Mimi umri wangu ni miaka 40 na zaidi kidogo, naish Dar es salaam na nimezaliwa hapa hapa Dar japo mie sio mzalamo,
Siku moja miaka 10 iliyopita nilipokea taarifa kuwa dada yangu wa mwisho kuzaliwa kwenye tumbo letu ni mjamzito na mimi kaka mkubwa kwenye familia nafichwa, sababu dada alikuwa...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!
Ikiwa Leo ni Kilele Cha siku pendwa kabisa duniani,siku ya mwanamke,Napenda kuchukua fursa hii kumtakia heri Mjomba wangu GENTAMYCINE popote pale alipo ,Hakika Mjomba ni mama!
Mjomba baadae tukutane Kwa Mkapa Ili siku yako ikawe Bora na Murua kabisa...
Heri ya mwaka wanajf
Kwa wakazi wa Arusha tunajua vilivyo huu mji ulivyobarikiwa na pisi kali za kila aina hadi sio poa
Sasa tuingie kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nina mjomba wangu mmoja yuko kwenye 50's+ lakini kwenye maisha yake wanawake hawajawahi kumpa shida...
Ndugu zangu kuishi Afrika lazima uweze kuvumilia kero za watu lasivyo patakushinda
Kero kubwa ya Afrika ni watu kutaka kujua siri zako na mambo binafsi yanayohusiana na faragha
Labda nianze kwa kujielezea kiasi, mimi ni baba wa watoto wawili wa kwanza ana miaka mitano wa pili miaka miwili...
Habari za Jumapili ndugu zangu kaka/dada zangu wote kwa ujumla Natumaini mmeamka vema, Mimi pia mzima,
Sawa Mimi sio mwandishi mzuri Wala mwandikaji ila lengo la Uzi ni kwamba kuna situation naipitia. Nina watoto kadhaa nipo pia na mama yao, hapa nyumbani baada ya maisha kuwa sio sawa kidogo...
Katika Makuzi yangu ya Maisha, nilipata muda wa kukaa kwa Mjomba Wangu, kwa muda wa mwaka mmoja. Hizi ndo kauli za Mjomba Wangu.
1. Kula sio leo tu hata kesho utakula, akimaanisha mwanadamu anakula siku zote.
2. Mwanadamu damu, mwanadamu sio mbuzi. Huwezi kumuongoza mwanadamu unavyotaka...
Ukiangalia wilaya ya hai kijiji kizima na vitonoji vyake kakabishiwa Mjomba wa Oman. Huu uwekezaji wa kufuta vijijiipo siku watafuta mkoa mzima na kuwakabidhi wajomba, tuendelee kusapoti ujinga na kuona hayatuhusu haya.
Kasi ya kufuta vijiji na kuwakabidhi maeneo wawekezaji ni kubwa sana, na...
Watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara.
Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.
Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini
1. TRA
2. BOT
3. DCEA
4. TISS
5. IMMIGRATION
6...
Huu ni mtihani wangu mkubwa, ipo hivi nina mjomba yangu ambaye ni mdogo wake mama yangu mzazi, kiumri ni mdogo kwangu kama miaka 5 hivi, huyu mjomba pamoja na wajomba wengine wawili na mama zangu wadogo, makuzi yao ni wamepita kwenye mikono ya mzee wangu...
Kuhusu mkataba wa kilaghai wa kuchukua Bandari zetu milele na kuwakabidhi Waarabu wa Dubai, kama si kwa maslahi yake na wajomba zake Waarabu, basi na awakane sasa hao waarabu ndio tujue ana nia njema na uko kuuza bandari za Tanganyika.
Mama lazima aambiwe ukweli kwamba hata kama alikuwa na nia...
Je ni dhambi kuoa mke zaidi ya moja ?
Kama ni dhambi, hio ni dhambi ipi waliyoitenda pia kina Musa, Lameki, Yakobo, Daudi, n.k. kwa kuoa zaidi ya mke moja ?
Wanasiasa wa Tanzania wana roho ngumu sana. Wapo tayari kulinda madaraka lakini siyo kulinda ndugu zao.
Mimi sikujua kama Nape ni mjomba wa Tundu Lisu; kama Nape na Lisu ni ndugu basi siasa imefika pabaya. Kwamba mjomba wako anapigwa risasi unashangilia? Kwamba Mama Samia aliweza kuwa na utu...
umri wake ni miaka 47 Kwa Sasa amekuwa akisumbuliwa na tatizo la tumbu yaani akienda hospital kupima anakutana na shida za kawaida tu kama typhoid au minyoo au vidonda vya tumbo na wakati mwingine hakutwi na tatizo lolote. Na amekuwa akipewa dawa, lakini anapata unafuu wa mda mfupi.
Hali hiii...
Ndugu zangu napenda niwaambie kuwa Tanzania itajengwa na sisi wenyewe watanzania, Hatuna mtu atakuja kutujengea nchi yetu, Katika kufikia ndoto ya Tanzania tuitakayo na kuwa Kama ulaya Ni lazima tufahamu kuwa Kuna kipindi Cha mpito.
Lazima tupitie maumivu Kama walivyo pitia mataifa ya ulaya...
Familia nyingi sana za ki Afrika zina mpasuko mkubwa. Ndugu wa mume wakitembelea familia hufanyiwa vitimbi na vibweka vya kila aina.
Wakija dada wa baba wa mwenye nyumba watasimangwa kwa maneno mbalimbali kwamba wamekuja kuvunja ndoa, wameleta uchawi na mbaya zaidi inafikia wanakataliwa hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.