Ameandika Wakili Peter Madeleka kupitia mtandaoni;
"Huo hapo ni uamuzi wa Mahakama na ni halisi (Authentic). Kimsingi, haueleweki na Hautekelezeki kisheria. Haiwezekani Thadey Sabinus Kweka akamshtaki Thadey Sabinus Kweka. Nitashangaa kama Polisi watatumia Uamuzi huo dhidi ya Kweka. Huko ni...