Nimepoteza funguo ya ghetto!,funguo nyengine anayo mtu mwengine ambae kuja mpaka kesho kutwa na huyo mwenye funguo nae kapoteza simu Sina mawasiliano nae!.
Utamu kunoga upo hapa:
Second option ni kwenda kulala kwa mchumba,Sasa mbovu mbaya ni kwamba juzi nilikichafua nilikwazana nae nikamtusi...