1.RAFIKI YANGU,ULIMI WA SUMU
Ni Mkonze wilayani Nzega ni miaka zaidi ya 30 iliyopita.
Mimi nilikuwa na rafiki yangu ambae tulianza kidato cha kwanza pamoja,yupo hai hadi sasa na tunaendeleza urafiki.
Wazazi wangu walijenga nyumba mtaa mmoja,ambao hapa nauita mtaa wa katani,ambapo vyumba vya...