MHE. SUBIRA MGALU ATOA ELIMU YA MLIPAKODI CHALIZNE MKOA WA PWANI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu ambaye ni Balozi wa kuhamasisha kulipa kodi tarehe 2 Mei, 2023 aliwahamasisha wafanyabiashara wa eneo la Mdaula Wilayani Chalinze kuhusu masuala mbalimbali ya kodi wakati wa...
Wanajukwaa
Mada tajwa hapo juu inahusika moja kwa moja kwa mjadala mpana.
Ombi kwa
1. Serikali kuu
2. Makamu wa rais muungano na mazingira
3. Tamisemi
Kwanza mamlaka husika ipongezwe kwa kutumia jeshi usu kusimamia mazingira ya eneo lote lla wilaya ya Kisarawe dhidi ya wavamizi na matajiri...
Habari ndugu zangu, mwenye kujua zilipo Ofisi za Posta katika Mkoa wa Pwani Wilaya ya Kibaha (Posta wanapotoa huduma wa kupokea na kutuma barua, na documnet zingine).
Msaada tafadhali ndugu zangu.
Kwema ndugu zangu. I hope kila mtu ni mzima.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mkoa wa Pwani pamoja na kwamba wenyeji wa mkoa huo wengi hawana elimu ya kutosha, lakini ndio unaoongoza kwa kutupa watanzania viongozi wakuu wa kitaifa haswa kwa upande wa ukuu wa nchi.
Toka Tanzania...
Eneo lenye ukubwa wa heka 45 linauzwa eneo lipo mkoa wa pwani vigwaza visezi barabara ya kuelekea bandari kavu eneo ni zuli kwa kujenga yard gereji na Mambo mengine bei kwa kila heka moja mil 3 tu kutoka barabara ya zege miter 400 tu maji umeme vipo hapo
Eneo lingine lipo mkoa wa pwani pia...
Serikali ya Rais Samia Suluhu itatumia kiasi cha Tsh. Bil 130/- kwenye ujenzi wa kituo cha kupooza umeme Chalinze mkoani Pwani. Kituo hiko kinatajwa kuwa kikubwa, na cha kwanza nchini ambacho kitakuwa na jukumu la kupooza umeme unaotoka katika bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP).
Mradi huo unaitwa...
Kipindi nakua mji ulikuwa mwisho ubungo, pale lilipo jengo la Tanesco ndio ulikuwa mzani wa kupima malori ambao sasa uko mkoa wa Pwani, Dar inakuwa kuelekea kaskazini,npaka wa Dar na kibaha unafutika, mpaka wa Dar, Bagamoyo unafutika kwa kasi sababu ya ujenzi unaokuwa kwa kasi ya ajabu...
1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze
2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji
3. Jafo Mbunge wa Kisarawe
4. Kipanga Mbunge wa Mafia
5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga
Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa...
Kumekuwa na malalamiko kuwa mganga mkuu wa Tumbi Hospital amekuwa akitoa vitisho kwa watumishi ambao bado hawajashawishika kuchanja chanjo ya corona!
Mganga mkuu huyo Dr Malima amekuwa akitishia hata ajira kwa ambao hawatakubali kabisa kuchanjwa japo serikali ilishasema chanjo ni hiari.
Kuna...
Hivi Ni kwanini Tanroads mkoa wa Pwani ni Ni wazembe kiasi hiki? Kwa mfano ukipita barabara ya Bagamoyo kama unaelekea mikoa ya Kaskazini wamekata viraka ili wavizibe ila Ni kama wiki ya pili sasa vimeachwa hivyo hivyo.
Hi inatusababishia usumbufu Sana na uharibifu wa magari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.