Habari zenu Wana Jamvi, hope ni wazima. Ebana, hatimaye katika harakati za hapa na pale, baada ya kuona washkaji stori zinazoongelewa ni za masuala ya kubeti, ikabidi na mimi niwaombe wanielekeze kutokana na kwamba nina ujuzi wa kutosha wa masuala ya soka.
Basi msela mmoja aka-download app moja...