mkaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mparee2

    Kutaifisha Gari lililo beba mkaa, hii ikoje kisheria?

    Wana jukwaa kwa mtazamo wangu naona kuna kitu hakipo sawa hapa hivi inakuwaje dereva mwenye Leseni sahihi uliyemtuma kazi apeleke mzigo mahali aamue kuchanganya na mkaa au pengine wakati anarudi abebe mkaa akamatwe halafu gari litaifishwe? Naweza kuhusianisha kosa hilo na mifano ifuatayo; Hivi...
  2. M

    Nauza Mkaa Gunia 700 kwa shilingi 10,000 kwa kila Gunia

    Habari zenu wapiganaji, nina kibali cha kuandaa Mkaa kutoka shambani kwangu gunia 700, mm naziuza kwa kila gunia shilingi 10,000 kutokea shambani. Gharama za usafirishaji ni juu yako pamoja na tozo ya TFS. Vibali vyote ninavyo. Anayehitaji aje Inbox tuongee. Njoo na Gunia zako upime mwenyewe...
  3. beth

    Geita: Jiko la mkaa laua Mama, watoto wawili

    Mkazi wa kijiji cha Busanda kata ya Busanda wilayani Geita Unice Kulwa(25) na wanawe wawili wamepoteza maisha baada ya kukosa hewa kutokana na kuingiza jiko la mkaa alilokuwa akipikia maharage kwenye nyumba waliyolala. Mbali na vifo hivyo pia baba wa familia hiyo Kulwa Kamili amenusurika kifo...
  4. Livingson1

    Bei za gesi zipungue ili matumizi ya mkaa yapungue

    Kushuka kwa bei za gesi asilia kutaongeza matumizi ya gesi asilia hivyo kupunguza matumizi ya mkaa ama mkaa usitumike kabisa. Hii ni njia mojawapo ya kutunza mazingira yetu. Hii itapunguza kukata miti hovyo na kutunza uoto wa asili Kuwa na hali ya hewa safi kwa vile miti hutumia hewa chafu...
  5. Zero Competition

    Mkaa unapoisha tunaona, kwanini gesi inapokuwa inaisha hatuwezi kuona mpaka tutingishe mtungi?

    Ukiwa unatumia mkaa una uwezo wa kuona wakati mkaa unaishia na kuweza kukadiria kama huo mkaa uliobaki utakusogeza hadi siku gani lakini hali iko tofauti kidogo katika matumizi ya gesi. Raha ya gesi ni pale tu unapobadirisha dukani kwa kununua gesi mpya mana hapo una uwezo wa kukaka hata wiki...
  6. Kidagaa kimemwozea

    Kwanini jiko la mkaa ukiwa ndani linaweza kupelekea vifo

    Imekuwa sio ajabu kusikia watu wamekutwa wamefariki ndani baada ya kulala na kuacha jiko la mkaa likiwaka. Lakini swali ambalo watu wamekuwa wakijiuliza ni, nini hutokea na kusababisha kifo pale mtu anapoacha jiko la mkaa likiwa linawaka huku akiwa amefunga madisisha na vyanzo vingine vya...
  7. S

    Jipatie mkaa mzuri gunia 70,000 mpaka ulipo nauleta

    Habari wakuu, ninao mkaa mzuri sio mabua gunia lenye ujazo mzuri,bei Kama utaubeba mwenyewe toka maeneo ya kigogo gunia ni elfu 65/kama utahitaji nikuletee ndani ya dar gharama ni elfu 70.tafadhali nicheki 0719848528 tufanye biashara
  8. A

    Njoo tuwekeze kwenye biashara ya mkaa kijana mwenzenu sina mtaji

    Habari za kazi wakubwa Biashara ya mkaa Ni biashara ambayo inawez kukutoa kutoka sehemu moja kwenda nyingine ,hivo kwa fursa hyo napenda yeyote ambaye atakuwa vizuri tuwekeze pamoja katika mchanganuo huu lakin kwa upande wangu nitawekeza nguvu zaidi (yaani Sina mtaji). Update: Biashara yetu...
  9. mwanateknolojia

    Hizi kodi na tozo za mkaa ni kodi za dhuluma Serikali iziangalie upya

    Niende moja kwa moja katika maada yangu. Nina amini kuwa humu ndani ya JF kuna watendaji wa serikali wakiwemo wa wizara ya Maliasili na utalii na pia wa wizara ya fedha na wa TRA. Ningependa sana na wale wote mlio kirani Mhe. Rais na Makamu wake muwafikishie kilio hiki. Kiukweli biashara ya...
  10. Analogia Malenga

    DC Rorya apiga marufuku uchomaji mkaa

    MKUU wa Wilaya ya Rorya, Simon Odunga amepiga marufuku uchomaji mkaa wilayani humo na kuonya serikali itawachukulia hatua kali baadhi ya wazazi wanaotumikisha watoto wadogo katika shughuli hizo. Mkuu huyo wa wilaya ametoa agizo hilo wakati wilaya hiyo ikianzisha mkakati maalum wa utunzaji...
Back
Top Bottom