mkataba wa bandari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Determinantor

    Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa! Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW. Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na...
  2. YEHODAYA

    Serikali baada ya kukutana na viongozi wa dini ilitakiwa irudi tena kuwapa mrejesho mapendekezo yao Serikali imefikia wapi

    Sintofahamu inayoendelea sasa hivi Issue ya Dp World ilitakuwa kuwa solved kidogo tu. Viongozi wa serikali walikutana na viongozi wa dini kuhusu hilo swala Wakaeleza kutoridhikia na wakatoa maoni yao na kusihi serikali na bunge waangalie ushauri wao wawape mrejesho. Matokeo serikali na bunge...
  3. Mohamed Said

    Sheikh wa Mkoa Mwanza (Kuhusu Mjadala wa Bandari): Walaaniwe wote wenye nia ovu na Rais Samia

    TAMKO LA SHEIKH WA MKOA MWANZA KUHUSU MJADALA WA BANDARI Utangulizi Kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja kumekuwa na mjadala kuhusu uwekezaji na uendeshaji wa bandari zetu na kampuni kutoka Dubai. Mjadala ulianzishwa na wanasiasa na wanasheria lakini baadae ukachukua sura mpya na ya hatari...
  4. Bams

    Mkataba wa Bandari: Tatizo ni kubwa kwa sababu kuna watu wanaamini hawawezi kukosea

    Katika Ulimwengu huu, hakuna mwanadamu ambaye hawezi kufanya makosa, iwe ni kwa bahati mbaya au kwa kukusudia. Wanaofanya makosa, na wakagundua wamefanya makosa, iwe ni baada ya tafakari yao au kukumbushwa na wengine, nao wakakiri, ndio watu ambao wapo kwenye njia ya mafanikio. Lakini wapo...
  5. H

    Viongozi hawa kukaa kimya kuhusu suala la Bandari inaashiria nini?

    Wana bodi, Kwa ukimya wa Askofu Gwajima kiasi hiki juu ya sakata la DP WORLD! amekuwa kimya Sana na mtulivu utadhani hayupo Tanganyika! kabudi pia kawa kimya sana, utadhani hayupo Tanganyika. yule mbunge wa iringa pia yuko kimya sana yaani nikama haishi Tanganyika kabisa. hatusikii maoni yao...
  6. 101 East

    Nataka kujua nini kilijadiliwa tarehe 12 na 26 Juni, 2023

    Hii nimeitoa kwenye kifungu cha 6 cha waraka wa maaskofu kwenda Kwa serikali kifungu hichi kinaeleza Baada ya juhudi zao za mazungumzo Kati Yao na viongozi wa juu wa serikali tarehe tajwa hapo juu kutokuzaa matunda maaskofu imewapelekea kuachia walaka Huu kwenda kwa wananchi. Kama walaka...
  7. richaabra

    Mkataba wa Bandari: KKKT muelewe hili kwanza

    Mimi ni muumini wa hili kanisa usharika wa Mbezi Louis, tokea nianze kusali nikiwa sunday school pale ni mwaka wa 18 sasa, katika vitu nlivyogundua ni kwamba haya makanisa hasa Kkkt yanaendeshwa kupitia sadaka za waumini yaani waumini wakisema wasitoe sadaka ndani ya miezi 3 tu hali ya viongozi...
  8. L

    Mbunge wa Bunda ameidhalilisha CCM na anapaswa kukatwa jina lake uchaguzi ujao

    Ndugu Zangu Watanzania: Umuhimu wa Uongozi Mzuri na Viongozi wa Kuaminika Katika kipindi hiki cha mjadala wa kisiasa na kuleta maendeleo nchini Tanzania, ni muhimu sana kwa viongozi wetu, hasa wabunge, kuelewa jukumu kubwa wanalolobeba katika jamii. Wabunge ni wawakilishi wa wananchi, sauti ya...
  9. voicer

    Kikwete Umetumia mimbari kisiasa Rorya!

    Mheshimiwa Rais mstaafu, Tulidhani ukiishastaafu unatoka kwenye siasa Rasmi, laakini umetumia haki yako ya kikatiba kutoa maoni yako. Ingawa wengine wanazuiwa kutoa maoni yao ila wewe umetumia mimbari hiyohiyo kufanya kile ulichokipinga. Ulipaswa kutoa hilo tamko nje ya mimbari hiyo maana hilo...
  10. magode

    Ushauri: Rais Mstaafu Kikwete, kwa hili la bandari unajiaibisha na kujivua nguo

    Umofia kwenu. Wanajamvi, Nimesikiliza hotuba ya Rais wa awamu ya 4 Mh. Jakaya kikwete akikemea viongozi wa Dini kujihusisha na siasa. Hotuba ya kikwete inakuja banda ya baraza la maaskofu katoliki Tanzania TEC kutoa waraka wa kupinga uuzwaji wa bandari. Ni wazi Kikwete alikuja mbele kujibu...
  11. MUSHEKY

    Sakata la Bandari: Muungwana akivuliwa nguo huchutama

    Bila salamu nijielekeze moja kwa moja kwenye mada Kama binadamu (sio robot) leo nimeona nitimize wajibu wangu kuongea machache yanayohusiana na sakata la hizi bandari zetu Kwanza kabisa niwakumbushe watawala wote (hasa wale wa ngazi zinazonyenyekewa) akiwemo Rais wa jamhuri ya muungano wa...
  12. Roving Journalist

    Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=0du5OfCnYHM Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  13. Kingsmann

    Mhashamu Almachius Rweyongeza apigilia msumari zaidi kwenye waraka wa TEC

    Mhashamu Almachius Vicent Rweyongeza, Askofu wa jimbo katoliki la Kayanga, Karagwe, Kagera amesema "Chaguzi zilizopita zilikua zinakasoro wengi mlipokea Rushwa na mkasimamia hovyohovyo, Bunge likajaa hao wabunge ambao wameanza kubadili sheria ili ziwalinde" Msikilize kwa dakika 8 akitema madini...
  14. GENTAMYCINE

    Kwa wanaopinga Mkataba wa DP World vijiweni ila kwenye media wanasifia na kumsifia kwa kufuru Rais

    Tunakoelekea sasa Mheshimiwa Rais Samia tutakutajia Watendaji wako (hasa Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya) wenye Unafiki mkubwa ambao GENTAMYCINE huwa napata Taarifa zao kupitia kukutana nao baadhi, Wanafamilia Wao, Ndugu zao, Madereva, Wasaidizi Ofisini na Walinzi wao na hata...
  15. figganigga

    Baba Askofu Stephen Munga: Acheni kucheza karata ya Udini, hoja ijibiwe kwa hoja

    ACHENI KUCHEZA KARATA YA UDINI - HOJA IJIBIWE KWA HOJA Suala la mjadala wa mkataba tata wa bandari sio mchezo wa kamari. Hapo hatufanyi majaribio katika kuhoji na kujibu hoja. Pia hapo tunatazama mambo mapana ya taifa kwa vizazi vingi vijavyo. WATU WENYE AKILI TIMAMU NA NGUVU YA KUFIKIRI...
  16. The Sheriff

    Sakata la Bandari: Baraza la Mitume na Manabii Tanzania lakanusha kutoa Tamko

    Baraza Kuu la Mitume na Manabii Tanzania limekanusha kuhusika na barua ambayo imesambaa mtandaoni ikieleza kinachodaiwa kuwa ni tamko la baraza hilo kuhusu sakata linaloendelea la Mkataba wa Bandari. Akieleza katika video aliyoiposti kupitia ukurasa wake wa Twitter, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya...
  17. The Burning Spear

    Harakati za Ukombozi na utetezi wa mtu mweusi huko Marekani zilifanyika Kanisani. CCM acheni kupindisha Mjadala wa Bandari

    Kamwe huwezi kuwazuia Viongozi wa dini kukemea maovu hasa pale serikali inapokuwa na moyo mgumu na usio kuwa na huruma kwa wanchi wake. Kilichofanywa na kanisa Katoliki ni kutimiza wajibu wao wa kichungaji na hakuna tatizo lolote. Kanisa halijaanza leo kuwakalipia wanasiasa wa hovyo. Leo hii...
  18. Venus Star

    Askofu Desmond Mpilo Tutu wa Afrika ya Kusini hakukaa kimya kuwatetea watu weusi (Dini vs Siasa)

    Kumekuwa na discussion kuhusu kuchanganya dini na siasa. Kusema kweli jambo hili limafikirisha sana. Askofu Desmond Tutu wa Afrika ya kusini alisimama na waafrika kupinga sera za ubaguzi wa rangi huko Afrika ya kusini. Ukombozi wa mtu mweusi umekuwa ukipiganiwa na maaskofu miaka mingi. Hapa...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa nini kuupinga Mkataba wa Bandari inaitwa "udini" lakini kuunga mkono sio udini?

    KWA NINI KUUPINGA MKATABA WA BANDARI INAITWA "UDINI" LAKINI KUUNGA MKONO SIO UDINI? MSIWE WAPUMBAVU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wanasiasa moja ya mambo yanayowashushia heshima ni kigeugeu na unafiki wao. Wanasiasa wakisifiwa na viongozi wa dini hawasemi dini imeingizwa kwenye Siasa...
  20. chiembe

    Sheikh Muharam Mziwanda adai Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena Bandari ya Dar

    Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini. Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna tetesi kwamba maelfu ya makontena hupitia jina la kanisa hili kwa lengo la kukwepa Kodi. Je kanisa...
Back
Top Bottom