Habari Wana JF.
Naitwa parson,
Nina umri wa miaka 35,
pombe na sigara situmii,
Kazi mjasiriamali (mdogomdogo) mwenye malengo makubwa.
Sifa ya mke nimtakaye.
Umri kuanzia 30-36
Kabila -lolote
Dini- yeyote
Rangi -Natural (asiwe wadukani)
Elimu- kuanzia kidato Cha nne mpaka chuo kikuu.
N:B Eva...
Habari zenu wakuu?
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza natafuta mke wa kuoa awe serious na maisha umri miaka 24_30 kabila lolote ili mradi awe mtanzania dini sichagui wala rangi sijui sura mimi sichagui.
Najua kuna wanawake wangependa kujua kipato changu mimi kwa sasa nabangaiza...
Wapendwa wa Jamii Forums,
Nawasalimuni nyote! Kisha napenda kuwashirikisha jambo langu. Sina mambo mengi. Kwanza kabisa, WANAUME wenzangu hii haiwahusu kabisa. Labda kama unamjua mwanamke wa aina hii nayotafuta umwelekeze yeye mwenyewe awasiliane na mimi. Nataka kuoa. Sifa zangu na za huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.