Habar wadau
Nitaandika machache tu unajua sisi watanzania tunaishi kwa propaganda na kufuata mkumbo nje ya uhalisia sisi ni kama tupo tupo tu ila samahani nini sisi hatuna effects yoyote huko juu na watawala wanalijiua hilo si uchaguz si maamuz si uteuzi si siasa sio mikopo sio barabara wala...
Katiba ni mali ya wananchi. Jitihada za kutufikisha kuliko haki haziwezi kufanyikia gizani.
Hii mambo ya kina TCD na kina Zitto haziwasimamishi wasioridhika nazo kuchukua mwelekeo mwingine.
Mkakati mpya kudai Katiba
Watu ambao hawakuwahi kukemea ndivyo sivyo za tume ya uchaguzi, polisi dhidi...
Anaandika Askofu Bagoza PhD.
TUNAHITAJI HALMASHAURI NYINGI KULIKO MIKOA NA WILAYA MPYA
Kamati ya Maendeleo ya Mkoa wa Kagera (RCC) imemaliza kujadili mapendekezo ya kuundwa kwa Mkoa mpya wa Chato. Wengi wanakataa mapendekezo hayo. Niliwaunga mkono mapema.
Natamani Taifa lihitimishe uundwaji...
Naiweka kama "Hypothesis" kuwa: Akina Simbachawene and Co. Ltd, (VIGOGO) wana ngudu zao kibao ni failure wa form 4 na 6 ambao Ni Div ZERO NA 4.
Sasa kuwapa ajira, sifa ni div 0 na 4. Sifa hizo zitawakumba ndugu zake, watoto wa marafiki na marafiki wao wote.
Majaliwa ametoa maelekezo hayo leo Alhamisi Septemba 23, 2021 Moshi mkoani Kilimanjaro wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha pombe kali cha Serengeti.
Amesema mawaziri hao wanapaswa kujipanga vizuri kwa kushirikiana na sekta binafsi kuja na mkakati utakaoboresha kilimo nchini.
"Natoa maelekezo kwa...
Tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten
Rais Samia anazindua zoezi la uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi 2022 katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.
=====
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema bila kuwa na hesabu au takwimu sahihi, haiwezekani kugawa rasilimali na...
Kwenye hili la Chanjo, Rais Samia alikwama kimkakati.
Na Dotto Bulendu(MwanaPuge),nikiandika kutoka kijijini Puge.
:::::::::::::
Vita ya hoja juu ya Ugonjwa wa Corona nchini kati ya Ndugu wawili ,Dr Doroth Gwajima (MB) na Waziri wa Afya dhidi ya Shemeji yake Askofu Josephat Gwajima (Mb)...
Nimejiuliza juu ya baraza lijalo la vijana, nini kusudi la baraza hilo?
Kuna UVCCM
Kina BAVICHA
Vyuoni kuna jumuia mbalimbali
Taasisi za dini kuna mabaraza ya vijana
Bunge ni chombo cha kuwasemea Watanzania wote wakiwemo vijana.
Au ni janjajanja ya CCM kuwarubuni vijana ili kufanikisha...
Bado naendelea kutathimini tukio lenyewe!
Ila niseme tu kuwa kama Taifa tunapita katika kipindi kigumu sana! Kuna distractions na sabotage nyingi sana tangu Rais Samia achukue usukani wa kuongoza Taifa hili kufuatia kifo cha ghafla cha Hayati Rais Magufuli.
Hivyo viongozi wetu wanapaswa kuwa si...
WIZARA YA MADINI YAWASILISHA MPANGO MKAKATI KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA VVU NA TB MIGODINI
Na. Emmanuel Kasomi - Dodoma
Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Tume ya Madini na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeandaa Mpango Mkakati wa Usimamizi wa Masuala ya UKIMWI (VVU)...
MHE MWENDA ATAKA MPANGO MKAKATI WA KUTEKELEZA MAJUKUMU, AKAZA KAMBA KERO ZA WANANCHI.
Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ameendelea na ziara yake ya kupita kata kwa kata kusikiliza kero za wananchi na kuzitolea maelezo na ufumbuzi wake. Akiwa kata ya Kiomboi leo Ijumaa Julai...
Unapokabiliwa na ugonjwa Kama covid 19 unawafanya wananchi wako wengi kutumia muda wao kwenye mambo yafuatayo;
1. Kuhudumia wagonjwa, Kuchukua taadhari za afya ikiwemo kuacha kufanya kazi kwa waliopo kwenye majukumu yanayohitaji kukutana na watu wengi, Kutumia muda mwingi kwenye nyumba za...
Wakati aina mpya ya kirusi cha Corona- Delta kikiripotiwa nchini Rwanda, serikali ya nchi hiyo imeanza mkakati wa kuwapima wakaazi kuanzia vijijini hadi mjini. Sambamba na hilo pia serikali ya Rwanda inakusudia kutoa vyakula katika familia zilizoathiriwa na agizo la kusalia ndani ambalo...
Kama tunavyojua kuwa wimbi la tatu la ugonjwa wa korona linatupiga ipasavyo na japokuwa serikali inaendelea kupokea misaada ya fedha kutoka WHO na mashirika mengine lakini cha ajabu hakuna mikakati yoyote ya kupunguza gharama za mgonjwa wa Korona.
Kwa mfano dozi moja ya korona mpaka sasa si...
KILIMO - BIASHARA
Sekta ya kilimo ni sekta inayotegemewa sana katika kukuza uchumi na kuendeleza maisha ya watanzania walio wengi. Hata hivyo sekta hii imeendelea kutawaliwa na wakulima wadogo wadogo ambao ni takribani asilimia 70 ya watanzania wote. Kwa upande mwingine kilimo kinachangia kati...
Sioni sababu ya shule za Sekondari za Serikali kufanya vizuri kuliko za watu au mashirika binafsi. Ila naamini kuna mkakati wa kuzifuta shule za binafsi kwa njia ile ile iliyotumika kuvidhoofisha vyama vya upinzani. Wenye povu au hoja tofauti mnakaribishwa.
Rais wetu kipenzi,
Kabla ya mambo kubadilika, kulikuwa na mpango mkakati wa ujenzi wa kiwanja cha ndege eneo la Omukajunguti mkoani Kagera. Huu mradi ulilenga kuziunganisha nchi za Afrika Mashariki, lakini si hivyo tu mama, kama umeenda Bukoba umeona ni jinsi gani ndege zinastrugle kutua katika...
asali
basi
ccm
chadema
chama
eneo
hadhi
hawana
huwa
kioo
kujenga
kujengea
kukosa
kukusanya
kwanza
makao makuu
mkakati
njaa
ofisi
pesa
sana
simba
soka
tunahitaji
umma
viongozi
viwanja
waganga
waganga njaa
wakati
wapi
watoto
wazo
yanga
Mwenyekiti wa Chadema Mwamba Freeman Mbowe anaendelea na kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , kampeni hiyo imebatizwa jina la Operesheni Haki .
Anatarajiwa kuongoza vikao kadhaa vya Mashauriano ndani ya Kanda hiyo.
Pichani Mwamba Mwenyewe akisaini...
Operesheni Haki ambayo imeingia Kanda ya Kati, kwa kuanzia na Mkoa wa Dodoma, sasa leo ni zamu ya Morogoro ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe atahutubia baraza la Mashauriano la Mkoa huo.
Kwa taarifa tu ni kwamba Tayari moto wa operesheni haki na Chadema digital ushaingia mitaani ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.