UBISHI MKUBWA: DUKA LA MAFUTA YA TAA LA MAMA MARIA LILIUZA MAFUTA YA TAA AU MAFUTA YA TAA NA COCA-COLA?
Pamekuwa na ubishi mkubwa kuhusu duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere katika moja ya mitandao ya kijamii kuhusu duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere.
Ubishi uko katika bidhaa...
Kwanza hii nchi inawasomi wa kutosha. Inamaana hawakujiandaa kabisa kwa chochote kuhusu umeme maji yakipungua? Kwa uzoefu mgao ukiwa mkali hivi ujue Kuna Jambo linatafutwa. Mikataba ya haraka haraka ya Bei juu iliyojaa utata inataka kupitishwa ili watu wapige mahela. Kila kitu kimekamilika...
Jana TANESCO wametoa taarifa kuwa kuna upungufu wa Megawati 300 kutokana na ukame na matengenezo yanayoendelea
Sasa nikawaza kama tunazalisha jumla ya Megawati 1600 basi kukitokea upungufu wa Megawati 300 ni umeme mdogo sana ukilinganisha na uzalishaji wetu,
So inakuwaje upungufu wa megawati...
Kuna jamaa yangu yupo Congo DRC amenidokeza kuwa, mpaka Sasa maombi ya wakongoman wengi ni kuomba kutopangwa kundi Moja la klabu bingwa na Simba timu Yao ya As Vital.
Hii imetokana rekodi mbaya waliyonayo clabu hiyo dhidi ya Simba Sports club. Jamaa aliendelea kudokeza kuwa ingekuwa mserereko...
Aisee nimekuja kugundua wanawake ukiwaacha ki amani amani wao wanaona Bado hamjaachana, yaani mpaka mbondane muvuane nguo za ndani mpigane ndo wanaelewa kimewaka.
Tumeeachana na wadada kiamani ila mara zote nikifanya hivyo huwa wanajirudisha kujibembeleza na kutaka kukupa hata kama unayo mpya...
Nilikua nasikiliza wimbo wa Utaonaje by Billnass, nasikia humo ndani anatuhamasisha wasikilizaji wake kwa kusema
"Ukitaka kuroga nenda Pangani."
nimeishi Korogwe kwa Maji Marefu nimejionea uchawi wa kila aina. Ila kwa sasa Inaonekana huko pangani Tanga kuna mambo mazito.
Copy to Mshana Jr BIN...
Oh asante sana aisee , I hope kijana wetu Dejan anatumia hii Vlach magic ya huko nchini kwao unaambiwa ni uchawi hatari hata voodoo ya wa benin na wa haiti inasubiri
Sasa ajaribu kinyago yoyote kumloga kama kombora halijamrudia apoooze mwili kabisa
Hatari sana unaambiwa the story goes back...
Kuna kosa nilimkosea mpenzi wangu la kutumwambia ukweli kwa baadhi vitu vyangu hivyo baada ya muda aligundua nilikuwa namdanganya
Since alivyogundua amekuwa mkali kwangu mkorofi lakini pia lililonistua zaidi ni matumizi ya lugha ya matusi ambayo Imenifanya nione rangi zake halisia
Licha ya...
Napenda sana siasa za kihivi, pale ambapo hakuna uhakika nani ataukwaa urais, wagombea wote kila mmoja anajinadi kwa kila namna. Mdahalo umeandaliwa baina ya wagombea urais ambapo watapambanishwa kwa hoja kila mmoja aeleze kwanini tumchague yeye.
Watatumia jukwaa moja na itakua mwendo wa...
Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha.
Hii maana yake JPM angetawala miaka 10 basi robo tatu ya watanzania...
Hapa ni muonekano wa angani wa Kisiwa cha Alcatraz mnamo Januari 1932. Kisiwa hiki kilitumika kama gereza la shirikisho lenye usalama wa hali ya juu kuanzia 1934 hadi 1963.
Huu ni muonekano wa ndani ya gereza la Kisiwa cha Alcatraz mwaka wa 1986, ukiangalia kusini kutoka kituo cha ulinzi cha...
Uchaguzi wa 2025 utakuwa na mtafaruku sana. Huko Mkoani mara tayari Ally Hapi anadaiwa kupiga ufisadi mkubwa huku yeye akidai ni Mbunge wa Tarime ndie fisadi na amemzibia madili.
Mbunge Mwita anadai anazibiwa fursa ili shughuli zake za ubunge zisiende sawa ili ahujumiwe kwenye uchaguzi 2025
Zaidi ya watoto milioni 10 ni miongoni mwa wale wanaokabiliwa na ukame mkali katika Pembe ya Afrika.Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, Unicef, linakadiria kuwa idadi hii ni milioni tatu zaidi ya ilivyokuwa miezi miwili iliyopita.
Mkurugenzi Mtendaji wa Unicef Catherine Russell...
'Nimekamilisha ziara ya kuzunguka nchi nzima'.
Picha niliyoiona ni ya uhaba mkubwa wa maji tiririka katika water bodies kama vile mito.
Hili litaathiri kwa kiasi kikubwa kujaa kwa mabwawa ya kuzalisha umeme, kitu kitakachopelekea nchi kuingia kwenye giza kuu.
Nishati ya umeme ni nishati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.