Mwanamke Mkenya anayetambulishwa kwa jina la Joy ameripotiwa kufariki nchini Saudi Arabia baada ya kuanguka ghafla alipokuwa akicheza na mtoto wa mwajiri wake.
Video inayosambaa mitandaoni inaonyesha Joy akicheza kwa furaha na mtoto huyo ndani ya nyumba ya mwajiri wake kabla ya ghafla kuanguka...