mjumbe wa nyumba 10

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. winnerian

    JamiiForums Tanzania Kwa vigogo wote wa serikali na wananchi kwa ujumla

    Kumbuka, umekuwa ukijulishwa vitu vingi; umekuwa ukipewa taarifa nyingi kabla ya wewe kutenda au kutendewa chochote. Umejiaminisha kuwa hakuna kitu chochote kibaya au kizuri kitakachokupata bila wewe kuwa na taarifa ya mapema. Lakini, wakati wako wa kuaga dunia ukifika—muda wa kufariki...
  2. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Leo 8/6/2024 asubuhi Mjumbe wa Nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM

    Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa ametumwa na Katibu wa CCM kata kuorodhesha watu na kadi zao. Jibu nililompa ni kuwa mimi sina chama na ni...
Back
Top Bottom