti na hatimae warusi wawe ni kutoka Wagner au wapi lakini wamewatimua Waukreni kwenye machimboj ya chumvi yenye mapango mengi. Cha ajabu UK ambaye...
  13. "Panya" - alitolewa kwa helikopta na kusafirishwa hadi mji mkuu.

    KWELI DUNIANI WATU WAWILI-WAWILI... Jamaa huyo ambaye ni moja ya cast kwenye series ya MONEY HEIST anaefahamika kwa jina la Denver anaonekana kufanana au mwenye mwonekano unaofanana na OVIDIO GUZMAN the son of JOAQUIN EL CHAPO Tetesi hizi za kufanana kwa wawili hao zimechipuka na kuanza...
  14. Uzi wa kutaja na kuwashukuru wakazi wa mji au mkoa uliotusua kimaisha

    Sio lazima utaje kazi au shughuli yako. Ila mimi binafsi nawashukuru wakazi wa jiji la mbeya maana ndipo nilipotokea kimaisha baada ya kupuyanga na kuchochola saaaaaaana. Salute kwà mbeya na Wana mbeya.
  15. Urusi waanza kuondosha raia kwenye mji wa Nova huku Ukraine wakijongea kuukomboa

    Wazalendo wa Ukraine wanaendelea kudhihirisha walivyo balaa, Urusi ilijipigia kura na kusema italinda hayo maeneo kwa namna yote, ila hilo halijawa tishio kwa hawa vijana wa Ukraine, wanaendelea kutiririka kama machizi. Russian authorities in the occupied town of Nova Kakhovka in eastern...
  16. Pole DC Machali ila unapaswa uelewe Bukoba mji wa wabishi kila mtu mwanasheria, wanapikia hata kwenye lami hakuna wa kuwagusa

    Hakuna DC aliyewahi kuja Bukoba mwenye ujasiri na uthubutu kama Moses Machali. Kafanya mambo magumu bila kuogopa mtu, ametouch hata untouchable wa mji wakatikisika japo wamemsagia kunguni kwa Mama mpaka baasi, nawachosubiri nikuona Machali anatolewa Bukoba wafanye sherehe. Kwakweli mji huu uko...
  17. Ukraine wakomboa mji wa Snihurivka. Hivi ile kura ya maoni nini ilikuwa maana yake?

    Ukraine wanaendelea kukomboa miji iliyopigiwa kura za maoni na Warusi. Hivi yule kamanda wa Urusi tuliyeaminishwa ndiye muuaji namba moja kule Syria, mbona sijaona chochote cha ajabu kwake. ========= Ukrainian troops say they have taken back the key town of Snihurivka, 50km (30 miles) to the...
  18. Majeshi ya Urusi yaukimbia mji wa kherson.

    Wizara ya ulinzi ya urusi imesema majeshi yake yanajiondoa katika mji huo ili kupunguza madhara kwa vikosi vyake na kuokoa maisha ya raia wake. urusi iliuchukua mji huo kutoka ukraine kupitia kura ya maoni mwezi uliopita ya kujitenga na ukraine. ukiani haiitambui kura hiyo na imesema itatumia...
  19. Songea umeme unakatwa zaidi kuliko mji wowote Duniani kwa sasa

    Kila siku umeme wanakata na sasa ni masaa manne yamepita toka wakate na hakuna hitilafu yoyote bali ni maelekezo tu ya mtu mmoja. Anapiga simu na umeme unakatwa na akijisikia anapiga tena simu kuwasha umeme. Baa anatamba eti nitakata umeme, watu hauwezi, aah umekatwa sasa. Nimeota haya leo
  20. Kichapo kikali chatarajiwa Kherson mji mashuhuri Kusini mwa Ukraine

    Afisa mmoja mwandamizi wa Ukraine amesema Urusi inajiandaa kwa "mojawapo ya mapambano makali" katika eneo la kimkakati la Kherson lililoko kusini mwa Ukraine. Haya yanafanyika wakati ambapo Urusi inajiandaa kuutetea mji mkubwa ulio chini ya udhibiti wake nchini humo. Wanajeshi wa Urusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…