Mikoa inayoongoza kwa Uvutaji Bangi nchini Tanzania ni hii ifuatayo.....
1. Arusha
2. Manyara
3. Iringa
4. Morogoro
5. Ruvuma
6. Mara
Tangia lini Watu wa Manyara na Morogoro wakawa na Uthubutu wa Kuvuta Bangi / Bange?
Takwimu hii ingekuwa kama ifuatayo si tu ningeamini bali ningefurahi mno...
Kwa wasio wenyeji wa kanda ya ziwa.
Nimeona malalamiko mengi sana kina mama na kina dada wasio wenyeji wa mkoa wa Mara (na kanda ya ziwa ) wakilalamika sana kuhusu swala la kusahau kwao.
Inasemekana kuna UCHAWI mzito sana wanafanyiwa ili kusahau nyumbani kabisa.
Basi nawasogezeeni hili...
MHE. AGNES MARWA AISHAURI WIZARA YA MADINI, WANANCHI WALIPWE FIDIA ZAO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa amechangia bajeti ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2023/2024 katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku akisisitiza sana wananchi wa Mkoa wa Mara walipwe...
Licha ya watu hawa wengi kubarikiwa urefu, miili yenye nguvu na ujasiri lakini kwenye suala la kuwa na ndevu kuna kipengere
wapo wenye chache, wengine wanazo kwa mbali, wengine hawana kabisa.
Hali hii huenda inatokea kwajili gani?
Nguvu zilizotumika kulinda wanawake zielekezwe pia kwa watoto wa kiume
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Agnes Marwa amelipongeza jeshi la polisi Mkoa wa Mara kwa kazi nzuri na ushirikiano mkubwa kwa jamii katika kutokomeza Ukatili wa kijinsia kwa Wanawake na watoto Mkoani Mara.
Ameyasema...
Taharuki imetanda kwa wakazi wa kijiji cha Nyamuswa wilaya ya Bunda mkoani Mara, baada ya kuibuka kwa watu ambao wanawaingilia kimwili usiku wanawake na wanaume pamoja na watoto wakike kwa njia za kishirikina.
Mkuu wa mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee ameanza Ziara ya kukagua na kupokea vyumba 58 vya Madarasa vikiwa na samani zake Katika shule 21 za sekondari zilizogharimu kiasi cha Billion 1.16 zilizotolewa na serikali ya awamu ya sita ,ziara hiyo itakayofanyika kwa muda wa siku Mbili...
Hii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost.
Hawa ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana Rushwa hadharani bila woga wala soni. Kama vijana wadogo wanalelewa hivi, je hiki chama kina nia kweli ya kutokomeza rushwa?
Wiki haipiti sijapokea simu kwenye moja ya namba yangu, ukiuliza mtu anasema yuko mara, kingine wanakua ving'ang'anizi yani ukimwambia mtu humjui analazimisha mfahamiane, na unakuta mtu amepiga hata mara tatu, unadhani ni mtu anaekufahamu labda anadharura. Why Mara?
Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24.
Eneo la tukio na...
hawapendi
hawataki
jambo
jamii
jpm
mara
mifugo
mikoa
mkoamkoawamara
musoma
mwanafunzi
panya
panya road
sana
serikali
silaha za jadi
udsm auawa
uvamizi
watanzania
Taarifa iiyotolewa Afisa Elimu wa Mkoa, Benjamin Oganga imeonesha pia kuwa mkoa huo umeshika nafasi ya 5 kitaifa kwa kuwa na wanafunzi wanaohitimu darasa la 7, bila kujua kusoma na kuandika.
Oganga ameongeza kuwa ufatiliaji uliofanywa unaonesha ndani ya miaka mitano, wanafunzi 350,000 katika...
Kuna baadhi ya matukio yamekuwa yakitendeka mikoani, ambayo taarifa zake hazitolewi kwa wakati au kutokutolewa kabisa.
Kuna tukio la kukatwa mapanga hadi kuuawa kwa mwalimu wa shule ya sekondari kata ya masaba, wolaya ya Butiama ila hadi leo hakuna taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari...
Anayejiita Dk ilihali u daktari wake ni wa mashaka bwana Rafael Chegeni mapema mwezi uliopita aliteuliwa awe RC Mara ajabu kabla ya masaa ya uapisho wake uteuzi wake ulitenguliwa pasina kusemwa sababu leteleza.
Kwa wingi wa wajuvi humu jf pengine huenda wapo walio na ufahamu wa kipi hasa...
Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassani, amemteua Meja Jenerali Suleimani Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na kutengua uteuzi wa Dr. Raphaeli Chegeni.
Pia Soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson...
Picha kwa hisani ya Haki Elimu
1. UTANGULIZI
Elimu ni moja ya sekta za kipaumbele zilizoainishwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, na katika Sera ya Mafunzo ya Elimu (ETP, 2014) ambayo Serikali imejitolea kutoa miaka 11 ya elimumsingi bila malipo kwa wote kuanzia elimu ya awali hadi...
Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliwaahidi viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania ( UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kuwapa mtaji wa mitungi ya gesi 300 kwa ajili ya kusambaza kwa wananchi kwa gharama nafuu ili waondokane na nishati chafu ya kupikia.
CHANZO: GAZETI LA...
Siku hizi kila ukisikia tu Mauwaji pamoja na Ukatili mbalimbali utasikia tu ni Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Iringa, Mbeya, Mtwara, Morogoro, Singida, Dodoma, Shinyanga, Mwanza, Ruvuma na Kagera tofauti na ilivyozoeleka na Kukaririwa kuwa Mkoa Kinara wa Kutukuka kwa Vitendo hivi ni Mkoa wangu...
Imefika kipindi muache kutuangalia kwa jicho la chuki, haiwezekani kila kinachooneshwa kutoka mkoa wa Mara ni flani kakatwa, flani kachinjwa au yule kajeruhiwa na kadhalika.
Kama ipo hiyo ni tabia ya mtu tu sio sote, pia majanga yapo kila kona sio Mara Pekee, kuna mengi ya kufurahisha kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.