mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    Ukimya wa UVCCM kwenye mkataba wa Bandari ni uzalendo au kulinda maslahi?

    Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hawa vijana wakijitokeza haraka kutetea au kufanya maandamano kupongeza kunapotokea sintofahamu hasa yanapoguswa maslahi ya serikali ya CCM na viongozi wao wakuu, lakini tofauti na sasa ukitoa tamko la Mwenyekiti wao Kawaida sijawasikia au kuwaona wakiandamana mkoa...
  2. M

    Mkataba wa IGA kati Tanzania na Dubai una uhalali?

    Hivi mkataba kati ya Tanzania na Dubai una uhalali wowote wa kuitwa ni IGA? Yani una uhalali wa kuitwa mkataba kati ya nchi na nchi? Inaonekana waliosani ni Dubai na Dubai ni mkoa tu katika UAE. Je mkoa wa Geita unaweza saini na Ujerumani huo mkataba ukaitwa IGA na kama siyo huu mkataba...
  3. H

    Cheedy: Kuvunja mkataba Konde gang ni Billioni 1 ila wao wakivunja mkataba na wewe ni million 10

    Msanii Cheedy hivi karibuni Konde Kang walivunja mkataba nae ikalazimika imlipe million 10 kama sehemu ya kuvunja mkataba. Wakati akihojiwa na East Africa Radio, Cheedy amefunguka kuwa; "Mkataba waliotengeneza Konde Gang hauendani na uwekezaji wanaouweka kwa sisi wasanii. Haiwezekani uweke...
  4. mwanamichakato

    Rais Samia tunakuomba hutubia taifa, omba radhi, fanya maamuzi magumu ya kuvunja mkataba huu nchi ipone

    Rais umefanya mema na mazuri kupitia uongozi wako. Mungu mtakatifu ana kusudi la kukupa nafasi kuu ktk nchi yetu ktk mazingira uliopewa si Kwa mapenzi ya wanadamu Bali Mungu tu..Si Kwa wewe kutaka Bali neema tu. Wengi sana walijitokeza (Watangaza nia)ili kupewa kijiti cha kupeperusha bendera...
  5. U

    Mkataba wa bandari: Tundu Lissu asema una "utukufu wa kikatiba". Kuhusu bandari, mkataba huu ndiyo sheria! Afafanua namna unavyoweza kuvunjwa

    Ni kwenye PC yake ya juzi kwa vyombo vya habari alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari.. Wasio na bundle, hizi hapa 👇👇👇ni baadhi ya quotes za kauli zake • "Haya makubaliano ndiyo mkataba. Kwa jinsi mkataba huu ulivyo haurekebishiki na ukabaki", Tundu Lissu • "Kwa jinsi mkataba huu...
  6. comte

    Kamati maalum ya TLS kuchunguza Mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar

    BARAZA la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) limeunda kamati maalum ya wataalamu kuchambua makubalino yaliyoainishwa katika mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar es Salaam kati ya serikali ya Tanzania na Kampuni ya Dubai ya DP World. Rais wa TLS, Wakili Harold Sungusia amesema kamati...
  7. E

    Turufu yetu ya mwisho kujitoa mkataba wa DP World ni kuwakata waliohusika kujadili na kusaini kwa tuhuma za rushwa

    Kama mkataba ni mbaya na ni wa milele, Turufu yetu ya kwanza kujitoa ilikuwa kupingwa na bunge ingekuwa wazi kwamba mchakato wa kisheria haukamiliki kwa mtu mmoja kutia saini. Hiyo wabunge wetu wanajigamba kuwa magwiji wa sheria hawakuona. Sasa ni kuunda timu ya kuchunguza ambayo itaibuka na...
  8. Top for B

    Serikali inatakiwa kuelewa kwamba watanzania tunapinga mkataba kutokana na masharti yake

    Utetezi umekua mwingi ambao unatafuta visingizio na si kujibu hoja, masharti ya mkataba ndiyo yanapingwa sasa serikali ikija na mkataba ambao haupo juu ya sheria za nchi tunaweza tukaelewana, alafu pia hii ngoma ndo kwanza mbichi msidhani tutasahau hata mkimwambia Diamond amlete fantana bongo.
  9. E

    Mbadala wa Mkataba wa Bandari na DP World huu hapa

    Tuunde kampuni ya bandari, Tuandae mpango wa kuunganisha nchi za "east and central africa" na bandari yetu. Hapa tutazungumza na nchi kama zambia, kongo, burundi, uganda, afrika ya kati. Halafu tutengeneze master plan itakayojumuisha upanuzi wa bandari, ujenzi wa njia za kusafirisha mizigo...
  10. U

    Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini

    Hakika shetani ana trick za ajabu sana anapotaka kutenda au anapotenda uovu wake kwa kuwatumia watu waovu hususani viongozi wenye dhamana kubwa za kuongoza nchi na wananchi wa nchi yetu.. Hebu twende pamoja, soma na sikiliza hii👇👇👇 Mkataba wa DP WORLD ni zaidi ya mkataba tu! • Kumbe kulikuwa...
  11. VUTA-NKUVUTE

    Hili hapa chimbuko la Mkataba 'tata' wa Bandari, hawa wanacho cha kutueleza!

    Nimeamua kuwadokeza watanzania jambo hili. Kujua chimbuko ni mwanzo wa kujua suluhisho la tatizo, kama lipo. Kwa ubobevu wangu kiutumishi serikalini na chamani, nimefuatilia na kujua chimbuko la mkataba huu 'tata' wa bandari kati ya Serikali yetu na ile ya UAE ikiwakilishwa na kampuni ya DP...
  12. B

    Wakili Mwabukusi: Rais Samia atusikie, Mkataba wa Bandari haulindi uhai wa Nchi yetu

    WAKILI MWABUKUSI: Rais Samia atusikie, Mkataba wa Bandari haulindi uhai wa Nchi yetu Katika mahojiano leo na wakili Mwabukusi anaangazia mambo zaidi kamati ya bunge, uwakilishi wa muswada wa mkataba bungeni na jinsi muda finyu waliopewa wabunge kuujadili ... . Wabunge Halima Mdee, Aida...
  13. Lanlady

    Wakati tunamshukuru alivujisha mkataba, tujiandae pale watakapozima mtandao!

    Kuna hisia nazipata hasa baada ya DP World kufunga message huko instagram. Watanzania wamekuwa wakionesha hisia zao kuhusu kutokubaliana na mkataba wa kubinafsisha bandari kwa muda usio na kikomo. Wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii kudhihirisha hisia hizo. Sasa hofu yangu kwa sasa ni juu ya...
  14. G Sam

    Wanaotetea mkataba kati ya Tanzania bara na DP World wanasumbuliwa na udini!

    Niseme wazi kabisa wabaotetea huu mkataba wa kipuuzi kati ya Tanzania bara na DP World kuwa wamilikishwe bandari zote za Tanzania bara kwa mkataba usiokuwa na ukomo wanasumbuliwa na udini. Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuthubutu kuungana na huu upuuzi zaidi tu ya udini wao. Wana...
  15. Mnada wa Mhunze

    Tundu Lissu: Rais Samia na Mbarawa wameiuza Tanganyika yetu kwa Waarabu

    Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya... Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO. Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa...
  16. T

    Ni Watanzania wanaopinga na wengine kuukubali mkataba, mjadara usiwe ni Dini zinatofautina!

    Mali zote za nchi hii ni zetu sote watanzania bila kujali dini zetu Hakuna mwenye haki zaidi ya mwingine kwenye Mibaraka ya Mungu juu ya nchi yetu Tanganyika Tunaweza kutofautiana kwenye Imani, lakini hiyo haiondoi Utanzania wetu Hatuna nchi nyingine zaidi ya hii tuliyopo sasa, sote ni...
  17. comte

    DP World: Zungu atinga mkutanoni na mafaili ya makubaliano

    Akizungumza na wananchi wa jimbo lake(Ilala), Mussa Azan Zungu amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)...
  18. comte

    Mh. Lissu sasa inatosha umetudharau vya kutosha; inawezekana vipi kuwe na mkataba wakati kuna mambo huyakubali?

Back
Top Bottom