Waziri wa Nape Nnauye amesema kwamba hakuna Mtanzania yeyote aliyekamatwa ama anyeshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa sababu tu ya kukosoa mkataba wa uwekezaji wa bandari kati ya serikali ya Tanzania na Dubai kama ambavyo imekuwa ikitajwa na mashirika ya Kitaifa na Kimataifa.
Kauli hiyo ameitoa...
Wanabodi,
Naomba ufahamu kidogo Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) ilijadili na kupitisha Mkataba wa Bandari kwamba ni mzuri na una maslahi mapana ya Taifa.
Naomba kufahamu katika Historia ya nchi yetu ukiacha mkataba wa Bandari ni Mkataba gani mwingine ulijadiliwa na NEC na kupewa baraka...
Nashauri wadau badala ya kusubiri serikali kurekebisha mkataba nendeni moja kwa moja UAE na mapendekezo ya marekebisho.
Na nina rudia UAE sio Dubai pekee maana tuna uhusiano na UAE kama nchi na sio Dubai. Lakini twende na mapendekezo kabisa ya marekebisho ya mkataba naamini kabisa wataaikiliza...
Ningependa kujua sababu za msingi za Rais Samia Suluhu Hassan kutowajibika kama Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutoa tamko lake rasmi kuhusu mkataba tatanishi wa DPW ambao kwa kiasi kikubwa unapingwa na Wananchi waliyo wengi?
Nini sababu ya ukimya wa Rais Samia Suluhu Hassan?
Mimi naomba kwa wale wote wanaopenda nchi yetu tusibaki kulalamika na serikali yetu ambayo haifanyi lolote kurekebisha mkataba badala yake naomba tufanye hivi
Team ya wasomi wanao taka mabadiliko wasafiri kwenda Dubai kama wadau wa maendeleo na waombe kukutana na viongozi wa huko . Waende na...
Mamlaka ya Tanzania inapaswa kuwaachilia mara moja na bila masharti Willibrod Slaa, aliyekuwa mbunge na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Boniface Mwabukusi, mwanasheria na mwanaharakati, na Mdude Nyagali, mwanaharakati wa kisiasa, ambao wote walikamatwa kati ya 12 na 13 Agosti kwa kosa la...
amavubi gfsonwin
amnesty
amnesty international
bandari
international
king'asti asprin
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
mara
mkataba
moja
mpango
uae
wakosoaji
Hii kamata kamata ya mama Samia dhidi ya wanahoji na kupinga mkataba mbovu baina ya Tanzania na DP World inaonesha ni mkakati B wa kuzima hoja hiyo.
Wasomi binafsi wa Cuba tulielewa sana matukio yaliyojiri hivi karibuni ambapo jamii iligoma kuhamishwa kutoka kwenye hoja hii yenye utata mkubwa...
Sijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia wananchi kama kama kweli mkataba sio mbovu.
Lakini Chadema kupitia Tundu Lissu walikuwa wanafafanua ibara mbovu zisizofaa
Majaji watatu huko Mbeya High court wamekiri kuwa mkataba ni mbovu kwa baadhi ya vipengele ila...
Asalam,
Nilifuatilia sana suala la kesi iliyofunguliwa na hawa mawakili. Nikafuatilia hukumu na baada ya hukumu nikajipa muda kufuatilia mitazamo, uelewa, na mipango ya wafungua kesi. Huu ndio ushauri wangu.
1. Zamani sio kama sasa, hasa kwa taifa lililopevuka kama Tanzania, TUHESHIMU TAASISI...
Habarini wadau,
Ebana mimi nataka kuingia ubia na biashara flan ya mtu mwingine kama mwekezaji. Sasa makubaliano tiyari tunayo hivyo tupo kwenye hatua ya mkataba.
Naomba kuuliza je mkataba huo inabidi uwe umepitiwa na kusainiwa na mtu mwingine yeyote kama mwanasheria au mtendaji wa eneo...
Hey habarini nyote,
Nimesikitika na kutema mate na kusonya sana utoto wa hatua ya police kuhusu maandamano ya amani na yenye nia njema kufikisha ujumbe wa kupinga mkataba mbovu na wa kitumwa na usiofaa popote Duniani kote.
Ni zumbukuku na mazumbukoko tu ndio wanaweza kua na akili za kengeza...
"Leo (jana) hukumu ya kupinga mkataba wa bandari imetoka lakini kabla haijatoka nilishafanya mikutano kadhaa nikawaambia wana-Mbeya mjini bandari haijauzwa nikawaambia nchi haijauzwa mtu akikuambia bandari imeuzwa mwambie shilingi ngapi?? Akishindwa kukuambia chaliiii!!! maana leo (jana) watu...
Nawakumbusha tu kuwa mkataba wa IPTL uliingiwa kati ya nchi yetu na IPTL ya Malaysia mwaka 1994 ambapo rais alikuwa Mwinyi.
Rais Mwinyi ni Mzanzibar.
cc johnthebaptist
Ukiusoma, kila upande umelinda maslahi yake. Arbitration, wanaanza wao wanaohusika, then wakishindwa wanamtafuta msuluhishi kwa kila upande kuleta mtu wao wakisimamiwa na third party ambaye watamchagua wao wawili. Ikishindikana hapo wanakwenda ICSDI...unaona kabisa hakuna aliye dictate terms kwa...
Tunakumbushana tu leo ndio tarehe 10/08/2023
---- UPDATE----
Mahakama Kuu nchini Tanzania hii leo imetupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga mkataba (IGA) wa uwekezaji wa bandari baina ya serikali ya Tanzania na falme ya Dubai.
Kesi hiyo iliyofunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Mbeya na...
Mwanzoni, sikuwa namwelewa Wakili Mwambukusi. Alisema kuwa suala hili la Bandari halitaisha kirahisi kama ilivyozoeleka. Akasisitiza kuwa suala hili litapingwa mahakamani na siasasi. Ingawa nami tangu mwanzo naupinga bila kuvunga Mkataba wa Bandari wa DP World, niliitazama kwa wepesi kauli ya...
Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana wamemwandikia Barua Saed Kubenea na Gazeti lake la Mwana Halisi wakimtaka kutimiza madai yao mawili ambayo ni 1. Kufuta Kashfa Dhidi yao na Kuomba Radhi 2. Kuahidi Kuacha Kuwakashifu kutokana na...
Tanzania na Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu zimetiliana Saini mkataba wa mkopo nafuu wa dola za Marekani milioni 30 sawa na shilingi bilioni 70 za Tanzania kwa ajili ya Ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme Msongo wa kV 220 kutoka Benaco hadi Kyaka na Upanuzi wa Kituo...
Nimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko lako linaamsha maswali)
1. Kama mkataba una manufaa, kwanini bandari za Zanzibar hazipo? (kizuri...