Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , leo kimeanza kupanga mipango mipya ya kukisogeza karibu zaidi na Wananchi , ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ameanza kwa kufungua kikao cha Kamati ya Utendaji Mjini Arusha
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
FREEMAN...
Ni ajabu sana hawa vijana machachari wenye uwezo mkubwa wa kulinganisha na kufaninisha utendaji wa watu kushindwa kuzungumzia hata kwa kificho, tetesi zinazoenea mitandaoni za kutaka kutenganisha kofia ya Uenyekiti wa CCM na Urais wakiwa kimya mpaka muda huu na kushindwa kuongea chochote. Kwa...
Mbunge wa viti Maalum Lucy Mayenga amedai leo Bungeni kuwa kuna kundi la wabunge wengi ambao wanamepanga kuhujumu legacy ya Magufuli na kutaka kutenganisha Urais wa Samia na Urais wa Magufuli
Amedai wabunge hao wanamsifia Samia Suluhu kwa lengo la kuonyesha kuwa Maguuli alikuwa akifanya vibaya...
YANAYOENDELEA WILAYA YA HAI NI MKAKATI MAALUMU UMEPANGWA
Kwanza Niseme Jambo Moja Mliopo Nje Ya Wilaya Ya Hai Hamjui Kinachoendelea Huku Haya Masuala Naomba Mzingumze Kisiasa Sisi Wananchi Tunaoishi Hai Ndio Tunajua Chanzo Ni Nini kuhusu Yanayoendelea Na Nitoe Pongezi Zangu Sana Kwa DC Sabaya...
Jana rais wetu ameagiza kuundwa task force ya watalaam kuchambua kwa makini masuala haya ya covid 19 na kuishauri serikali hatua sahihi za kuchukua. Pressing issues hapa ni hasa msimamo wetu kuhusu chanjo za covid na utoaji wa takwimu zinazohitajika WHO kila siku. Tujadili faida na hasara au...
Inaelekea kuna mkakati maalumu wa wapinzani wa CCM kutaka kuwagonganisha vichwa wanaCCM mara baada ya kuona Rais Samia aneingia madarakani kwa njia ya amani.
Ni muhimu kuwakumbusha wapinzani kuwa CCM is there to exist till the true development of Tanzania is achieved.
CCM na Serikali yake...
Sote tunajua Mzanzibari ni mtu mwenye nafasi kubwa sana nchi nzima ya kupata ahueni ya maisha.
Tukianza kazi Wazanzibari walioelimika hata kidogo tu wakija kuomba kazi bara huwa wanapewa kipaumbele kikubwa kwasababu ya kuwa Wazanzibar.
Ukija hata jeshini huku wazanzibar huwa wanapewa upendeleo...
Nia na dhamira ya JPM dhidi ya Tanzania haitaweza kuhojiwa popote, alidhamiria kutuondoa kwenye umaskini na alitumia mbinu zote kufanikisha lengo. Dhamira iliendana na matendo, Ni vigumu kupata watu kama Hawa Duniani. Watu wanaocha starehe za Dunia nakuwapigania wenzao usiku na mchana. Legacy...
Mkakati wa kukabiliana na chanjo bandia ya virusi vya corona (COVID-19), umewekwa na wakurugenzi wa upelelezi wa nchi wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki mwa Afrika (EAPCCO). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea).
Wakuu hao wamekutana kujadili changamoto za mataifa...
Serikali ya Tanzania inadaiwa kujitoa kwa muda kwenye Mkakati wa Uwazi, Ushiriki na Uwajibikaji yaani Open Goverment Partnership(OGP). Inadaiwa Serikali imeamua kujikita kwenye "kutumbua majipu" kwanza kabla ya kujikita kwenye uwazi.
OGP ilianzishwa mwaka 2011 na ilianza na Serikali 8 hadi 70...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.