mkali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Eric

    Ukikutana na demu mkali ghafla anakuwa Maskini kwako

    😁😁😁 Salaam jukwaa la MMU, Nimeanza na kucheka maana demu unakutana naye mchana eti hajala, demu wa hivi ungekutana naye asubuhi si angeomba mswaki? Yaani kisa ukali wake anajeuka kuwa yatima, huwa inakuwaje kwa hawa mabinti. Tafiti zinaonesha wengi huwa ni 20 to 27 Aged ndiyo wana hizo pigo...
  2. BARD AI

    Miaka 10 ya kifo cha Albert Mangwair, unamkumbuka kwa ngoma gani mkali huyu?

    Leo Mei 28, 2023 imetimia miaka 10 tangu kutokea kifo cha ghafla cha Nyota wa Hip Hop, Bongo Flava na Mkali wa "Freestyle" kutoka East Zoo Dom, Mangwair au Ngwair au Cowbama Wakati wa uhai wake, alijizolea sifa ikiwemo kuwa na uwezo kuingia studio na kurekodi 'Ngoma' bila kuandika (Freestyle)...
  3. TUKANA UONE

    Hawa ni Nguli wa masimulizi hapa JF Jukwa la Entertainment. Je, unadhani nani ni mkali?

    Leo nimeona niwatambue hawa jamaa wanaoendelea kutuburudisha na kutupunguzia misongo kule kwenye jukwaa la Entertainment kwa simulizi zao za moto kweli kweli.Hawa nitakaowaorodhesha hapa kwa upande wangu ndiyo wababe wa lile Jukwaa. Hawa nitakao wataja hapa nimewaita wababe kwasababu wanazo...
  4. Mcqueenen

    Nani mkali wa Pasi kati ya Kevin De Bruyne Vs Lionel Messi?

    Wasalaam, Kevin De Bruyne na Lionel Messi ni wachezaji wawili wenye vipaji vya kipekee katika soka na wote wawili wanajulikana kwa ustadi wao wa kupiga pasi. Hata hivyo, wana mbinu tofauti za kucheza na kuandaa pasi. Kevin De Bruyne, ambaye ni kiungo wa kati wa Manchester City na timu ya taifa...
  5. John Gregory

    Pichani ; Mnyama mkali Simba sc akiwa mazoezini kumuwinda Coastal Union #TunaitakaFainali

    Kikosi cha kilabu ya mnyama mkali mwituni Paka fc, Wakiwa katika mawindo ya kumuwinda Coastal union fc katika mchezo utakaochezwa hivi karibuni. Watu hao wasiofahamika na wasiojulikana wanajihusisha na shughuli gani nchini, walionekana wakikimbia kimbia na kuruka ruka hapa na pale pasipokuwa na...
  6. M

    Ni mpambano mkali kati ya watu 9 dhidi ya mtu mmoja: Wanawaza kunyoosha mikono na kusitisha mpambano! Putin noma!!

    Vs Unaweza kusema ni mpambano kati ya wanaume 9 (G7 wako 7 + NATO + EU) dhidi ya mwanamume mmoja aliyefungwa mikono (kuwekewa vikwazo lukuki vya kiuchumi)-URUSI. Lakini wanashangaa inakuwaje tumeshindwa kumwangamiza wakati tumemfunga mikono? Wakagundua kichwa hakijafungwa!! akili inafanya...
  7. U

    Vinicius Junior Vs Ducapel Moloko, Nani Winga Mkali

    Picha: Vinicius Junior Picha: Ducapel Moloko Turejee kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African. Hawa wachezaji wote ni mawinga hatari na Wanambio sana, wanafunga magoli, vijana wadigo na sio...
  8. Wakili wa shetani

    Kumbe Hasidic Jews (Wayahudi wenye msimamo mkali) ni watu wa ovyo sana

    Hivi neno la Kiswahili hasidi lilitokana na hawa jamaa nini? Kuna hawa Wayahudi wenye misimamo mikali sana ya kidini. Wanaamini wao ndiyo wateule na kila mtu duniani yupo kwa ajili ya kuwatumikia wao. Kwa namna fulani naelewa kwa nini Wayahudi walikuwa Persecuted huko Ulaya. Huwezi kuwa...
  9. U

    Ukweli ni kuwa Masanja ana uzoefu na mkali kuliko Maulid na Hando

    Kwenye sekta ya habari labda Masanja hajafanya sana, lakini sote tukikumbuka enzi ya ze comedy tutakumbuka Masanja ndo alikuwa msoma habari mkubwa na alivutia mamilioni ya watanzania kuliko Maulid ama Hando ambavyo wamewahi kufanya Kwa wakati wote. Masanja kwenye magazeti akichanganya na...
  10. Analogia Malenga

    Marco Mkali, Marco Chizi Kidogo

    DR. MARCO MKALI, MARCO CHIZI KIDOGO Alipita Metro studio, Serious Records, Kama kawa Records mpaka alipotuliza majeshi MJ RECORDS na kufanya kazi na mkubwa Master Jay huku pia akiwavuta wadogo zake; Daxo Chali (Daxo Cha) na Za Chali (Zacha) Chali amefanya kazi na wasanii TOFAUTI lakini...
  11. Nafaka

    Mwenye kujua mkali mwingine wa kuzalisha songs za EDM kama Alan walker

    Kwa wale wapenzi wa nyimbo za EDM kuna mkali mwingine anazalisha mangoma kama ya Alan Walker anitajie maana ukiacha ngoma za kusikitisha ngoma nyingine ninazozielewa ni EDM..
  12. Dr am 4 real PhD

    Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

    Hii ni Moja ya muvi Bora za wakati wote... Mark Dacascos alitembeza mkono kwenye hii muvi mwanzo mwisho.... Huyo Rasta fundi gereji muoga muoga.... Ni Moja ya ubunifu Bora kabisa kuwai kutokea kwenye tasnia ya muvi za ki mapigano... Hii muvi inakukumbusha nini?
  13. Lanlady

    Anakuwa mpole sana mwanzoni, baadae anabadilika na kuwa mkali kama chui

    Kwenye mahusiano, wanaume hujionesha kuwa wapole sana mwanzoni. Baada ya muda hubadilika na kuwa kama chui aliyejeruhiwa. Wanasahau kwamba wanapaswa kuishi na wanawake kwa akili. Na wao (wanaume) ndio hasa chanzo cha mabadiliko chanya au hasi. Wanaume muishi na wanawake kwa akili, msiwe wakali...
  14. Lord Delamere in Kenya

    Ubishi wa nani mkali kati ya Aziz Ki na Chama si umeisha leo, au bado?

    Kuna ubishani mwingine huwa nauita wa kijinga, na huwa naishia kucheka tu. Tangu mwanzo niliamini muda utaongea huko tuendako nani ni mkali haswaa; Stephano Aziz-Ki au Chama? Huu ubishani wa kipuuzi ni sawa na Ile wa Messi na Ronaldo tu. Yaani Chama mwenye kipaji chake na akili ya soka...
  15. BARD AI

    Michael B. Jordan adai Drake ni Mkali zaidi ya JAY-Z na Tupac

    Kupitia mahojiano na Jarida la Complex, mwigizaji Michael B. Jordan ameweka wazi kuwa nyota huyo mwenye asili ya Canada anapaswa kupewa heshima ya juu zaidi ya wakongwe wa #HipHop kama 2Pac na JAY-Z. Jordan akiwa na mwigizaji Jonathan Majors amesema anadhani Rapa na Mwimbaji Drake anapaswa...
  16. Crocodiletooth

    Mfumuko mkali wa bei waikumba Rwanda

    Benki Kuu ya Rwanda imeongeza kiwango cha riba kutoka asilimia 6.5 hadi asilimia 7 kutokana na mfumuko wa bei. Benki hiyo imesema kwamba kiwango cha mfumuko wa bei kilifikia asilimia 20.7 mwezi Januari. Maafisa wamesema kwamba hawatarajii mfumuko wa bei kushuka hivi karibuni. Hata hivyo...
  17. Ziroseventytwo

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo yupo mjini Ifakara. Nashangaa kuona ulinzi ni mkali

    Polisi ni wengi, kila kwenye junction ya kuingia barabara kuu ya Morogoro kuna polisi amesimama. Vijana wa bodaboda wengi wameondoka kwenye vituo vyao kwa hofu ya kukamatwa. Kifupi nimeshangaa Katibu Mkuu wa CCM kupewa ulinzi na mapokezi kama kiongozi wa serekali. Tufike mahali viongozi wa...
  18. NetMaster

    Umewahi kushuhudia msela kabwela, kajamba nani, maisha Uswahilini ana date na mtoto mkali wa ushuani ?

    Kiuhalisia haya mahusiano yapo tukiweka kando Bongo movie, bongo flava na ndumba ? Tuweke kando madenti wa sekondari hawa kuwapata ni rahisi lakini kwa sheria za sasa ukiingia kichwa kichwa unapigwa mvua ya kutosha. uliwahi kushuhudia ama wewe kuwa mhusika, mtoto mkali wa ushuani kadata na...
  19. Mlolongo

    Kumbe Diamond Platnumz ni mkali hivi?

    - Cheki anazinguliwa na boss mjapan Gotojo Naguteka - Cheki anakula msoto na ngalawa Bagamoyo - Cheki anahenya na rumbesa mitaa ya Buguruni malapa - Mvua ikinyesha Tandu wanatambaa hadi ukutani - Sio tandu tu,hadi vyura.. - Kaamua kuwa mwizi, liwalo na liwe - seti kali kuliko zote...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    TAHADHARI: Upepo mkali kuipiga Dar kwa siku nne mfululizo kuanzia tarehe 20 hadi 23/01/2023

    Mikoa ya Lindi, Mtwara, Tanga, Pwani, Dar es Salaam, Visiwa vya Mafia, Unguja na Pemba vinatarajiwa kukumbwa na upepo mkali wa kasi ya kilometa 40 kwa saa kwa muda wa siku nne mfululizo. kuanzia Januari 20 hadi 23 mwaka huu. Utabiri uliotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA inaonesha...
Back
Top Bottom