mkali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Extrovert

    INAUZWA Kwa wapenzi wa Unyunyu mkali/ Perfumes

    Hello brothers n’ sisters! Aisee niko na perfumes nzuri na OG kwa wale mnaopenda uniquness and elegance. Ziko za kike na kiume zenye scents tofauti katika ujazo wa 50mils na 100mils. Perfumes hizi ni Originally from South Africa. Harufu ni bomba sana na zinadumu kwa mda mrefu sababu Eau De...
  2. A

    Mpambano mkali kituo cha Polisi Nzega stendi kati ya Abiria na Polisi

    Wanabodi Natumai mungu ni mwema kwa kila mmoja kwa kupata zawadi ya uhai. Muhtasari wa habari. Moja kwa moja kwenye mada. Mnamo tarehe 5/10/2021 nikiwa natoka Arusha kuelekea mwanza na basi la kiazi kitamu ulizuka msuguano mkali kituoni cha polisi Nzega stendi. Polisi walimshusha dereva...
  3. LIKUD

    Kisa cha ndoa ya Mpemba Swala Tano na mwanamke mchaga mkatoliki mwenye msimamo mkali

    Hawa watu walipendana Sana wakaamua kuoana. Lakini Kwa Sababu Hakuna aliekuwa tayari kubadilisha Dini yake kutokana Na misimamo mikali waliyo kuwa nayo, waliamua kufunga ndoa ya Serikali... SIKU WALIYOKUTANA KIMWILI KWA MARA YA KWANZA. Kati Kati ya tendo la Ndoa yule mwanamke Kwa kuzidiwa...
  4. F

    Ulinzi mkali wa viongozi unahujumu mahusiano na raia

    Nyanja: Utawala Bora/Mahusiano (siyo tukio halisi) Mazoea ya kuwa na ulinzi mkali wa Askari wenye sare na bunduki kwenye ziara za viongozi na operesheni za kitaifa kama mitihani ya taifa na uchaguzi mkuu yamezua jambo nchi moja ya Afrika Mashariki iliyogundua mafuta na iliyo katikati ya...
  5. chiembe

    Wananchi bado tunaomba uchunguzi mkali mradi wa stiglers/SGR, huko ndiko kuna vikampuni vya mzee na vifaranga wake waliopeana tenda

    Hii miradi ndio kichaka ambacho mzee alikitumia kupiga mamilioni ya mabilioni, bado tunaomba uchunguzi ufanyike! Kimkakati, katika hizi wizara aliweka watu wa "nyumbani" watunze siri japo na wao wana vikampuni vyao ndani ya miradi Waliacha bomba la gesi wakaanzisha miradi ya dili Mh. Samia...
  6. Erythrocyte

    Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6

    Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu inaendelea kuunguruma kwenye Mahakama ya Uhujumu uchumi , Ambapo mvutano wa kisheria umekuwa mkali hasa baada ya Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa Mbowe kuwa ya moto . Kesi imeahirishwa kwa muda ili kuiruhusu Mahakama kupitia...
  7. Greatest Of All Time

    Njooni tumpongeze Mohammed Hussein Zimbwe 'Tshabalala' kwa kufunga ndoa

    Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein "Tshabalala" jana siku ya Ijumaa amefunga ndoa. Hongera sana kepteni, niwatakie kila la heri kwenye ndoa yenu!
  8. R

    Upepo mkali Tanga Mjini

    Jana 24 na leo 25/7 kuna upepo mkali/mwingi sana. Mamlaka ya hali ya hewa toeni tamko la kitaalamu tujihami maana inatisha!
  9. KateMiddleton

    Mkali wa Jiko Azam TV

    Hongereni sana kwa hiki kipindi Waandaaji na Washiriki.. Mi nimekipenda Tulizoea kuona mashindano ya hivi kwa nchi za nje tu. ... Maoni; 1. Ile meza ya kuonjea iwe kubwa zaidi Ili Maybe kila chef judge apate plate yake for tasting kwa nafasi 2. Na serving dishes standard iwe plates kubwa zaidi...
  10. M

    Kwanini uwadhulumu wengine wewe ukidhulumiwa unakuwa mbogo?

    Mzuka wanajamvi! Unakuta mtu anadhulumu wengine yeye akidhulumiwa anakuwa mkali vitisho hadi vya kuua. Kwanini usipotezee tu. Yani wewe unajiona una haki kuliko uliowadhulumu? Na uliowadhulumu wamenyamaza tu wewe kudhulumiwa unakuwa mkali. Si upotezee tu.
Back
Top Bottom