Mbunge wa Siha (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Dk Godwin Mollel amemtaka mkandarasi aliyejenga mradi wa maji wa Gararagua kutafutwa popote alipo kwani umejengwa chini ya kiwango.
Amesema hayo leo Alhamisi, Julai 21, 2022 katika Ofisi ya Bodi ya Maji, Magadini Makiwaru iliyopo Karansi wilayani humo...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameifukuza Kampuni ya Ujenzi ya Associated Investment Service Ltd ya Dar es Salaam kufanya kazi Zanzibar kwa kile alichodai haina uwezo.
Pia, alisitisha mkataba wa mkandarasi huyo wa ujenzi wa Shule ya Mtopepo katika Shehia ya Monduli Wilaya ya Magharibi A...
Namnukuu CAG Kichere
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari iliingia mkataba na “Mkandarasi Mkuu” wa shilingi bilioni 172.36 tarehe 3 Agosti 2019 wa muda wa mwaka mmoja hadi kufikia mwezi Agosti 2020 kwa ajili ya kuongeza kina cha lango na sehemu ya kugeuzia meli katika bandari ya Tanga, kufanya...
Ripoti ya CAG inasema kwamba mkandarasi wa Mradi wa umeme wa Nyerere anaidai Serikali mabilioni kama fidia ikiwa ni kutokana na kukosekana kwa umeme wa uhakika kumwezesha kutekeleza majukumu yake kimkataba.
Binafsi naona deni hilo ni batili kwani kimantiki. (Logically) hatupaswi kumlipa fidia...
CAG ameweka wazi kuwa tatizo kubwa la kukatika katika kwa umeme limesababisha mkandarasi anayejenga bwawa la stigler's kudai bil 18 Kama fidia ya hasara aliyoingia kutokana na TANESCO waliompa kazi kumkatia Katia umeme hivyo,
kukatwa katwa huko kwa umeme pia kumesababisha mradi kuchelewa...
Jamani madreva mnaopita njia hiyo, nahisi huyu mkandarasi anatengeza hiyo Barabara hawazi sawa sawa muwe makini.
Kachimba mashimo kila mahali, leo ni siku karibu ya tano napita hapo, yako vilevile. Sasa naomba muwe makini maana, mnaweza mkafanya ajari, najua lengo lake ni kuifanyia Barabara...
UJENZI WA BARABARA KILOMBERO MKANDARASI ANAIDAI SERIKALI?
Mheshimiwa Rais, wilayani Kilombero, mkoani Morogoro, miradi mingi ya kimaendeleo ambayo inatumia fedha za umma haikamiliki kwa wakati. Iko mingi sana lakini kilio hasa ni huu mradi wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami, ya urefu wa...
Kwa kawaida, operation kubwa huanza na ganzi, or sindano ya nusu kaputi kumlaza mgonjwa nusu-kifo au hili na lile kumtayarisha mlengwa kisaikolojia.
Je, ni kweli ndicho wanacholenga kufanya??
Bila mkuu wa wilaya ya Moshi kujulishwa kuhusu utangazaji wa kutafuta mkandarasi wa kujenga madarasa ya shule za sekondari kupitia fedha za IMF, Meya wa Moshi manispaa, amejinyakulia tenda ya Tsh 400 milion ya ujenzi wa madarasa.
Swali la msingi, halmashauri imempata mkandarasi asiyejulikana...
Habari wadau..
Nimesoma habari kwenye gazeti la the Citizen kwamba kuna mvutano Kati ya Mkurugenzi wa TRC ndugu Kadogosa na Mamlaka ya Usimamizi wa Manunuzi ya Umma yaani PPRA Kuhusu kutoa tenders za ujenzi wa reli vipande vya makutopola Tabora na Tabora Isaka yaani lot 3 na 4.
Kwamba bwana...
Nimeona kwenye magazeti juu ya mvutano wa PPRA na TRC kuhusu mfumo wa kuchagua mkandarasi wa kujenga reli.
Nawaomba PPRA waangalie jambo hili kwa maslahi mapana ya taifa ili kuwawezesha TRC kupata mkandarasi atakaye weza kujenga reli at EUROPEAN standards.
Mkiruhusu international competitive...
Aliyekuwa Mkandarasi wa Mradi mkubwa wa Maji wa Mwanga, Same na Korogwe, Badr East Africa Enterprises Ltd, ameridhia kurejesha fedha za mradi huo zaidi ya Sh bilioni 27 alizodaiwa kughushi na kujipatia isivyo halali.
Mradi huo ambao inatarajia kuhudumia wananchi zaidi ya laki nne, alighushi...
Hili vumbi linalotimka si la kitoto. Mradi wote huu wa mwendokasi huku Barabara ya Kilwa, tunaiomba serikali wambane sana huyu mkandarasi amwagie maji muda wote barabara ili kupunguza vumbi hili yaani tunateseka sana.
Pale chini mto Kizinga unatiririsha maji mengi hakukua na sababu sisi wakazi...
Ukweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM.
Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi!
Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.
Taasisi ya Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Geita imemrejesha kujenga upya barabara ya Makurugusi kwenda Musasa wilayani Chato yenye urefu wa Kilometa moja na nusu kwa gharama zake baada ya mkandarasi huyo wa kampuni ya M/S Runazi General Supplies Company LTD kudaiwa kujenga barabara hiyo...
Mambo ya kitemi na kutishana sasa mwisho ni lazima watendaji watende kwa mujibu wa sheria.
Dr Kigwangalla kawaombe radhi wale askari wanyama pori uliowapigisha push ups ( mzaha siyo mzaha) vinginevyo utaendelea kudata.
Jaffo kamwombe radhi yule mkandarasi uliyemfokea hadi akazimia...
Habari wakuu,
Wakati najipanga hapa nikaona niombe mchango wa mawazo na uzoefu wenu.
Bila shaka wapo ambao mnafahamu gharama ya kumtumia mkandarasi kujenga, walau kwa kukisia tu.
Nashukuru sana kwa mchango wenu.
Wataalamu naomba msaada maana ya neno ufundi mchundo
========
Mkandarasi ni fundi mwenye taaluma ya juu kuliko mafundi wengine wa ujenzi wakiwemo wakandarasi wa barabara wanaofahamu vitu na vipimo vyote vitakavyotumika katika ujenzi husika. Mkandarasi hufanya kazi maalumu zikiwemo za ujenzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.