Mkoani is a town located on the Tanzanian island of Pemba. It is the capital of Pemba South region, as well as Mkoani District. Mkoani now has the busiest harbour on Pemba island, most ferries from Zanzibar or the mainland arrive at Mkoani.The Abdulla Mzee hospital is in Mkoani.
Jeshi la polisi mkoani Arusha linamshikilia Melita Ndaletyan, mfugaji na mkazi wa Noondoto wilayani Longido, baada ya kumuuwa kwa kumkata na kitu chenye ncha kali shingoni Kaka yake Kiseri Ndaletyan, baada ya mtuhumiwa kuzuiliwa kumuingilia kimwili mke wa kaka yake huyo.
====
Mwanaume...
Wakuu salaam,
Leo Julai, 7 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili mkoani Morogoro kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili katika maeneo ya Msamvu manispaa ya Morogoro, Dumila wilayani Kilosa na wilaya ya Gairo.
Aidha Mkuu wa mkoa wa Morogoro...
Lavender ni mmea ambao una matumizi makubwa sana na unaosaidia duniani. Harufu ya mmea huu ambao ni rahisi sana kuota inajulikana kwa kutuliza akili, na ndio maana imekuwa rahisi kutumika kwenye mishumaa au hata mafuta.
Maua ya Lavender ni mazuri na yamekuwa yakisifiwa sana, sifa hizi...
Hivi karibuni kulikuwa na habari kutoka kwenye baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za magharibi, inayosema usafirishaji nje wa bidhaa kutoka China uko kwenye hatihati, na makontena yamekwama kwenye bandari za mkoa wa Guangdong (Shekou, Chiwan na Nansha) kutokana changamoto ya virusi vya Corona...
Mwamba Freeman Mbowe , Mtemi Isike , ambaye pia ameteuliwa kuwa Kiongozi wa Wamasai na Wazee wa Arusha au MTU CHUMA kama anavyoitwa na Vijana wa kisasa , tayari amewasili mkoani Kagera kushiriki Maziko ya Mjumbe Mstaafu wa Kamati Kuu ya Chadema , Mwesigwa Baregu .
Taarifa zinaonyesha kwamba...
Japo ni 'Poti' wangu kabisa kutoka Mkoani Mara (Musoma) ila kwa hili na haya yanayokutokea sasa hapo Yanga SC Kipa Metacha Mnata wala sikuonei 'Huruma' kabisa kwani umeyataka Mwenyewe na tunaokupenda na Wanaokupenda tumekushauri vya kutosha na unatuona Mangumbaru (Wajinga) na Mapopoma...
Yapo mengine unashindwa kuyaeleza hivyo unaiachia video ndio iongee, karibuni sana...
Kama sifa zinalevya, basi Mh Rais Samia Suluhu Hassan kaa chonjo na watu kama hawa!
Juzi kwa mwendazake leo kwako...waepuke wanafiki hawa, kaa mbali nao na waogope kama ukoma!
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
Ngorongojo ni usafiri uliokuwa ukitumika enzi za nyuma na hadi hivi sasa hapa mkoani Kigoma. Ngorongojo huundwa kwa miti migumu, hivyo mchakato wake wa utengenezaji unaanzia maporini ambapo ni lazima kwenda kutafuta miti migumu kwenye mapori.
Ngorongojo ina mpini "kishikio" ambapo hutegemea...
Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia askari watano wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) waliokuwa wamemaliza muda wao wa kujitolea, wakisubiri ajira za muda wa Kikosi cha Jeshi la Wananchi 27 KJ MAKOKO kwa tuhuma za mauaji ya mkazi wa Rwamlimi manispaa ya Musoma, Paulo Joseph, maarufu kama...
Kuna huyu ndugu amefariki huko Tanga, hilo jina la Kibona ni asilimia kubwa Wandali wa Isoko, Kalembo na wilaya ya Ileje kwa ujumla na wamesambaa sana maeneo mengine pamoja na mikoa ya Songwe, Rukwa na Mbeya.Tusaidiane kusambaza hii taarifa.
Katibu Mkuu wa CCM na sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi siku ya leo 22/05/2021 wanapokelewa katika jiji la Dar Es Salaam.
Kazi Inaendelea, Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Dar Es Salaam.
MAPOKEZI YA SEKRETARIETI MPYA YA...
Habari zenu wakuu,
Nataka kusafiri kwenda mkoani na tiketi ya basi nishazoea kukata manual lakini siku hizi ni mtandaoni, ila nilisikia madereva wakitaka kugomea huu utaratibu lakini sikusiukia iliishia wapi.
Je, bado wanakata tiketi za mtandaoni au baada ya ule muito wa mgomo ilisitishwa...
Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni
Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma
Katibu Mkuu wa...
Nataka kusafiri kidogo. Lakini nataka safari yangu iwe yenye manufaa. Ninataka niende Tanga but sitaki enda mikono mitupu. Nataka nije na mzigo wa biashara. Wa kawaida tu usiozidi Mil 1. Kama utafiti tu.
Najiuliza nilete bidhaa gani Tanga ili niuze ndani ya siku 2-3 then nirudi zangu dar. But...
Ndugu Waandishi wa Habari,
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza mnamo tarehe 19/04/2021 imemkamata aliyekuwa Mhasibu wa Mamlaka ya Bandari Kigoma Bw. Madaraka Robert Madaraka ambaye anatuhumiwa kwa makosa ya Rushwa, Uhujumu Uchumi na Ukwepaji Kodi wa kiasi cha Sh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.