mkoani

Mkoani is a town located on the Tanzanian island of Pemba. It is the capital of Pemba South region, as well as Mkoani District. Mkoani now has the busiest harbour on Pemba island, most ferries from Zanzibar or the mainland arrive at Mkoani.The Abdulla Mzee hospital is in Mkoani.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Kero ya usafiri wa Daladala wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro

    Mimi ni dereva wilayani rombo imetokea kero ya askari polisi kitengo cha usalama barabarani kukamata madereva wasio na uhakiki wa leseni wanakamata gari wanapeleka kituoni kitu kinachosababisha usumbufu kwa abiria na wasafiri wanaotoka na kuingia wilayani rombo.... Ninaomba mamlaka husika...
  2. K

    Nina leseni Class D, natafuta kazi Morogoro

    Jamani Naomba Msaada Ndugu Zangu Nna Leseni Cras D Naitja Kazi Ya Uderevar Nipo Mkoani Morogoro Wilayani Mvomero Namba Yangu 0674443530/0622909927
  3. Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inasambaza mitungi ya gesi 13,020 mkoani Shinyanga

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inasambaza mitungi ya gesi 13,020 mkoani Shinyanga. Mitungi ya gesi ya kilo 6 yenye thamani ya shilingi milioni 545.538, Itasambazwa kwa bei ruzuku ya shilingi 20,950, badala ya shilingi 41,900 Lengo ni kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya...
  4. B

    Benki ya CRDB yafungua matawi mapya Mugango, Sirari mkoani Mara

    Katika kuufunga mwaka 2024 kwa huduma bora, Benki ya CRDB imefungua matawi mapya mawili mkoani Mara yaliyopo Mugango katika Wilaya ya Musoma Vijijini na Sirari wilayani Tarime. Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Boma Raballa amesema uzinduzi wa matawi hayo ni sehemu ya jitihada za Benki...
  5. SUWASA yafafanua hoja ya Mdau kuhusu uhaba wa maji Kata za Unyianga na Mtamaa Mkoani Singida

    MAELEZO KUHUSIANA NA HUDUMA YA MAJISAFI KWA KATA ZA MTAMAA NA UNYIANGA NA MANISPAA YA SINGIDA KWA UJUMLA Kata za Unyianga na Mtamaa ni mojawapo ya maeneo ambayo yana uhitaji wa kusogezewa huduma ya majisafi katika Manispaa ya Singida na Serikali inatambua hilo na imeshachukuwa hatua stahiki...
  6. Karibuni Machame wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro tusherehekee ushindi wa kukomboa mali yetu

    Ndugu zangu, hapa nilipo nabubujikwa na machozi ya furaha baada ya mjomba wangu kufanikiwa kukomboa kikoba cha ukoo kilichokuwa kwenye hatihati. Wanachama wa kikoba tafadhali malizieni ada zenu za uanachama ili wajanja tuje kuzisasambua hapa machame. Christmass hii itakuwa bomba sana.
  7. REA Kusambaza Mitungi ya Gesi 13,020 kwa Bei ya Ruzuku Mkoani Shinyanga

    REA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI 13,020 KWA BEI YA RUZUKU MKOANI SHINYANGA Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaendelea kutekeleza Mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo 6 kwa bei ya ruzuku, ambapo inatarajia kugawa mitungi 13,020 katika mkoa wa Shinyanga, Mradi huo utagharimu jumla ya...
  8. S

    KERO Ukosefu wa mawasiliano katika Kijiji cha Msamba kata ya Ninde wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa

    Tunaomba wizara ya mawasiliano itusaidie kutatua changamoto ya mawasiliano.tunateseka,
  9. Dkt. Nchimbi kuanza ziara mkoani Tabora

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili mkoani Tabora kwa ajili ya ziara ya siku mbili, ambapo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Tabora, na kupokelewa na wenyeji wake, waliiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Ndugu Said Juma Nkumba, Balozi...
  10. Mtaji wa Tsh 300,000 naweza kufanya mradi gani?

    Hello wana JF, chuo hivi punde, na nina pesa taslimu 300,000 je, nifanyie nini? Kuku naweza fuga,ila interview kila mara mkoani
  11. LGE2024 Ludewa, Mkoani Njombe, Majina ya Wagombea Kupitia CHADEMA hayamo Kwenye Karatasi za Kupigia Kura.

    Mkoani Njombe, na hasa wilayani Ludewa, uchaguzi umevurugika kwa kiwango cha kutisha. Awali, katibu wa CHADEMA mkoani Njombe, alieleza kuwa wilaya ya Ludewa ilikuwa ya pili kitaifa kwa idadi kubwa kuenguliwa wagombea wa CHADEMA, ambapo kati ya wagombea 198 wa vitongoji, walienguliwa wote, kati...
  12. LGE2024 Hali ilivyo Upigaji Kura Meatu na Itilima Mkoani Simiyu, leo Novemba 27, 2024

    Wananchi wa Wilaya za Itilima na Meatu Mkoani Simiyu wakiendelea na zoezia la kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.
  13. LGE2024 Jokate Mwegelo, Helmeti iko wapi kwenye msafara wako wa pikipiki mkoani Njombe?

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amepokelewa katika ofisi za CCM Mkoa wa Njombe leo Novemba 26, 2024 kwa lengo la kufunga Kampeni Uchaguzi wa serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji zitakazofanyika Kata ya Ulembwe, Wilaya ya Wanging’ombe...
  14. Zaidi ya bilioni 10 skimu ya umwagiliaji masimba kunufaisha wakulima 24,000 mkoani Singida

    ZAIDI YA BILIONI 10 SKIMU YA UMWAGILIAJI MASIMBA KUNUFAISHA WAKULIMA 24,000 MKOANI SINGIDA 📍 NIRC Singida. Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba ambaye ni mbunge wa Iramba Magharibi ameipongeza Wizara ya Kilimo kwa kuendelea kuboresha sekta ya kilimo nchini kupitia Tume ya Taifa ya...
  15. LGE2024 Dkt. Nchimbi kuzindua kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Mwanza

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt.Emanuel John Nchimbi atazindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa kwa Wagombea wa CCM Mkoani Mwanza tarehe 20 Novemba ,2024 .
  16. BARAZA la Madiwani la halmashauri ya Nkasi mkoani Rukwa limewafukuza kazi watumishi wawili wa idara ya afya kwa utoro kazini

    Akitoa taarifa ya kufukuzwa kwa watumishi hao baada ya baraza hilo kujigeuza na kuwa kamati mwenyekiti wa halmashauri Pankrasi Maliyatabu aliwataja Watumishi hao kuwa ni Atanasi Ignas Mgunda Mteknolojia msaidizi na Japhet Masud Kimondo ambaye ni tabibu msaidizi. Amesema kuwa Watumishi hao...
  17. Wapi kuna mashamba ya sh 150,000/= mkoani Njombe

    Habarini watu wa Njombe, nchi iliyosheheni "asali" na "maziwa"! Mwanzoni mwa mwaka huu nilifanya ziara mkoani Njombe, ziara ambayo ilinifungua macho kuhusu "utajiri" uliopo Njombe. Katika hiyo ziara, nilibaini kuwa mashamba si ghali kwenye hiyo "nchi". Maeneo jirani na mijini ekari moja ni...
  18. A

    Naomba ushauri, nijenge nyumba Dar au Mkoani - Mjini?

    Wakubwa, Naombeni ushauri wenu kuna hili jambo linanitatiza. Nina FEDHA kiasi cha 25 mill. Lengo langu ni kujenga nyumba - kwa ajili ya kupangisha tu, maana tayari nina makazi ya kuishi. Nawaza kununua uwanja mkubwa kwa hiyo FEDHA yote 25 million ili angalau nipate square mita za kutosha...
  19. Kwanini vijana wengi wenye umri (22-30) wanaoishi mkoani Mwanza ni washamba

    Nimekuwa nikifanya ishu Na harakati mbalimbali Na watu tofauti hasa vijana, lakini nimekuja kugundua vijana wengi wa mwanza wenye umri ( 22-30) ni washamba sana, waoga wa maisha yaani hawajiamini kabisa hasa unapompa Dili ngumu, Wana tamaa sana hasa Na vijipesa vidogo vidogo, Na wakivipata...
  20. Gari dogo la kukodi mkoani Kagera na mwanamke wa kupiga naye story za kimkakati

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu ,salamu haikuongezei thamani . Mwenzenu nipo mkoani Kagera specifically katika mji wa Bukoba mjini ,popote mlipo mnaojua mnakodisha magari madogo kwaajili ya kufanya michakato yangu ,tafadhali naomba mnitafute PM ,kwa kuandika namba yenu Kama kichwa Cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…