mkenda

Adolf Faustine Mkenda (born in 1963 Rombo, Kilimanjaro), is a Tanzanian Minister of Agriculture. An associate professor of Economics at the University of Dar es Salaam and a politician who presently serve as a Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament for Rombo constituency since November 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Prof. Mkenda: Eneo la Sayansi Teknolojia na ubunifu bado linahitaji kupewa msukumo

    Na WyEST DSM Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) amesema eneo la Sayansi Teknolojia na ubunifu bado linahitaji kupewa msukumo na hivyo linahitaji wadau wengi katika kuendeleza. Waziri Mkenda amesema hayo Jijini Dar es Salaam wakati akifungua Mkutano wa mwaka wa...
  2. Roving Journalist

    Waziri Mkenda: Kila Mwanafunzi kutumia Komputa yake katika Vyuo vya Ualimu

    Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema, katika Vyuo vyote 35 vya Ualimu, Wanafunzi Wanatumia Komputa ambapo Uwiano sasa ni Komputa moja kwa Wanafunzi wawili awali ilikuwa Kumputa moja kwa Wanafunzi 28. Ameyasema hayo tarehe 05 April 2022 Jijini Dar wakati wa Ugawaji...
  3. Roving Journalist

    Waziri Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Nchini, Ahmad Al Homaid

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda (Mb) leo tarehe 24 Machi,2022, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Nchini, Mhe. Balozi Hussain Ahmad Al Homaid Jijini Dar es Salaam. Viongozi hao pamoja na mambo mengine wamezungumzia ushirikiano wa Nchi hizo mbili katika...
  4. Roving Journalist

    Waziri Mkenda: Kaya zenye Wazazi Waliosoma zina Usitawi kuliko Kaya ambazo Wazazi hawajasoma

    Salaam Wakuu, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda, amesema Takwimu zinaonyeshwa kwamba Kaya zenye Wazazi Waliosoma, zina Usitawi kuliko familia za Wazazi ambao hawajasoma. Hata Nchi zilizowekeza kwenye Elimu zina maendeleo zaidi ya Nchi ambazo hazijawekeza kwenye Elimu...
  5. Roving Journalist

    Waziri Mkenda atoa wito kwa Wabunifu kujisajili ili kushiriki Mashindano ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda, amesema Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, inaanda Wiki ya Kitaifa ya Ubunifu na Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu maarufu kama (MAKISATU) kwa mwaka 2022. Ameyasema hayo leo 16 Februari 2022 wakati akiongea...
  6. luangalila

    Profesa Adolf Mkenda mulika vyuo vikuu vyenye utitiri wa programmes ambazo ni irrelevant, unmarketable

    Mhe.waziri wa elimu ukiwa kama mwanazuoni, saidia kumulika vyuo vikuu vimekuwa hodari kubuni programs ambazo ni sawa na chuma ulete ... Yaan wanakwapua pesa za wananchi / wasaka elimu ya juu (degree level) programs wanazo anzisha unakuta hazina soko ktk soko la ajira kabisaa yaan ni aibu ata...
  7. peno hasegawa

    Waziri Mkenda asema ufaulu somo la hisabati ni janga linalotakiwa kutafutiwa ufumbuzi

    Ninapata shida kidogo kuhusu kauli ya Prof Mkenda. Wanaofaulu somo la Hisabati wanaajiriwa wapi? Somo la hisabati linawasaidia nini wansfaulu kama wanashindwa kujiajiri na kuajiriwa? Prof Mkenda, kwa ufahamu wako mkubwa tambua kuwa walimu wanao fundisha somo la Hisabati Form four walifeli...
  8. Roving Journalist

    Waziri Mkenda awataka DIT waanze kutengeneza vipuri vya vyombo vya moto ikiwemo vya bajaji na pikipiki

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ameitaka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kujitanua zaidi kwa kutengeneza vipuri vya vyombo vya moto ikiwemo vya bajaji na pikipiki. Ameyasema hayo Januari 28, 2022 Jijini Dar es Salaam wakati alipotembelea Taasisi hiyo ili...
  9. Roving Journalist

    Waziri Mkenda: Serikali kufanya tathimini ya wahitimu wanaomaliza katika Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA)

    Serikali kufanya tathimini ya wahitimu wanaomaliza katika Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) ili kuona namna wanavyoweza kujiajiri ama kujiajiriwa baada ya kumaliza mafunzo. Kauli hiyo imetolewa Januari,15 2022 jijini Arusha na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda katika...
  10. Roving Journalist

    Waziri Mkenda: Nitatumia wataalam wa elimu walipo ndani na nje ya wizara ili kuwa na maamuzi yenye tija kwa nchi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema atatumia wataalam wa elimu walipo ndani na nje ya wizara ili kuwa na maamuzi yenye tija kwa nchi. Waziri Mkenda amesema hayo leo Januari 13, 2022 jijini Dodoma wakati akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo...
  11. Roving Journalist

    Waziri Mkenda: Hii sio Wizara ya Elimu tu, bali Elimu Sayansi na Teknolojia kwa mapana yake

    Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amewataka Wafanyakazi wote kufanya kazi kwa ujasiri bila Uoga, Kwa utii Uaminifu na Uadilifu, Wasifanye kazi kwa nidhamu ya Uoga. Ameyasema hayo leo 10 Jan 2022 Jijini dodoma alipofika Ofisini kwake baada ya kuapishwa ma Rais Samia...
  12. Richard

    Rais Samia kumuacha Dotto Biteko, kumpa Bashe Kilimo na Prof. Mkenda umeonesha ukomavu na uelewa. Mchengerwa naomba urudishe kombe la taifa

    Raisi Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ambalo ni lilelile alolirithi kutoka kwa mtangulizi wake hayati Magufuli. Ni mabadiliko ambayo yanaonyesha kwamba anataka watu wataomsikiliza na walo tayari kufuata akitakacho na si kujitia ujuaji. Hivyo raisi kaamua...
  13. Roving Journalist

    Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu

    Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam. ====== Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo...
  14. Jidu La Mabambasi

    Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

    Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani. Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili. Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora. Na hii naanza...
  15. Ngungenge

    Waziri wa Kilimo Profesa Mkenda, unataka Rais Samia akubebeje?

    Binafsi napata wasiwasi na huyu Waziri ambae elimu yake ni Professor, namuuliza kweli ameshindwa ku handle tatizo la bei ya mbolea nchini? Na msaidizi wake Bashe ambaye kimsingi ni mkulima inamana Bashe na wewe kwenye mashamba yako unanunua DAP, KAN, UREA 110,000 kwa mahekari yote hayo...
  16. Analogia Malenga

    Profesa Mkenda amtimua meneja kitengo cha mbolea TFRA

    Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda ameagiza kuondolewa kwa Kaimu Meneja wa Kitengo cha Ununuzi wa mbolea kwa pamoja (BPS) kilichopo Mamlaka ya Mbolea Tanzania (TFRA), Nganga Nkonya. Waziri Mkenda ameagiza kaimu meneja huyo aondolewe na arudishwe wizarani kutokana na kushindwa kuwahudumia...
Back
Top Bottom