mkali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nilimtongoza mara ya kwanza akawa mkali

    Wakuu, Kuna Binti mmoja mrembo kuna siku natoka mazoezini nikamfuta bhana nilimuona Akanivutia nikaomba namba akanipatia Akanitajia majina yake tulivyowasilina Nikamwambia ninahisiana naye akawa mkali nikampotezea. Leo kanicheki kaniita dukani kwake nikaenda kaanza kuniambia alinidanganya...
  2. Hapa kwetu Tanzania msanii gani unafikiri ni mkali wa miondoko ya R&B?

    Binafsi kete naitupa kwa TID na Marioo hapo ni upande wa wasanii wakiume kwa wakike nafikiri maunda zorro na Vumi. TID Mario Maunda Vumi
  3. Je, ni kweli ukichanganya masega ya nyigu kwenye chakula unachompa mbwa vitamfanya mbwa kuwa mkali?

    Wakuu nisaidieni kujua kuhusu hili. Ila pia kama ni kweli nisaidie kujua, masega hayo unayapikia pamoja na nyama ya umbwa au baada ya kuandaa chakula ndio unaweka masega hayo. Karibuni.
  4. Kaponea chupu chupu kugongwa na Koboko mkali

    Huyu ni Mwanamama wa Kinaijeria mwenye Travel Blogg inayoenda kwa Jina la Go.Ebaide huko You Tube, anazunguka Afrika kwa kutumia Pikipiki na sasa yuko Tanzania, wakati akitokea Kigoma kuelekea Mpanda amekoswakoswa kugongwa na Koboko mwenye hasira sana aisee!!.. Anabahati sana aisee...
  5. Je, Poland na Hungary waitwe wabaguzi kwa kuweka ulinzi mkali na kuzuia wahamiaji kuingia kiholela katika mipaka yao.

    Hapa ni waziri wa uhamiaji wa Poland akiongelea kuhusu nchi yake kuwa na kiwango kidogo cha machafuko, ugaidi na uharifu ambao umeongezeka zaidi katika nchi nyingine zilizoruhusu wahamiaji kiholela. https://youtube.com/shorts/y9fY9ft7_5U?si=liV91sa-H96z5P-B Hapa ni vikosi vya usalama vya...
  6. D

    Roma na wamitego nani mkali

    Wajumbe  hawa jamaa mnawaonaje ukizingatia wanakimbiza maudhui zenye mrengo unaofanana.Unadhani nani anameno makali kuliko mwenzie kimaudhui?
  7. F

    Rais Samia angekuwa mkali kwa wazembe, wezi na mafisadi nchi yetu ingefika mbali sana kimaendeleo

    Watu wanasema kama rais Samia anaweza kuonesha ukali kwa viongozi wa vyama vya upinzani na watu wenye mawazo kinzani na yeye kumbe anaweza kuwa mkali kwa wazembe na mafisadi waliopo nchini ambao ndio kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya nchi hii. Nchi yetu hupoteza matrilioni kutokana na uzembe wa...
  8. Video ya mkali wa pop the weeknd yarekodiwa na iphone 16 pro

    https://youtu.be/fE6XAeZfAsk?si=UclWa-JqLqNMimLJ https://youtu.be/MLlSSJ0z7xM?si=cmUet6D4DYIAqhvU Je wajua video hii ya wimbo wa dancing in the flames kutoka kwa mkali wa pop kutoka Canada the Weeknd imekuwa shot on the iPhone 16 pro embu zitazame video hizo kalii sana
  9. Jinsi ya Kutumia VPN Katika Nchi Zenye Udhibiti Mkali wa Mitandao na Uhuru wa Kujieleza

    Katika nchi nyingi zinazokabiliwa na udikteta au udhibiti mkubwa wa mitandao, uhuru wa kujieleza na kupata taarifa unazuiwa kwa kiasi kikubwa. Serikali huweka vizuizi kwa baadhi ya tovuti, mitandao ya kijamii, na huduma mbalimbali, ikilenga kudhibiti upatikanaji wa habari na maoni huru. Hapa...
  10. Anthony Lusekelo atoa msimamo mkali sakata la Chadema Mbeya

    Katika kipindi hiki cha vuguvugu la kisiasa nchini Tanzania, sakata la kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa Chadema waliokusanyika Mbeya Agosti 11, 2024, lilizua gumzo kubwa. Mchungaji Anthony Lusekelo, maarufu kama Mzee wa Upako, naye hakuachwa nyuma katika kutoa maoni yake kuhusu...
  11. W

    Mkali wa DanceHall "Vybz Kartel" hatimae ameachiwa Huru

    Adidja Palmer, maarufu kama "Vybz Kartel," alihukumiwa kifungo cha maisha Machi 13, 2014, baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya Clive "Lizard" Williams pamoja na wenzake watatu, Shawn, Andre St. John, na Kahira. Aidha, Mahakama ya Rufaa ya Jamaica imeamua kutokusikiliza tena kesi hiyo...
  12. Kwani kuna Tishio lolote Zanzibar? Kama hakuna kulikoni 'Dogo' ana Ulinzi mkali ulio makini mno?

    au nae ameshanusa kuwa mbio za mwakani 2025 zinaweza kuwa na kile kilichotokea Iran Watu wakamaliza Shughuli?
  13. Kuna haja ya kuweka mchujo mkali kwenye chaguzi zetu ili kupata viongozi bora

    Habari wana JF. Leo nataka niseme, hali yakuendekeza njaa kwenye kila kitu imesababisha kutengeneza mifumo mibovu inayokuja kuleta waropokaji na watu wa deals wengi kuliko watendaji wa maendeleo kwenye nchi yetu. Mfano, mtu anachaguliwa kugombea kupitia committee ya chama chake then anakuja...
  14. D

    Migomo Kariakoo: Serikali kuendelea kulea utamaduni wa kulinda wahalifu utakutokea puani

    Ni mara ya 2 wanaoitwa wafanyabiashara wa Kariakoo kugoma ndani ya muda mfupi. Baada ya ule mgomo wao wa kwanza tukaanza kuona migomo Iringa, Mwanza na maeneo mengine. Migomo yote ni wafanyabiashara kukataa maelekezo halali ya serikali ikiwa pamoja na kutotaka mfumo wa wazi unaobana wizi na...
  15. Kati ya Shilole (Shishi Baby) na Juma Jux (African Boy) nani mkali zaidi?

    Tumalize huu ubishi ulioenea mtandaoni. Je, kati ya malkia wa bongo fleva Shilole a.k.a Shishi baby na msanii chipukizi (underground) anayeheshimika Juma Jux nani mkali zaidi? Kwa wale wasiofahamu nyimbo zao nimewaandikia ili mkazisikilize huko YouTube. SHILOLE 1. Lawama 2. Nakomaa na jiji 3...
  16. N

    Mgomo mkali katika maduka yaliyopo stendi ndogo Arusha uliofanyika siku ya Ijumaa na Jumamosi ulileta maumivu na hasara kubwa

    Mnamo siku ya tarehe 21 na tarehe 22 mwezi huu, yaani ijumaa na jumamosi, jiji la Arusha lilitikiswa na mgomo mkubwa uliofanyika katika eneo la stendi ndogo, mgomo ambao ulisababisha maduka yote karibia 400 kufungwa. Mgomo huu ulituathiri sana sisi wafanyabiashara halisi ambao tunafanya...
  17. Ukweli usemwe: Chris Brown ni mkali kumzidi Michael Jackson

    Najua ni ngumu kusema huu ukweli na kueleweka sababu watu wanakalili na wanarithishwa dhaania. Michael Jackson ni msanii mkali sana na anaheshimika mno kutokana na mambo aliyofanya kwenye entrainment duniani. Lakini hajawai na hawezi kufikia talent aliyonayo Chris Brown. Hii dunia haijawai...
  18. Kuishi Afrika ni sawa na kuishi vitani, usipokuwa mkali utaonewa, hii ni kwasababu watu wake hawatii Sheria wala kuheshimu haki

    Kuishi Afrika ni sawa na kuishi vitani, usipokuwa mkali utaonewa, hii nikwasababu watu wake hawatii Sheria wala kuheshimu haki Afrika ni bara linaloongoza kwa kesi nyingi zinazosababishwa na kuvunjwa kwa sheria ndio maana Waafrika wanaohamia mataifa makubwa kama Ulaya, China, Japan, Germany...
  19. Mtifuano mkali kati ya Wizara ya Afya na vyuo vya afya juu ya kubadili qualifications za kujiunga pharmacy ngazi ya cheti

    Mshikeshike, mtifuano unaendelea kuhusu kubadili sifa za kujiunga na astashahada kutoka D mbili za Chemistry na Biology kwenda C mbili au zaidi za Chemistry na Biology! Kiukweli, sifa zinazopendekezwa na serikali zitaathiri vyuo vya afya vinavyotoa hii kozi! C mbili za Chemistry na Biology ni...
  20. Sababu kubwa ya ulevi mkali kuoengezeka ni hizi pombe kali kuuzwa kwa kupimwa kidogo kidogo kwenye vichupa.

    Sawa viroba vimesepa ila vimekuwa restored. Hizi zenye percent kubwa ya alcohol zilikuwa ni luxury drinks maana kwanza zilikuwa expensive kununua. Kwa hio kilichofanyika ni wauzaji kuwapimia kidogo kidogo wanunuzi kwa pesa kidogo kupelekea mtu kununua kidogo kidogo kuzania anakunywa ka 1000...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…