Sio Lazima Kuisubiri Serikali Kwa Kila Kitu.
Masikini Watanzania wengi bado wanadhani serikali ni baba mama au mjomba. Ukifuatilia taarifa za habari zilizoko redioni, magazetini na kwenye runinga utashangaa jinsi watu wanavyoisubiri serikali iwafanyie vitu ambavyo wao wenyewe wangepashwa...
Furaha Dominic ambaye ni mpwa wa hayati Magufuli aliyegombea ubunge jimbo la Kawe na kushika nafasi ya kwanza huku Pascal Mayalla akiwa wa 162 amesema siku atakayokutana na Rais Samia atampa orodha ya Wafitini wote waliomzunguka.
Furaha anadai CCM kumejaa siasa chafu za kupakana matope...
Kwa kipindi kama cha miaka mitatu amekuwa akiwa na msimamo wa kutaka kufanyiwa mazshi kwa kuchomwa mauti yakimkuta
Sababu zake mpaka sasa hazijaniingia akilini, yeye hataki mwili wake uoze taratibu, sijui mambo ya mwili kutumika msukule, kuhofia kwamba ataamka akizikwa 😂 😂 n.k.
Familia yake...
Polisi, Uhamiaji, Magereza na Zimamoto. Wote ni wizara moja. Sayansi mliyotumia inashangaza.
Hivi mnajua kwamba tunao-graduates wanauza chai kwenye vihoteli vidogo?
Mnajua kwamba kuna graduates wanaendesha bodaboda? Mnajua kuwa form six leavers wanauza matunda stendi na wengine ni vibarua wa...
Habari zenu ndugu zangu. Leo nimekuja na ushauri mzuri kwa mjomba wangu Mbowe ili umsaidie kulinda heshima yake kidogo aliyobaki nayo.
Najua ni ngumu kukuubali ushauri wangu, na ukizingatia ushauri huu ni wa kumnyanganya tonge mdomoni kumpa mtu mungine, ila kama akiuangalia kwa makini ushauri...
Habarini za leo wakuu,
Wakuu hivi ninyi mlishawahi fanikiwa kusave hela za Bumu zikawatoa.
Binafsi mimi kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza pale MZUMBE mjomba alinihusia sana swala la kusave bumu. Aliniita varandani akanisisitiza sana mjomba chondechonde ukipata Bumu uwe unalisave...
Tusiache kutoa ushauri pale panapoitajika.
Kuna anko wangu mmoja nilimpa ushauri kuhusu mwenendo wa mke wake kwa siku hiyo nilionekana mpuuzi leo, yamemkuta mke wake kamtumia watu wampore pesa na kumvunja miguu. Leo analia kama mtoto nakusema anko bora ningekusikiliza.
Na anataka msaada wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.