Eti ni ya kweli haya ?
Naona reply nyingi kwenye nyuzi zangu kua wanawake waliojazia kwenda nyuma ndiyo kila kitu.
Haya mtuambie mnayapendea nini matraaakoooo makubwa 🍑?
Vipi wanawake wenye makalio makubwa, huwa mnapata special treatment kwa ajili ya maumbo yenu au ni usumbufu tu?
PS:
Sisi...
Siku droo ya makundi inapangwa,mitaa ya Twiga na Jangwani ilifurika watu wakifuatilia mubashara,
Baada ya kushiba supu walisikika wahuni wakitamba kuwa ''tunamtaka Mamelodi,tunamtaka Mamelodi''
Baada ya droo nilijua Yanga hatoboi,TP Mazembe wangechangamka na ibenge asingewaachia Yanga...
Wanabodi heshima mbele.
Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo fanyika katika chuo kikuu cha MASENO nchini Kenya.
Nchi zilizo shiriki ni pamoja na Tanzania,Uganda...
Kuanzia Oktoba 14 na kwa siku chache zinazofuata unaweza kuangalia Kimondo mkia ATLAS Tuchinshan upeo wa magharibi mara baada mara baadanya machweo angani palipooneshwa katika picha hizi za 14-19 Oktoba.
Kwa hiyo kuanzia usiku huu wa Jumatatu tarehe 14 Oktoba ambapo sayari Zohai itafichika...
Tuna uwezo mkubwa kimiujiza, wajerumani wachache waliwaua babu zetu wengi sana waliochanjwa na kinjikitilengwale dawa ya kuzuia risasi.
tuna tiba asili zenye nguvu - magonjwa, magonjwa kama malaria, kipindu pindu, ebola inamaliza waafrika wengi mno.
Tunapendana, achilia mbali waafrika kuwa...
Je, hili linalosemwa ni la kweli kwamba endapo kenge akikupiga na mkia wake kuna madhara unaweza kupata.
Kwa mfano akikonda na wewe unakonda akinenepa na wewe unanenepa akifa na wewe unakufa.
Nimekuta watu wanajadili kuhusu malengo ya Nusu fainali na Kuwa na point mbili nadhani watakiwa wanaizungumzia Klabu ya Union Berlin ya ujerumani ambayo imeshika mkia kundi C linaloongozwa na Real Madrid.
Nb. Zile kelele za Yanga ya mwisho Kwenye kundi Ina point 2 Bado zipo huko kwenu?
Rais Isaac Herzog wa Israel amedai kuwa, utawala huo wa Kizayuni hauna azma ya kuingia vitani na Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon katika upande wa kaskazini, siku chache baada ya viongozi wa Marekani kuwatahadharisha watawala wa Israel kuhusu ugumu na hatari ya kuendesha vita viwili kwa...
Ni Mwendawazimu ( Mentally Retarded ) na Mpumbavu ( dame Fool ) ndiyo ataamini na atathubutu kusema na kujipa Moyo kuwa Tanzania iliyoko Kundi F huko AFCON 2024 nchini Ivory Coast itaweza kufanya vyema mbele ya Wababe na Wazoefu tukuka wa Soka Afrika akina Morocco, Congo DR na Zambia.
Rais...
Hizi hapa nchi tano duniani zinazo ongoza kwenye research and development Afrika hakuna kitu.
Hakuna uchawi kwenye maendeleo bila kujiza titi huku kwenye R&D Afrika tutaendelea kushika mkia kwa kila kitu.
Country/Region
Expenditures on R&D
(billions of US$, real)
1
United States...
Na hapa nikiwa specific zaidi ni sehemu walizopo wachaga maana Mkoa huu hata wapare wanaishi na habari za uchawi zipo huko kwao Same.
Na kweli nikifikiria uchawi hauna maendeleo na nikiona vijiji vya huko vilivyoendelea watu wanashusha mijengo bila hofu ya kupigwa vipapai nazidi kuona huku...
Fiston Kalala Mayele.
Aondoka RASMI YANGA kuelekea pyramid FC.
KWAHERI Mayele Kila LAKHERI huko uendako.
MAMBO KUMI YA FISTON MAYELE.
1.Ulikuwa mshambuliaji Bora.
2. Ulikuwa mchezaji unayejituma mno.
3. Ulikuwa mchezaji unaejitoa sana.
4.Ulikuwa mchezaji MWENYE Nidhamu mno.
5. Ulikuwa...
MKIA WA MOTO:
Utamaduni wa Kukimbiza Mwenge na Athari Zake Tanzania
Utamaduni wa kukimbiza mwenge umekuwa sehemu muhimu ya maisha ya Tanzania kwa miongo kadhaa. Hata hivyo, kuna haja ya kuchanganua athari na hasara zinazosababishwa na utamaduni huu ili kuboresha matumizi ya rasilimali na kuleta...
MKIA WA MOTO:
Utamaduni wa Kukimbiza Mwenge na Athari Zake Tanzania
Utamaduni wa kukimbiza mwenge umekuwa sehemu muhimu ya maisha ya Tanzania kwa miongo kadhaa. Hata hivyo, kuna haja ya kuchanganua athari na hasara zinazosababishwa na utamaduni huu ili kuboresha matumizi ya rasilimali na...
Yanga itacheza dhidhi ya Marumo Gallants FC ya Afrika Kusini katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Marumo Gallants ipo nafasi za mwisho ligi kuu ya Africa kusini ila imeweza kupambana mpaka kufikia nusu fainali,
Marumo Gallants imeitoa Pyramids FC ya Misri kwa jumla ya...
Habari wajukwaa, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama kichwChcha uzi kinavyoeleza hivi maana ya usemi huo hapo juu una maana gani? Na je, kuna uhusiano na maisha yetu ya Kila siku?
Nimekua nikiusikia watu wengi wakiutumia kwa mazoea pasina kujua maana maana halisi...
Sijui timu za DRC zimekumbwa na nini, zote ziko hoi taabani zikivuta mkia kwenye makundi yake!! Hakuna cha TP Mazembe wala Vita!! Hata zikikutana na Ihefu zitaambulia kipigo cha mbwa mwizi!!
Hii ni list ya shule zilizoshika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne mwaka 2022.
Ukiangalia vizuri kuna kitu kiko very common😃
List imetawaliwa na #TeamMnyaazi
Source: Malisa GJ instagram account
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.