mkasa

Adolphus Ludigo-Mkasa, also known as Adolofu Mukasa Ludigo (c. 1861 – June 3, 1886), was a Ugandan Catholic martyr killed for his faith. He was born in the kingdom of Toro in the western part of the country, and became a companion of Charles Lwanga at the court of King Mwanga II.He was one of many Christians put to death by the king between 1885 and 1887; his day of martyrdom, June 3, is remembered as the feast day of the Uganda Martyrs.

View More On Wikipedia.org
  1. LEO_TENA

    Soma mkasa unitesao akili yangu

    Habari wana JamiiForums! Poleni na hongereni kwa utafutaji wenu, Mungu abariki kazi za mikono yenu. Kama kichwa kinavyojieleza pale juu, naomba usome uzi wangu, na mwisho unaweza nishauri. kupitia huu uzi nawe utapata funzo piaa. NAANZA; Kipindi cha miezi miwili iliyopita nilipata nafasi ya...
  2. Ethan Cruz

    Mkasa mfupi, mzito wa mapenzi

    Mimi ni msichana mwenye miaka 17 nipo form three (kidato cha tatu) katika shule moja hapa mjini. Nimekuja huku leo ili kuomba ushauri mimi ninasoma shule ya day na ninaishi kwa dada yangu ambae ameolewa,Tatizo ni kwamba dada yangu huwa anaingia kazini usiku hivyo kuniacha mimi na mumewe nyumbani...
  3. Jidu La Mabambasi

    Mkasa wa David Musyoka ni pure horror movie!

    David Musyoka ni Dereva wa Halmashauri huko Kenya, Kitui County. Siku kaamka vizuri tu na kaenda kazini, akatumwa sehemu kikazi naye kama kwaida kawasha gari akaingia barabarani. Mara akiwa barabarani anaendesha akaona watu wanashangaa ndege tai kashika nyoka. Yule ndege tai akamwachia nyoka...
  4. N

    Story ya kuuza mechi ya Simba Cairo na mkasa wa Shafii Dauda. Zimbwe jr, Kapombe vs Kaizer Chiefs

    2003 simba sc ilitikisa afrika nzima kwa kuwatoa mabingwa watetezi zamaleki waliokuwa kama weeks mbili nyuma wametoka kutoa draw na real madrid ya kina zidane,gutti kwenye club bingwa ya dunia Marahemu james siang'a mkenya aliyekuwa kocha wa simba anasema kuna mtanzania mwenye asili ya kiasia...
  5. The Garang

    Nimekataliwa kisa ni mwanachuo

    Habarini za jioni wana jamvi. Kuna binti tumefahamiana miaka miwili iliopita, ni dada ambae tunakaa sehemu moja. Aliniomba urafiki kwa kuwa alikuwa ananijuaa lakini mie sikuwa namjuaa kwakuwa kwao ni geti kali kidogo na ni mtu wa kushinda dukani. Maisha yakaendelea baada ya kumkubalia ombi...
  6. SteveMollel

    Mkasa wa wakimbizi wa Sudan na Apeth (na mikasa mingine)

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Karibuni tena. Kwa tahadhima, ninaomba nijibu mahitaji ya watu juu ya mfululizo huu wa 'nyuzi' za visa vya filamu kwa kutuma uzi huu wa tisa sasa kwa mfululizo. Nakiri ni muda sasa lakini natumai hakuna kilichoharibika. Kwa 'weekend' hii...
  7. C

    Mkasa gani uliowahi kukuta na ukaona akili imefika mwisho bila kutarajia ukapata njia

    Habar zenu bandugu, Mwaka 2014 nilipata mkasa mmoja baina yangu na ndugu yangu mmoja, ukanipeleka jela tulizinguana nikadhani yameisha nikawa nime relax tu mtaani mara gafla defender hio nikapigwa pingu mbele ya raia na mtaani kote hii ilikua siku ambayo sitakuja kuisahau wandugu maana...
  8. K

    Mkasa wa mapenzi: Mwendelezo

    Habari za usiku wanajamvi, poleni na pilika za kutafuta ugali.Basi bwana baada ya kutishwa na bi mkubwa kuhusu mumewe,mie nikarudi daslam baada ya mishe zangu mkoa kukamilika. Siku nafika jamaa (mume wetu)alikuwa nyumbani kwa bi mkubwa,Ila alijua Niko njiani na hata nilipofika nilimtaarifu...
  9. Sky Eclat

    Kisa cha Mwitore na bi mdogo kimenikumbusha mkasa wa swahiba wangu

    Swaiba alialikwa kwenye kikaocha harusi, amefika kule alikutana na binti mzuri sana, kinda bado changa kabisa. Alikuja mjini kwa mwaliko wa dada ambae wanatoka kijiji kimoja, ilkua mara yake ya kwanza kufika Dar huyu dada alimpeleka binti kwenye kikao kile kama sehemu ya utalii wake mjini. We...
  10. Xav Emmanuel

    Riwaya: "Mkuki wa Mapenzi" (Love Spear)

    RIWAYA: LOVE SPEAR 01 MTUNZI; AUTHOR XAV NAMBA; 0672493994 Email: xavemmanuel12@gmail.com ---------------------------- UTANGULIZI; MAPENZI ni moja kati ya njia ambayo kila binadamu anapaswa apitie. Ni njia ambayo haina muonekano halisi ambao unajulikana. Kila mtu anaonja radha yake katika...
  11. sky soldier

    Tupe mkasa wako ulivyoishia kumuoa uliyedhani utapiga na kusepa

    Katika maisha ya vijana wengi mahusiano mengi yanakuwaga ni mwanaume kumtamani zaidi mwanamke hivyo mwanamke hugeuzwa chombo cha kustarehesha viungo vya mwanaume. Hapo mwanaume nae mara nyingi anakuwa na plan zake kwamba hapa najipigia tu, nikimchoka naenda kwingine. Hali inaweza kuwa tofauti...
  12. Makanyaga

    #COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

    Wanabodi: Niwaletee mkasa huu wa kipekee unahusiana na pilika pilika za kujikinga na COVID-19 umemtokea jamaa yangu Jumapili ya tarehe 19/04/2020 akiwa Kanisani kwake Muhimu: Uzi huu unawafaa sana hasa wale ambao tu huwa wana muda na wanapenda kuchambua mambo kwa kina, vinginevyio kama wewe...
Back
Top Bottom