Unapambana Biashara Ikue, Lakini Gharama ya Mkaa Inashusha Faida... Una Mpango Gani?
Fikiria hivi kwa Kg 5 za Mkaa Utaweza Kupika Chakula Cha Kilo 30 kwa Wakati Mmoja ?
Hii Inawezekana Kama Ukitumia Jiko Bomba La kg 30 ...
Hili Ni Jiko Kubwa La Kupikia Chakula Mpaka 30kg Kwa Wakati Mmoja...
Uchafu wa Maji ya Bomba kwa Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph na Mbezi Mazulu.
Sisi wakazi wa maeneo ya Kimara kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph, na Mbezi Mazulu tunakumbwa na changamoto kubwa ya maji machafu kutoka kwenye mabomba.
Kwa...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha Taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo yanahudumia watu zaidi ya 100, kutekeleza bila shuruti agizo lake la kuitangaza Disemba 31, 2024 kuwa siku ya mwisho kwa matumizi ya...
Habari!
Sisi ni wazalishaji na wauzaji wa mkaa wa kawaida. Tuna vibali vyote vya wakala wa misitu, na mkaa wetu unazalishwa kutoka kwenye misitu endelevu iliyo ruhusiwa kuvunwa.
Gunia zetu zimeshonwa vizuri na haziendi zikidondosha mkaa, tunatumia mifuko mipya na kamba madhububuti kusuka...
Wakuu naomba kuuliza anayejua bei ya mkaa wa mawe ( coal ) unapopatikana bei zake kwa tani na taratibu za kununua tujulishane.
Nahitaji kwa ajili ya matumizi ya kiwandani.
RIPOTI kutoka Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili, Mirembe imeeleza kuwa mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa wakati anafanya tukio hilo la mauji alikuwa ana shida ya akili.
Taarifa hiyo, imetolewa leo...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo.
Utekelezaji wa hoja ya Nishati safi ya kupikia, unahitaji zaidi utashi wa kisiasa kuliko ahadi za maneno na kuwagawia bure mitungi ya gesi watu masikini wa kutupwa wanaoishi kwenye lindi la umasikini uliotopea ambapo hawana uwezo wa...
Habari ndugu zangu,
Natafuta Masoko ya Mkaa na Mbao...Na bei zikoje. Nachana mbao za mti wa Mtondoo na Mkurungu kwa saizi zote kulingana na mahitaji ya mteja.
Nina uwezo wa kusuply gunia 200 hadi 300 kwa mwezi za mkaa...Nina vibali vyote vya wakala wa misitu (TFS) Nasikia pia kuna soko la...
Mimi napenda sana kupika kwa njia mbalimbali,isipokuwa kuni na mkaa wa kawaida situmii kabisa,sasa natafuta mkaa mbadala ntaupata wapi.?Kama kuna mdau humu anajua ntaupata wapi na kwa bei gani naomba anisaidie
Okoa maisha ya uwapendao kwa kuacha matumizi ya nishati zisizo safi za mkaa, kuni na nyinginezo. Matumizi ya nishati zisizo safi husababisha athari za kimazingira zinazopelekea mabadiliko ya tabianchi kama kuongezeka kwa joto, mvua zisizokuwa na mpangilio, ukame pamoja na uharibifu wa mfumo wa...
Tunapozungumzia ukuaji wa maendeleo hapa nchini,hatuwezi kusahau matumizi ya nishati mbadala ya gesi safi ya kupikia majumbani.
Inakadiriwa zaidi ya hekta 469,420 ya misitu huharibiwa kila mwaka kutokana na ukataji miti kwa ajili ya matumizi ya nishati ya mkaa na kuni. Zaidi ya asilimia 16 ya...
Watoto wadogo ukiwauliza kwamba ukiwa mkubwa unataka kuwa nani? Utasikia vitu vingi sana ila ngoja akue sasa akutane na mwalim Dunia, wee utamkuta anachoma mkaa.
Story ya watoto inafanana na ya ndugu zetu kolokopo. Kipindi msimu unaanza walikua wanabwabwaja balaa, kwasasa naona kimya...
Serikali imejipanga vipi kuhakikisha mwananchi wa kawaida anatumia gesi au umeme kupikia?
Je, huu uamuzi wa serikali kuwataka wananchi kutumia gesi badala ya kuni na mkaa, imefanya tathmini ipi na kugundua kuwa wananchi wa kawaida wanaweza kumudu gharama za matumizi ya gesi?
Kama serikali ina...
Nyumba inauzwa mbezi kibanda cha mkaa
Nyumba ina vyumba vitatu,kimoja self
Ina sitting& dinning room
Ina kitchen na Public toilet
Nyumba imeisha bado kufanya finishing
tu kama utakavyohitaji wewe
Bei mln 30 maongezi yapo
Ipo umbali wa km 2 kutoka barabara ya morogoro road
Eneo la kiwanja ni mita...
Kuni na mkaa ni vyanzo muhimu vya nishati kwa kupikia na kupasha joto, ambapo inakadiriwa kuwa 90% ya watanzania wanategemea kuni na mkaa kwa mahitaji ya nishati (HBS 2020 report). Pamoja na jitihada nyingi zinazofanywa na serikali, mashirika ya kitaifa na kimataifa ya kuhamasisha watu kutumia...
Ipo haja kutekeleza kivitendo makatazo ya taasisi mbalimbali nchini Tanzania kutumia nishati ya mkaa na kuni kulisha watu wao
Taasisi kama vile
Vyuo Vikuu
Magereza
Mashule
Viwanda vya chai na tumbaku
Nakadhalika
Hawa wote wapigwe marufuku kutumia mkaa na usimamizi wa NEMC uwe wa kivitendo...
Bomba kubwa la maji linalogawa maji katika maeneo ya Kibanda cha mkaa, Kwa Msuguri, Temboni na suka, Lapata hitilafu hivyo kuna hatihati ya kukosa maji kwa siku hizi mbili tatu.
Habari ndugu wateja kutokana na Mvua kubwa imeathiri miundombinu ya Bomba kubwa eneo la kibanda Cha mkaa linaloleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.