Abari za muda ndugu zangu
Nyumbani naonatu pamekuwa pabovu mno... Toka jana yani
Jana nilinunua kilo mbili za nyama, nikamuambia mama mtu anitengee kilo anipikie supu ninywe, kisha inayobaki wale yeye na wanaye wawili kwakua inawatosha
Basi nikatengewq mezani. Kwa kua mimi ni baba nikawaita...