mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakati tunaendelea kula kuku tusisahau tulipotoka, wekeza siku ukiwahitaji usije kuwa mzigo

    Habari za sasa hivi wakuu?? Kimsingi maisha yetu wengi tunao ishi mjini yame anzia vijijini kama sio kusomea Basi kukulia Kama sio kukulia Basi asiri zetu ni vijijini Miji yote mikubwa duniani ilianza kuwa vijiji ikakuwa ikawa miji hatimaye majiji. Wakuu zangu mna kumbuka kuhusu funza, chawa...
  2. Ukifuatilia kile kinachoitwa ujanja wa mjini ndio ushamba wenyewe

    UKIFUATILIA KILE KINACHOITWA UJANJA WA MJINI NDIO USHAMBA WENYEWE Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Hakuna Watu Washamba na wajinga kama vijana wa mjini wale wanaojiita na kujiona wajanja. Ninawaita Washamba na wajinga kwa sababu ya mambo wanayoyafanya na yale wanaojivunia nayo. Taikon ni mtu...
  3. Tamthilia ya SIRI , imekaa kimchongo, ila Inaonyesha namna gan GOOD BOYS ,wakikutana na Wadada wa mjini , wanapelekwa mikono juu mwendo wa mateka 😅

    Hii Tamthiliyaa imekaa kimchongooo, uongo wa waziwazi !!. Sema Kuna huyu HILLARY A.K.A GOOD BOY... na Huyu SYLVIA , MTOTO WA MJINI. Good boy Leo kaambiwa Mimba imetokaaa baby 😅😅.
  4. Kama haumiliki gari mjini wanawake watakuona jau, labda uwe na pesa za mupemupe baongezee, botebote

    Habari nyote (Waguma), Hii ndio Dunia ilivyo mjitahidi uwe na gari hata kagari aina ya IST katakusaidia usionekane mnyonge na usipitwe na fursa ya pisi za mjini. Hio ndiyo kanuni hirizi ya mjapani hainaga punch ikienda imeenda. Tuendelee kuliombea taifa. Natamatika Wadiz
  5. Sugu amuonya Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Benno Mallisa

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini , Bilionea Joseph Mbilinyi, amemuonya Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Bwana Benno Mallissa kuacha kuhujumu Chadema , na kwamba akiendelea na jambo hilo Watu wa Mbeya watampiga Marufuku kuhudhuria Club za Starehe za Mji huo ( Inadaiwa...
  6. Tangu nilipwe mshahara wa December 2023, sijalipwa hadi leo, nipeni mbinu za kuishi mjini na mke na watoto wanne

    Kufanya maongezi marefu yafupike. Nilipokea mshahara wangu wa December 900,000. Baada ya hapo kampuni imekuwa ikipitia changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na mkurugenzi kuumwa. Maradhi ya mkurugenzi yanasababisha hela karibu yote iende kwenye matibabu. Mshahara wa January sijapewa na wa huu...
  7. Shinyanga Mjini ni kelele tu za bodaboda zilizotobolewa exhaust

    Yani imekuwa kero kwa baadhi ya wananchi tunao ishi katika huu mji, yaani bodaboda zinatobolewa exoz yaan ni vijana kushindana kupiga vibuyu tu. Ukiaa kidogo maraa paaaaaaa! Ukigeuka tu kidogo tena mara puuuu puuuuu, yaan kiukweli imekuwa ni kero na binafsi nashindwa kuelewa vyombo vyetu vya...
  8. M

    Kama hivi ndivyo unavyoishi mjini ni bora urudi tu kijijini ukaishi kulingana na kipato chako

    KAMA HIVI NDIVYO UNAVYOISHI MJINI NI BORA URUDI TU KIJIJINI UKAISHI KULINGANA NA KIPATO CHAKO. Yawezekana hii isiwe makala nzuri kwa waishiyo mijini huku wakijisifu kila siku na kuwabeza waishiyo vijijini ila ukimakinika na kuchukulia chanya basi kuna jambo utajifunza. Kuishi mjini ni ndoto ya...
  9. Uchaguzi wa CHADEMA Mbeya Mjini ni moto, John Mwambigija Maji ya Shingo, akabiliwa na Ushindani mkali

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , leo 09/02/2024 kuna Uchaguzi wa Viongozi wa Chadema Mbeya Mjini . Habari zinadokeza kwamba Ni kama vile Mbeya Mjini leo ni siku ya Mapumziko , huku wafanyakazi wa Serikali na makampuni wakitoroka makazini mapema , kwa kisingizio cha ibada ya Ijumaa ...
  10. M

    Wapi nitapata kazi ya malipo ya 5000 kwa siku?

    Wakuu naomba mnisaidie connection au sehemu ambayo naweza kupata kazi ya malipo ya kiasi cha shilingi elfu tano kwa siku MWANZA MJINI au ILEMELA kama ipo. NB: Wakuu hata kazi ngumu za ujenzi pia kama zinapatika naomba mnielekeze nikaombe kazi.
  11. Rais Mwinyi msimamishe kazi DC wa mjini unguja , kukaa kimya ni kuidhinisha kauli yake ya kibaguzi

    DC wa Wilaya ya Mjini Unguja amepiga marufuku kwa watu wa jamii ya kimasai kutembea na rungu na sime akiviita kama silaha. https://youtu.be/W-xkQJRDO0c?si=AFIG5omTxVoCeNyZ Kauli yake si tu inavunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bali inakiuka mikataba mbali mbali ya kimataifa...
  12. Usije na jembe mjini

    Wakati fulani katika kijiji kimoja, mtu mmoja aliwatangazia wanakijiji kwamba angenunua nyani kwa Sh. 10,000. Wanakijiji, waliona kwamba kulikuwa na nyani wengi karibu. Wakatoka mpaka msituni na kuanza kuwakamata.........Mtu huyo alinunua maelfu kwa Sh. 10,000 na usambazaji ulipoanza...
  13. INAUZWA Bed sofa ya chuma inauzwa, ipo Moshi Mjini

    Bed sofa ya chuma 5kwa6. Bei nafuu kabisa 250,000 rangi hiyo... Mawasiliano. 0672701329....au.....0756294771.... Asanteee.... Wako katika biashara mtandao...
  14. E

    Chanzo cha Mafuriko Morogoro mjini ni tuta la SGR, mamlaka zishughulikie hili

    Natamani ukweli huu uwafikie wafanya maamuzi. Kampuni ya Kituruki ya Yapi imeinua tuta kubwa na refu kwa ajili ya kupitisha reli ya SGR badala ya nguzo. Kisha wakaweka outlet mbili za kupitishia maji. Matokeo yake tuta limekuwa likiyablock maji kutoka milima ya azimio na Lukobe kusambaa kwenye...
  15. Kahama na Mwanza Mjini: Naomba kujua wapi panafaa kuwekeza lodge ya kisasa

    Habari wakuu; Naomba kufahamishwa kati ya wilaya Kahama na Mwanza mjini ni wapi pazuri kuwekeza Lodge ya kisasa na biashara ikasonga? Zingatia haya unaposhauri; 1. Upatikanaji wa kiwanja wenye ukubwa wa angalau ukubwa wa mraba 30mx40m 2. Maeneo yapi mwa mji utapata ukubwa huo na bei yake 3...
  16. Mjini Shule kuwa makini

    Bibi mmoja aliyefahamika kama Bi Shida aliingia katika Benki asubuhi moja akiwa na mkoba uliojaa pesa. Alikuwa anataka kufungua akaunti ya akiba na aliomba kuzungumza na meneja wa benki kwa sababu alikuwa na pesa nyingi. Baada ya majadiliano marefu (mwishowe, mteja ndiye mwenye haki)...
  17. P

    Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  18. House4Rent Kwa mahitaji ya vyumba na nyumba za kupanga, fremu za biashara Arusha na Moshi mjini

    Habari ndugu wananchi wa mikoa ya ARUSHA NA KILIMANJARO..., Kwa mahitaji ya..., 1.Vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF , AU VYA KAWAIDA) , 2. Nyumba NZIMA ZA KUPANGA , 3. Fremu za biashara MOSHI na viunga vyake , 4. MAJENGO mazuri na yanayofaa kwa kuweka 4.1 Ofisi za taasisi, 4.2 GODOWN , 4.3...
  19. T

    Shule za mjini vs shule za vijijini zipi zinapitia changamoto nyingi?

    Wanajamvi kwema Moja kwa moja niende kwa mada. Kuna sehemu nimeona hii mada inasema hivi “Kati ya shule za mjini na shule za vijijini ni wapi wanafunzi wanapitia changamoto nyingi sana” Toa maoni yako na sababu.
  20. Kituo kinachofuata ni Mtwara mjini. Wadau wa Mtwara mjini nipeni ruti

    Wakuu kwema? Ziara ya Nachingwea imetamatika sasa naja Mtwara mjìni. Wenyeji wa Mtwara mjini naomba mnipe maelekezo. Sehemu zipi za kuburudika? Na kuhusu wale watu wetu wa jinsia pendwa ni sehemu ( kiwanja gani ? Bar au club) nikienda nitakutana na watoto wenyeji yani wazawa wa hapo hapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…