Tundu Lissu kWa sasa ni mlemavu, hiyo no reform no election ni mkakati wake ili tupambane na dola tuumizwe tuwe kana yeye, mwenzetu kila baada ya muda anaenda kucheki afya ulaya, mm hata nauli ya kwenda Temeke hospitali ntakuwa nayo? after all watoto wake Lissu wako ulaya mm wa kwangu wa...
Taifa linaangamia na kutengeneza jamii ya mataahira. Wakuu wangu wa serikali nawaheshimu sana lakini hapo mmekaa kimya. Kusema serikali haina dini mnamaanisha matapeli waliojificha kwenye imani ya dini mkono wa serikali ambao tunajua ni mrefu hauwafikii hawa matapeli na ambao asilimia kubwa wapo...
Bingwa yeyote humtazama adui na kumdhoofisha nguvu zake! Miaka yote ambayo ccm ilikung'utwa sana majimboni zilitumika mbinu za kijasusi kuwafarakanisha 'na kuwatafuta wale ambao ni turufu yao kubwa waje upande wa pili ili kuwapandisha presha na kunogesha mpambano ,hapa haihitajiki Tena cv ya mtu...
TANZANIA NA KOREA ZAJADILIANA NJIA BORA YA KUENDELEZA MADINI MKAKATI
▪️Waziri Mavunde asisitiza ushirikiano kwenye utafiti wa madini na uongezaji wa thamani madink
▪️Korea yaonesha utayari kuwekeza nchini katika uendelezaji wa madini mkakati
▪️Serikali ya Tanzania kuandaa mkakati maalum ya...
Kama kuna vitu vya kipuuzi, kijinga na kipumbavu basi ni uwepo wa mikakati madhubuti kutoka kambi zote mbili zinazovutana sasa (Mbowe na Lissu) kutengeneza mikakati tofauti tofauti wa kuwarejesha wasaliti wa Chadema (Dr. Slaa, Msigwa, Covid 19).
Upande wa kambi ya Mbowe wao wanatengeneza...
▪️Waziri Mavunde ainisha Mkakati wa uongezaji thamani Madini
▪️Taasisi za Jiolojia na Utafiti Madini za Tanzania na Uingereza kushirikiana
▪️Watanzania kujengewa uwezo kukuza ujuzi
📍Dar es Salaam
Serikali ya Tanzania imeihakikishia Serikali ya Uingereza kuendeleza ushirikiano kwenye sekta...
Niko napiga jalamba humu beach ya Mbezi Beach kwa kweli hizi FUKWE ni chafu sana. Ni bahati mbaya pia kwamba hizi ndio FUKWE zilizopo ukanda wenye Mahoteli ya Kitalii kama vile White Sands, Ramada, The Waves, Landmark nk....Mkuu wa Mkoa wa Dar hili ni la kulivalia njuga kama mlivyofanikiwa Coco...
Erick Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi anayeheshimika, ametoa
kazi ya kipekee katika kitabu chake kipya kinachotarajiwa, In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist. Kwa simulizi zake zenye ujasiri na mada zenye msisimko, kitabu hiki kimeanzisha mijadala kila mahali...
Bodi ya Wakurugenzi ni chombo nadi ya kampuni au shirika chenye lengo la kusimamia maslahi ya wanahisa/wanachama kwa kuhakikisha kwamba kampuni au shirika linaendeshwa kwa kufuata misingi na taratibu zilizowekwa, ambapo Bodi ya Wakurugenzi ndio yenye jukumu la kuandaa misingi na taratibu hizo...
Blue Ocean Strategy ni nini?
Blue Ocean Strategy (Mkakati wa Bahari ya Bluu), ulioanzishwa na W. Chan Kim na Renée Mauborgne, ni mbinu ya ubunifu wa biashara na ukuaji. Badala ya kushindana kwenye masoko yaliyojaa (red oceans), mkakati huu unalenga kuunda masoko mapya yasiyo na ushindani (blue...
Naona kama kuna mkakati wa kuidhoofisha Chadema kuelekea uchaguzi. Lissu akiwa anatumika na dola yuko mstafi wa mbele kutengeneza mgawanyiko hasa baada ya Msigwa kuishambulia sana Chadema, lakini akagonga mwamba.
Wana chadema, tukija kustuka, chama chetu kitakuwa hoi bin taaban, watu...
CHADEMA mkimchagua Mbowe awe mwenyekiti tena tegemeeni uchaguzi wa 2025 kuwa kama wa 2024, 2020 na 2019. Mbowe hana mbinu mpya au hamasa ya kushawishi mabadiliko ya uchaguzi 2025, Lissu ndio mtu sahihi wa kuongoza na kuleta mabadiliko mwakani.
Mbowe alifaa kuwa mwenyekiti enzi za JK ila sio...
Israel kupitia Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu imetangaza kukubali kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah la Lebanon, hatua inayodhaniwa kumaliza vita hivyo vilivyodumu ndani ya mwaka mmoja na kuua takriban watu 3,800.
Rais Joe Biden ametangaza kuwa Marekani imesaidia kufanikisha...
Serikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam.
Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi vyombo vya usafiri.
Sasa kwa nia njema kwanini kusiwe na mpango wa ku zuwia ongezeko la idadi ya watu...
Mwaka 2014 na Mwaka 2015 Chama cha Mapinduzi (CCM) kilikuwa kimeingia rasmi kipindi cha kuanguka na kutoweka katika medani za siasa. Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, mtawalia pamoja na kuhujumiwa sana, yalionesha wazi kushindwa vibaya kwa CCM na kama isingekuwa...
Mnamo tarehe 19 Novemba 2015, katibu mkuu mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na aliyekuwa mgombea urais, Dk. Willibrod Slaa, alitoa kauli kwamba “Chadema wanatekana,” akifichua siri nyingi kuhusu chama hicho.
Kauli ya Dk. Slaa inahusiana moja kwa moja na madai ya kutekwa kwa...
Hili lilikuwani tukio gani? Walikuwa na mkakati gani na walifanikiwa?
Unadhani wote walikuwa pamoja ama wengine walikuwa ni mamluki katika hili tukio?
Je, leo hii hawa wanaweza kuitana pamoja kama hivi? Tunaweza kuwatambua wote na pengine kutaja sasa wapo wapi?
Uandikishaji kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa umeanza rasmi leo, tarehe 11 Oktoba, 2024, na utaendelea hadi Oktoba 20, 2024. Hatua hii inampa fursa kila Mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27...
- Awapongeza Rais Samia na Museveni kwa msimamo wa uongezaji thamani madini
- Azitaka nchi za Afrika kuwa na mkakati wa pamoja wa uvunaji wa rasilimali Madini
- Uganda yavutiwa na maendeleo ya sekta ya madini nchini Tanzania
📍Kampala, Uganda
Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amezitaka...