Ma-Ded waanza kushushiwa moto,Sasa kuwapisha wenye uwezo wa kukusanya Mapato,
Wakati halmashauri 85 zikikusanya mapato chini ya kiwango zilichopangiwa, Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi ya wakurugenzi wake (DED), ikiwataka watoe maelezo ya kilichotokea.
Katika halmashauri hizo...
MAKONDA AMBWAGA KUBENEA MAHAMANI
Mahakama ya Kinondoni imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na mwanahabari Saed Kubenea dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ya matumizi mabaya ya madaraka baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha tuhuma zake.
====
Watafungwa...
Kinachofanyika ni kwamba mtu anafukiwa miguu kwenye shimo ama anaweza kuwa ni kilema hana miguu, wanaiweka miguu ya ng'ombe kwenye suruali halafu kwa namna wanayojua wenyewe inaunganishwa na na kiwili wili.
Kuhusu huo mkia unacheza cheza kila mara, kuna mota inafungwa ama kuna uzi umepita...
Baada ya kushupaza shingo kwa miezi kadhaa kuhusu kulipia gesi kwa sarafu ya Ruble, mwisho aa siku Ujerumani imetababahi kuwa haina msuli wowote wa kususia au kuacha kutumia gesi ya Russia.
Ujerumani na shoga yake Italy wameona isiwe tabu, waendane na matakwa ya Putin wasije katiwa gesi...
Mtu mmoja raia wa zimbabwe, azua taharuki mjini baada ya kuonekana akiwa na kwato za ng'ombe na mkia baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu.
Wazee mke wa mtu ni sumu.
Katika nchi zenye waganga wakali zimbabwe, Nigeria, Kenya, DRC, so usijaribu.
VIDEO
Hawa jirani zetu Tanzania na Uganda huwa wanatuaibisha sana. Kenya tuna upweke sana ukanda huu. Ukanda huu sarafu zote isipokuwa ya Kenya ni za madafu. Halafu kumbe sarafu ya Tanzania ndio mbovu kuliko zote Afrika dhidi ya dollar ya Marekani? Yaani mna sarafu nyonge sana.
Wale waheshimiwa wa kutozingatia PGO ambao kwetu barabarani tochi wamefanya huo ni ulaji wao rasmi na wa kudumu, nani wa kuwafunga kengele?
"40km/h limit hiyo ni kwa watembea miguu. Tufike mahali tuwe na muafaka wa pamoja usio na madhumuni ya kukera wengine" - amesikika mwamba Kagame.
Makwetu...
Ukitaka kujenga kiwanda cha Pombe nenda Moshi, utaokoa gharama kubwa za usambazaji.
Jafari Shekanabo Shekifu na Mrindoko Mchome Senkoro walijitolea kukusanya damu nchini kusaidia vitengo vya dharura vya taasisi za tiba. Kwenye fomu ya kuchukuwa taarifa za mchangiaji damu waliweka sehemu ya...
Ofisi ya taifa ya takwimu imetoa pato la kila mkoa nchini Tanzania, mkoa wa Dar es salaam wazidi kuongoza ukifuatiwa na Mwanza.
Mikoa ya Katavi na Njombe imeshika mkia kwa kua na pato dogo sana ukilinganisha na mikoa mingine.
Kwenye kumi bora kanda ya ziwa imeingiza mikoa 3, Mwanza, Shinyanga...
Ni vema ukafahamu jambo hili mapema ili usije ukapata matatizo ya kiafya, kwamba timu iliyokuwa inapigania ubingwa leo hii inaburuza mkia , hii ni baada ya game 3 tu.
Wachambuzi wanaitabiria kushuka daraja .
SIMBA NI WA MWISHO, WAMEBURUZA MKIA
Ni kweli kuwa Simba wameburuza mkia katika mchuoano wa timu kubwa katika ligi kuu Tanzania Bara.
Licha ya Mchuano wa ligi kuu kwa ujumla lakni kulikuwa na mchuano pia kati ya timu kubwa zilizoshika nafasi ya kwanza hadi ya TATU.
Kama timu moja ingeshinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.