Mkombozi Commercial Bank Plc. (MKCB) is a commercial bank in Tanzania. It is licensed by Bank of Tanzania, the central bank and national banking regulator. Mkombozi is a Swahili word meaning Savior
1. Watanzania wenzangu naomba tushauriane kuhusu hichi kitu kinachoitwa BBT ? 4. Kilimo
JE KILIMO NI UTI WA MGONGO WA NCHI YETU? - Ndio , watu wote milioni 61 tunategemea kilimo kutulisha nafaka, mboga mboga, protein na matunda.
2. Kilimo kinatupa malighafi za viwanda vingi vya msingi.
3...
UTANGUZILI.
Tanzania tumekuwa na mabadiliko mengi sana katika mfumo wetu wa elimu rasmi toka tumepata uhuru mpaka sasa. Tumekuwa katika kipindi ambacho vyuo vya ufundi vilipewa kipaumbele na kuonekana na thamani sana kwa vijana na sasa tuko katika kipindi ambacho vyuo vikuu vimekuwa bora na...
Jana kulikua na mechi ya Kuwania kupanda daraja Mwanza, ambapo Pamba fc walikua wakicheza na Kitayose fc, huo mchezo ulimalizika kwa Pamba kutoka sare ya bila kufungana na Kitayose ya Tabora, Mwamuzi kwenye mchezo huo Emmanuel Safari alishindwa kuumudu mchezo huo baada ya kushindwa kutoa penati...
Mama kwa kifupi hatua unazochukua katika kilimo sina uhakika na zote lakini hili la kufungua masoko ya nje ni mwarobaini wa kilimo.
Kilimo cha Tanzania kilidumaa kwa sababu ya upofu wa viongozi waliopita.
Naomba nirejee katika hadithi iliyoko katika biblia.
Wamisri walikuwa utumwani misri...
Huduma ya afya ni haki ya msingi kwa kila mtanzania. Ni wajibu wa serikali kuweka utaratibu wa kuwezesha kila mtanzania anapata haki hii ya msingi. The Healthcare must be easily accessible and affordable to every tanzanian.
Huko nyuma hadi mwaka 1998 huduma hii ilikuwa inatolewa bure na...
Tajiri namba 2 wa Dunia (Hivi juzi tu alikua namba 1) Bwana Elon Musk anatazamiwa na watu wengi kama mtu mwenye maono makubwa na yanayoleta mapenduzi makubwa katika kuukomboa ulimwengu.
Kwa mfano, Elon alianzisha kampuni ya magari ya umeme, watu wakampuuza lakini leo kampuni yake ndio kampuni...
(MKOMBOZI MFILISI) Taifa ili lipate maendeleo watu wake ni lazima wajishughulishe kwenye shughuli za uzalishaji mali ili kuweza kulipa kodi ambayo ndio nyenzo kuu kwa taifa kujipatia kipato ili kuweza kumudu shughuli zake za kila siku na kujenga taifa imara.
Maisha ya Binadamu yana namna...
Stories of change; Aplikesheni mkombozi.
Ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana wengi wa Kitanzania ni moja kati ya matatizo ambayo mpaka sasa halijaweza kutatuliwa kikamilifu. Sio tu Tanzania, bali tatizo hili ni tatizo ulimwenguni pote. Moja wapo ya sababu kuu kwanini vijana wengi hawapati...
Chanzo picha:TechCrunch
Habari yako, mimi ni Hadija Mlacha, Karibu katika makala haya yanayoangazia umuhimu wa sayansi na teknolojia katika afya ya binadamu, yapo mengi ya kujifunza.
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamekuwa na mchango mkubwa kwa binadamu katika nyanja zote, hapa namaanisha...
Na Amour A. Mawalanga
Ilikua ni mwaka 2005 kwenye uchaguzi mkuu ndipo sera ya uanzishwaji wake ilipoanza chini ya mzee wa Msoga Rais wa awamu ya nne Jakaya M. Kikwete huku mtendaji wake mkuu wa serikali akiwa Edward N. Lowasa.
Mwaka 2006 ndipo utekelezaji ukaanza ambapo kila kata ilitakiwa iwe...
Leo nimeamua kutoa ya moyoni kuhusu, Manufaa niliyoyapata JamiiForums.
Kiukweli, nilibahatika kujiunga na JamiiForums mwezi wa saba~ mwaka huu mara baada ya kutumiwa tangazo linalohuso shindano la "STORIES OF CHANGE 2022" kutoka kwa rafiki yangu ambaye anadai aliliona kutoka kwenye mtandao wa...
Elimu ni muhimu na wala sio ya kubezwa, Lengo kuu la elimu huwa ni kumkomboa mtu kifikra alafu ndio yanafata mengine, Kwa bahati mbaya hapa nchini jamii nyingi hasa makabila wameigeuza elimu iwe kwajili ya kuwatajirosha kupitia ajira. njia nyingine kama biashara wanapuuza.
zamani makabila...
Kila ifikapo Agosti Mosi, China huwa inafanya sherehe kubwa ya kuadhimisha siku ya kuasisiwa kwa Jeshi la Ukombozi wa Watu wa China (PLA), ambapo mwaka huu wa 2022 inatimia miaka 95.
Katika miaka yote 95 tangu Jeshi la PLA lianzishwe na kuongozwa na Chama cha Kikomunisti cha China (CPC)...
Utangulizi
Sekta ya kilimo ni moja ya sekta nyeti duniani, ambayo inauwezo wa kuzalisha ajira nyingi kuanzia shambani hadi maofisini. Kilimo kimegawanyika katika makundi mawili ya mazao ambayo ni mazao ya biashara na mazao ya chakula .
Jamii nyingi za Afrika zimejikita Zaidi kwenye kilimo cha...
UTANGULIZI.
Ujamaa nitakaojikita nao ni (UBUNTU).
Rejea (Kamusi ya karne ya ishirini na moja 21 Toleo jipya uk wa 555)
Ubuntu ni mfumo katika jamii unaowawezesha wanajamii kuishi kwa kushirikiana katika kila jambo.
Ninaye rafiki yangu niliyepotezana naye muda mrefu kutokana na safari yangu...
Kama serikali ipo serious na biashara huria,basi ilikuwa ni wakati mwafaka kujadiliana na Fastjet ili warudi kuendelea na biashara yao ya usafirishaji nchini.
Jamaa walikuwa smart sana na waliliteka soko vizuri sana. Bei zao affordable, na walizingatia muda kweli kweli.
Mambo ya serikali...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi za "Kwa Maslahi ya Taifa". Tanzania sio masikini, Tanzania ni nchi tajiri sana yenye Rasilimali lukuki, ila watu wake ni masikini Kwa Umasikini wa files. "Umasikini m-mbaya kabisa ni umasikini wa fikra"-JK Nyerere...
Ethiopian airlines wametutoa kimaso maso Waafrika hasa kipindi hiki cha COVID-19 (new Variant - Omicron travel ban) toka ijumaa tulikwama OR Tambo baada ya Qatar kutukataa tulipokua tunaenda Doha kwa Business Meeting Kisha Dar.
Sasa pale pale tukanunua tiket ET tukaungia ADDIS vichwa ngumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.