Jana kulikua na mechi ya Kuwania kupanda daraja Mwanza, ambapo Pamba fc walikua wakicheza na Kitayose fc, huo mchezo ulimalizika kwa Pamba kutoka sare ya bila kufungana na Kitayose ya Tabora, Mwamuzi kwenye mchezo huo Emmanuel Safari alishindwa kuumudu mchezo huo baada ya kushindwa kutoa penati...