mkoa wa pwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Taka zilizosambaa eneo la Kibaha Maili Moja Mkoa wa Pwani zaondolewa, usafi wafanyika

    Hali ilivyo Kibaha Maili Moja karibu na Kituo cha Maliasili ambapo taka zimeondolewa, pia chombo kinachotumika kuhifadhi taka kikiwa hakijajaa kama ilivyokuwa awali. Ikumbuke, Mdau wa JamiiForums.com alitoa ushauri kwa Uongozi wa Kibaha kuondoa uchafu uliokuwa umezagaa eneo hilo kiasi cha...
  2. The Watchman

    Magari mapya yatolewa kwa wakuu wa wilaya za Mkoa wa Pwani

    Rais Samia Suluhu Hassann ametoa magari mapya kwa wakuu wa wilaya zote za Mkoa wa Pwani, ili kurahisisha utendaji kazi wa viongozi hao. Akikabidhi magari hayo kwa niaba ya Rais, mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa magari hayo ili kuwawezesha viongozi...
  3. M

    Nimekwama huku Pwani, natafuta kibarua au kazi

    Habari zenu Wana jamiiforums, Ni mwenyeji wa mkoa wa Singida, naombeni connection ya kibarua iwe ni ujenzi (kama saidia fundi au kupanga pavings Nina uzoefu nayo) yaani chochote hata Cha kulima, kusafisha mashamba kwa maeneo ya huku Pwani ya kibaha maana Mimi nipo sehemu inaitwa mlandizi. Sina...
  4. Roving Journalist

    Pwani: Coast City Marathon kuchangia uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu kwenye Shule ya Msingi Pangani

    Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Mbio za Coast City Marathon Msimu wa tatu (3), maalum kwa ajili ya kuchangia uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu kwenye Shule ya Msingi Pangani, Dkt. Frank Mhambwa amezindua rasmi mbio hizo ambapo hafla ya Uzinduzi imefanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya...
  5. Pfizer

    Bilioni 16 kutolewa ili kuliokoa shamba la ushirika Chauru, la wakulima wadogo wa Umwagiliaji Ruvu, lililopo Mkoa wa Pwani

    Na MWANDISHI WETU WIZARA ya Kilimo imekubali yaishe kwa kuwa tayari kulipa shilingi bilioni 16 ili kuliokoa shamba la ushirika, Chauru, la wakulima wadogo wa Umwagiliaji Ruvu, lililopo Mkoa wa Pwani. Hayo yamebainika katika muendelezo wa ziara za Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe mkoani humo...
  6. W

    CCM yawavua Uongozi Wanachama wawili kutokana na kukiuka maadili ya uongozi

    Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 1, 2024 Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla ametangaza uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwafuta uongozi wanachama wawili wa chama hicho. Kamati kuu ya CCM imewaondoa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Mkoa wa Lindi...
  7. ngara23

    Mkoa wa Pwani una vijiji na Mapori ya kutisha sana

    Licha ya huu mkoa kupakana na jiji la Dar es salaam ambalo ndo jiji kubwa Tanzania na Africa Mashariki Kwa ujumla, lakini mkoa wa Pwani unatishia, Mkoa wa Pwani una Mapori mazito yamefunga Giza na ya kuogopesha sana. Me natokea Kanda ya ziwa, mkoa wa Kagera tuna vijiji na Mapori ila Kwa mkoa wa...
  8. C

    Mkoa wa Pwani mnastahili pongezi kwa kutoa Mawaziri wengi

    Hakika nyie Ni maalum haswa nchini, 1. Jafo, 2. Mchengerwa, 3. Ulega, 4. Ridhiwani, 5. Kipanga.
  9. Songambele

    Stand ya Loliondo Kibaha aibu kwa Serikali ya Mkoa wa Pwani

    Bado changamoto nyingi tulizonazo zinasababishwa na watawala na serikali zetu za kiafrika. Kwa Akili ya kawaida na viongozi wenye Akili timamu hawawezi kulazimisha kila Bus dogo linaloenda kwa Mattias, kongowe au mlandizi kupitia Loliondo. Miundombinu ya kuingia njia hiyo ndio shida ilipo...
  10. TODAYS

    Mwalimu afanywa chizi kisa na mkasa ni huu!

    Ubhukile msani wa JF. Kwa kifupi; Nilikuwa napita maeneo fulani hapa Lushoto nikamuona dada flani akipita na kuimba huku akikata kiuno ndipo nikakumbuka stori hii hapa chini. Ilikuwa tarehe za mwishoni mwa mwaka nikitokea Dar to Iringa nikapata usafiri wa IT iliyokuwa inaenda Zambia, tulifika...
  11. Nigrastratatract nerve

    Makonda kuunguruma leo Mkoani Pwani

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda, anatarajiwa kuhutubia maelfu ya wananchi katika Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, katika siku yake ya kwanza ya ziara ya siku 30 kwenye mikoa 20. Pia, Makonda anatarajiwa kufanya vikao na viongozi mbalimbali wa kamati za utekelezaji wa...
  12. GENTAMYCINE

    Naomba kujua yafuatayo kuhusu Eneo la Mapinga Kiaraka Mkoa wa Pwani ambako Soon nitakuwa Mkazi Mpya huko

    1. Lilipo Kanisa Katoliki 2. Uliko Uwanja wa Mazoezi wa Mpira 3. Baa za Vinywaji vya Bei nafuu 4. Vijiwe vikubwa vya Masela / Wahuni 5. Vijiwe vya Tamu za Kibaiolojia 6. Zilipo Ofisi za CCM na Kituo cha Polisi 7. Eneo la Makaburi Haya wana Mapinga Kiaraka kaeni tayari Kunipokea Ndugu yenu...
  13. M

    Kuna shida gani mkoa wa Pwani?

    Nilikuwa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, nimetembea vijiji vingi Hadi Kijiji kinaitwa mwanzenga (nimeambiwa ni Kijiji Cha wasanii). Kilichonishangaza ni maeneo mengi ya mkuranga ni potential sana Kwa ufugaji na ujenzi wa viwanda. Kilichonichosha ni population ndogo na wenyeji wanaishi maisha...
  14. peno hasegawa

    Rais Samia aipa Zambia ardhi hekari 20 katika bandari kavu Kwala mkoa wa Pwani

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imetenga eneo la hekari 20 za ardhi katika Bandari kavu eneo la Kwala Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kuhudumia mizigo kutoka Zambia ambapo amesema hiyo ndio zawadi ya Tanzania kwa Zambia katika wakati huu wa sherehe za Uhuru wa Zambia. Rais...
  15. Rweye

    Rais wasaidie wananchi wako Viziwaziwa mkoa wa Pwani

    Tunajua kuna Nguvu kubwa sawa na ile kanuni ya Newton 3rd law of motion maana kila hili likiwekwa hapa wahusika wanajitahidi nao kulizima, moderator mnapaswa kuwa sauti ya wasio na sauti kwa kweli maana hili jukwaa ni huru. Hoja ni hii, wakazi ndani ya mtaa wa Viziwa ziwa (VIMISA) Kibaha mjini...
  16. JimmyKB

    DOKEZO Upigaji mradi wa maji Miwale Pangani Kibaha mkoa wa Pwani

    Habari wana JF? Niende moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na upigaji katika mradi wa maji mtaa wa Miwale kata ya Pangani wilaya ya Kibaha Mjini mkoa wa Pwani ambapo miaka kama minne iliyopita kulifanyika mradi wa maji uliogharimu milioni miatano lakini mradi huo ulikufa pasipo wananchi wa...
  17. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Pwani, Subira Mgalu

    MBUNGE SUBIRA MGALU AKIWA KATIKA ZIARA MBALIMBALI NDANI TANZANIA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu ameendelea na ziara mbalimbali na kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM katika mikoa mbalimbali nchini. Mhe. Subira Mgalu katika kilele cha Sikukuu ya NaneNane ametembelea...
  18. GENTAMYCINE

    Nasikia Mkoa wa Pwani unajiandaa kuanza Kutengeneza Simu

    Yaani Mkoa umeshindwa Kumaliza tatizo Kubwa la Umasikini, Ujinga na Maradhi bila kusahau Ushirikina ulioota Mizizi huko leo hii hii hao hao wanataka Kutengeneza Simu. Wewe RC Ababukary Kunenge bhana...!!
  19. benzemah

    Smartphones Kuanza Kutengenezwa Mkoa wa Pwani

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema mkoa huo unajiandaa kuanza kutengeneza simu janja. Kunenge amesema hayo mjini Kibaha kwenye kikao maalumu cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mjii Kibaha. Kikao hicho kilijadili hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za...
  20. Panya Mabaka

    Mkoa wa Pwani unasubiria nini kufungua minada ya soko la ufuta?

    Kinasubiriwa nini kufungua minada ya soko la ufuta? Au hadi akina Kangomba wamalize kuukusanya Kwa wakulima? Wakulima wataendelea kudhulumiwa Kwa bei za unyonyaji hadi lini?
Back
Top Bottom