Mkanganyiko Mahakamani: Thadey Kweka aonekana kuwa mlalamikaji na mlalamikiwa katika shauri moja

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Ameandika Wakili Peter Madeleka kupitia mtandaoni;

"Huo hapo ni uamuzi wa Mahakama na ni halisi (Authentic). Kimsingi, haueleweki na Hautekelezeki kisheria. Haiwezekani Thadey Sabinus Kweka akamshtaki Thadey Sabinus Kweka. Nitashangaa kama Polisi watatumia Uamuzi huo dhidi ya Kweka. Huko ni kukurupuka."

Pia Soma: Thadei Kweka amepandishwa mahakamani leo Desemba 31, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi
1767252318854.png

1767252346976.png

1767252380735.png
 
Ameandika Wakili Peter Madeleka kupitia mtandaoni;

"Huo hapo ni uamuzi wa Mahakama na ni halisi (Authentic). Kimsingi, haueleweki na Hautekelezeki kisheria. Haiwezekani Thadey Sabinus Kweka akamshtaki Thadey Sabinus Kweka. Nitashangaa kama Polisi watatumia Uamuzi huo dhidi ya Kweka. Huko ni kukurupuka."

Pia Soma: Thadei Kweka amepandishwa mahakamani leo Desemba 31, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi
Una haika kuwa muhusika ndiye aliye upande wa pili? Jina moja linaweza kutumia na watu zaidi ya mmoja kwani hakuna sheria inayokataza.
 
Mshitaki na mshitakiwa kwamba wana fanana kwa majina yote matatu?!
Tusipende kutetea uzembe.
 
Ameandika Wakili Peter Madeleka kupitia mtandaoni;

"Huo hapo ni uamuzi wa Mahakama na ni halisi (Authentic). Kimsingi, haueleweki na Hautekelezeki kisheria. Haiwezekani Thadey Sabinus Kweka akamshtaki Thadey Sabinus Kweka. Nitashangaa kama Polisi watatumia Uamuzi huo dhidi ya Kweka. Huko ni kukurupuka."

Pia Soma: Thadei Kweka amepandishwa mahakamani leo Desemba 31, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi
 
Huo hapo ni uamuzi wa Mahakama na ni halisi (Authentic). Kimsingi, haueleweki na Hautekelezeki kisheria. Haiwezekani Thadey Sabinus Kweka akamshtaki Thadey Sabinus Kweka. Nitashangaa kama Polisi watatumia Uamuzi huo dhidi ya Kweka. Huko ni kukurupuka."📌🔨
 
Diaspora wanawindwa sana

Free Thadey Sabinus Kweka~Democracy Now in Tanzania & Goood Evening News

View: https://m.youtube.com/watch?v=C3W9hgwnvp0&t=3s

Nimeangalia hio youtube clip, inaonekana huyo mtoa taarifa anawatishia maisha ndugu zake na aliowataja kuwa anajua ni kina nani na wanaishi wapi na anataka Kweka aachiwe mara moja kwa kuwa anajua ndugu za maafisa wa ubalozi wanaishi wapi
Kwa nchi kama US, hii ni threat na kosa la jinai
 
Back
Top Bottom