Jana kipenga cha siasa za uchaguzi kilipulizwa huko Zanzibar, tunao wakuu wa wilaya na mikoa ambao kasi ya kukimbilia mpira wa majukwaani siyo nzuri.
Wapo wakurugenzi ambao kazi ya kumanipulate issue siyo karma yao. Sasa wajiandae mkeka unakuja. Wasidhani kwamba chama kimewatenga bali speed ya...
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara ametoka nje ya ukumbi wa Bunge huku akivua koti na tai yake baada ya kuonesha kutoridhidhishwa na majibu ya Serikali Bungeni wakati wa kipindi cha maswali na majibu Jijini Dodoma leo May 9, 2023.
Mbunge Waitara alitaka kujua lini Wananchi wanaodai fidia...
Tukubali kwamba Rais amekwazika sana na ripoti ya CAG. Nilipomsikiliza akitamka neno stupid nilimkumbuka Rais wa sasa wa Zambia Hichilema alipowaambia Wazambia kwamba, siku anaingia ofisini alikuta majalada yanayomtaka aidhinishe fedha za magari na samani nyingine za ofisi kwa kigezo kwamba...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao.
Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 100 ambao ni kama ifuatavyo:
A)...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Runzewe mkoa wa Geita, leo tarehe 16 Oktoba, 2022
Kwanza nawashukuru, nimeingia Geita jana asubuhi sana, tumefungua hospitali ya kanda pale chato, lakini tukafungua kiwanda cha kuchenjua dhahabu itakayouzwa...
Ni kweli watu hushinda hadi mamilioni ya pesa Ila asilimia kubwa ya pesa hurudi kwa muhindi.
Binafsi naweza kujivunia kwa kukumbuka niliwahi mla muhindi laki tatu (premier bet), Nikanunua simu mwaka 2013.
Hadi leo nikipigo na kujifariji ligi haijachangamka huku kuliwa kuliwa kikubwa mno.
Imekuwa ni tabia sasa au tuite formula kabisa kwa hawa viongozi wa kiserikali wanaopata ajira zao kupitia teuzi. Kipindi hiki utasikia maekezo mengi sana kuhusu wakuu wa wilaya hasa kwenye vyombo vya habari sana sana wanaonekana kama ndiyo wametoka kuamka au ndiyo wamepewa kazi leo.
yaan...
Mwenye idea kuhusu "mkeka wa mbao" au "Floor decor" __ nimekuwa nikiona katika movies za nje (Ufilipino) na kwenye matangazo vifaa vya ujenzi hasa kenya.
Uzuri? wake na Ubaya? wake__ nimekuwa nikiona matangazo wakisema warranty miaka 25!
Vipi ubora wake unaweza kupiku tiles (vigae)?
Nawasilisha!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Wakuu wa wilaya nchini wameacha kufanya kazi kwa hofu ya kuondolewa au kuhamishwa vituo vya kazi.
“Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka. Sikusema nitawabadilisha leo au kesho, kwahiyo kama hamfanyi kazi hao ndiyo...
Naona kana kwamba unapitia wakati ulio mgumu.
Hongereni yanga kwa ushindi wa kishindo.
Henu fikiria
Simba chali
Man u chali
Mkeka umechanwa na hizo timu huku wewe ukiwa ni shabiki kindakindaki
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 3 Agosti 2022.
Bei za Mafuta katika soko la dunia zimeendelea kuongezeka na kusababisha bei za mafuta katika soko la...
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera.
Wakuu wa mikoa 10 wamebaki kwenye vituo vyao vya kazi vya awali huku 7 wakihamishwa.
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi...
Sio kwa nia mbaya ila ni ukweli kuwa kwa miaka ya hivi karibuni imezuka kasumba ya kila mtu anayetaka hoja zake kuhusu maendeleo zisikilizwe basi lazima awaseme vibaya wasomi wa nchi (Tanzania) na kubeza kabisa mfumo wa elimu yetu.
Kama wasomi hatukatai kukosolewa lakini kwa sasa watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.