mkali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Bongo kulikua na upigaji mkali kwenye awamu ya tano, wanaume walilipiwa ili wazae

    NHIF iliwalipia wanaume wengi kujifungua uja uzito kwa upasuaji au njia za kawaida..... ========================== A male with a big belly. PHOTO | COURTESY Dodoma. The National Health Insurance Fund (NHIF) reportedly paid hospital bills for male patients to either undergo caesarian or...
  2. P

    Rais Samia upole ukizidi watataka wakae juu ya mabega yako, kuwa mkali kidogo.

    Urais wa Samia Suluhu Hassan umeanza na upole. Umeanza na uungwana wa kuwa tayari kupoteza baadhi ya marafiki ili mradi tu taswira yake kimataifa iweze kubakia na heshima. Akaenda Ubelgiji akaonana na Tundu Lissu wakati ambao wapo wana CCM wengi tu wasingependa kumuona akijishusha (kwa mujibu wa...
  3. M

    Picha: Mrembo mkali akiendesha basi la Tilisho

  4. Nyankurungu2020

    Mkuu wa nchi lazima awe mkali na aogopwe. Asipoogopwa kila kitu kitakwenda mrama. Hata hayati Julius Nyerere aliogopwa na alikuwa mkali

    Mkuu wa nchi ambae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania. Kwamba watumishi wa umma wakiharibu atawabembeleza? Nimekaa na wazee wengi waliofanya kazi na hayati Julius Nyerere wanasema wazi kuwa Mwalimu...
  5. Expensive life

    Nani alikuwa mkali wa kuimba hapa?

    Kati ya hawa malegend nani alikuwa mkali wa sauti tamu? Celine Dion Whitney Houston ( Rip) Mariah Carey Mimi naondoka na Celine Dion huyu mwana mama alikuwa ni shida, moja kati ya nyimbo zake kali ninazozipenda. Love doesn't ask why A new day has come Tiririka hapa ni nani ulikuwa...
  6. MSAGA SUMU

    Hivi kwa hapa Bongo kuna msanii anamfikia DJ Nalimison kwa kumiliki mtoto mkali?

    Huyu jamaa kwa wasanii hapa Bongo bado sijaona msanii anamiliki chombo ya ukweli kama DJ Nalimison. Huyu hapa shemeji yetu siku alipoenda ukweni kuwatembelea nymbani kwao na kina DJ Nalimison maeneo ya Shinyanga nakuamua kufanya mazoezi maeneo ya Ngokoro matope na maeneo ya jirani na hapo kwao...
  7. mama D

    Restuta Bura aingia mpambano mkali kugombea mali za baba mtoto wake huku mume wake wa ndoa akiwa kimya

    Huyu mwanamama RestutaBura ni mpambanaji kwelikweli, pamoja na mambo mengine yanayomkuta bado anasimama kama mmoja wa wanawake hodari na watafutaji kila wapoona fursa. Rest anafanya biashara ya bar, vipodozi na urembo Rest amekua akifanya biashara kwenye moja ya eneo linalomilikiwa na baba...
  8. K

    Upepo mkali Dar

    Wakuu Huu upepo unaopiga sasa hivi (Usiku) ni wa kawaida kweli?
  9. John Haramba

    Usajili wa Bernard Morrison kurudi Yanga, kuna mvutano mkali unaendelea!

    Jana hata kabla ya Simba kutoa taarifa kuhusu kumsimamisha Bernard Morrison nilieleza kuwa mchezaji huyo amesimamishwa kwa sababu ya utovu wa nidhamu kwa kile kilichodaiwa kuwa alitoroka kambini. Baadaye Morrison akapost kwenye pages zake kuwa kuna kitu kikubwa kinakuja akiwa ameweka picha...
  10. M

    Mwana FA Vs Late Ngwear yupi mkali, au alikuwa mkali?

    Bila porojo nyingi, nani alikuwa mkali katika sekta ya bongo fleva, najua mwana FA aliingia kitambo kwa game.
  11. Little brain

    Nani mkali wa michano kati ya Mex Cortez na P Mawenge?

    Mi nampa Mex jamaa anajua anabadilika style nyingi
  12. GRAMAA

    Mtifuano mkali uspika, Musukuma atamba na PhD yake

    Mgawanyiko mkali kati ya watu wa Lukuvi,Tulia,Mussa. Kila mtu anataka mtu wake awe spika wa bunge. Na kila kundi linaona mtu wake ndio anafaa kuwa spika. Musukuma kubebwa na PhD yake ili kuukwaa uspika. Ngoja tuone mwisho wa hii kitu.
  13. GENTAMYCINE

    Kuna Mtu nimemwona Jana 'Zanzibar' akiwa na 'Ulinzi Mkali' sana' tatizo ni nini wakati kule ndiko anakotoka?

    Ina maana huko tunakotoka pia nao hawatupendi hivyo tunaogopa wanaweza kusababisha tena Siku 21 za Mapumziko na Bendera kupepea Nusu Mlingoti au?
  14. babukijana

    Mkali gani unamkubali

    Wapenda masebene Bill Clinton toka Congo Huyu jamaa alikua vizuri sana. Tutu Calodji kajikata.(yuko vizuri sana) Alipoondoka Wenge kapotea. Fille Nyafu kapotea. Soleir Wanga kapotea Sabath Obrigado huyu bingwa kapotea Cele skram kama jina lake anascream tu(simkubali) Kuna kina chameleoni rapper...
  15. geometry

    At their peaks,nani alikuwa mkali zaidi...Marlaw Vs Mb Dogg?

    Najua kuna mpishano kidogo wa eras,lakini hawa wote kwa kipindi fulani walishawah kuwa kwenye peak ya Bongo fleva Kwa mtazamo wako yupi alikuwa mkali zaidi? Mb Dogg aliwahi kutamba na hits kama -Latifa -Si uliniambia -Mapenzi kitu gani -Natamani -Inamaana kwa upande wa Marlaw -Rita...
  16. Kibosho1

    Bongo kuna MC mkali kama huyu kweli?

    Tanzania sijaona MC mbunifu kama huyu jamaa,baada ya kufatilia video zake nyingi nimegundua hata Anord Kayanda Alikua na style hii. Huyu jamaa nimemkubali zaidi kwa sababu anapenda rege kama mimi. Ni mkali gani wa rege bongo zaidi ya huyu?
  17. Miguel Alvarez

    Ni msanii gani wa HIPHOP ni mkali wa Storytelling song

    Natumaini wote ni wazima humu jamvini poleni na majukumu pia..! Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza mm ni mpenzi sana wa Ngoma za Hiphop leo na taka tushare pamoja kuhusu Rappers wa kibongo hata huko majuu(ulaya) je ni msanii gani ni best kwa Storytelling song kwa mimi msanii wa kibongo...
  18. Sophist

    Nini kilipelekea vijana wa Tanzania kuteka ndege ya ATC 1982 Mwanza?

    Hi there! Do you remember our history. Here is a story written 27 years ago: Tanzania Jet Hijacked; 2 Are Reported Killed Published: February 27, 1982 Hijackers demanding the resignation of President Julius K. Nyerere of Tanzania seized a Tanzanian jetliner with more than 90 passengers...
  19. Pep

    Wewe ni Developer/Programmer Mkali? Nakuhitaji!

    Ndugu zangu, Kama wewe ni software & web developer mzuri, na upo Dar, nadhani nina project kwaajili yako. A quick introduction about the project;- Project itahusisha utengenezwaji wa high performing website (ambayo ningependa kuiita platform ama portal) kutokana na multifunctionality yake...
  20. Superbug

    Chief Odemba na Mtozi Nyanda nani mkali wa kuuliza maswali?

    Star tv ina vijana wawili ambao kwasasa ndio manguli wa kuuliza maswali na Wana vipindi vinavyofanana. Chief Odemba na Mtozi Nyanda Nani mkali zaidi?
Back
Top Bottom