Habari za leo wanajamiiforums.
Naomba mwenye connection ya kibarua chochote cha malipo ya siku kwa Dodoma aniunganishe.
Nitatoa shilingi elfu kumi(10,000) kama shukrani.
Naweza kuwa kondakta wa daladala, kiwandani, saidia fundi, najua kuendesha pikipiki japo sina leseni n.K.
Mimi ni mwanaume...
Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa.
Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k
Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira...
Habari za mida hii.
Nina mdogo wangu wa kiume umri miaka 24 ni dereva, miezi minne iliyopita alipata ajali ya gari, alipata mikwaruzo mwilini pia akavunjika mkono wa kulia (mfupa mmoja wa chini na mfupa wa juu).
Akawekewa POP kwa wiki sita, ila mpaka sasa mkono huo wa kulia hawez...
Umoja wa Ulaya (EU) umeridhia Kanuni zitakazolazimu simu zote zinazouzwa katika Umoja huo kuwa na 'Port' ya USB-C, uamuzi ambao ni pigo kubwa kwa Kampuni ya Apple yenye mfumo tofauti katika baadhi ya bidhaa zake
EU imesema Kanuni hizo zinazotarajiwa kuanza kutekelezwa 2024 zinalenga kupunguzia...
Tangu mwezi March 2021 sijasikia zile harakati zikiendelea kwa siku za hivi karibuni. Japo wabunge wa upinzani ni wachache lakini hakuna hata mmoja wa kuunga juhudi?
Kiongozi wa Chama cha Wiper Democratic Movement, Kalonzo Musyoka amerejea katika Umoja wa Azimio ikiwa ni wiki mbili tu tangu alipotangaz akujiondoa na kusema kuwa yupo tayati kumuunga mkono, Martha Karua aliyeteuliwa kuwa Mgombea Mwenza wa Raila Odinga
Aliondoka katika umoja huo baada ya...
Makundi yanayo muunga mkono Rais Samia Suluhu yana-reflect kwamba mama anaupiga mwingi kwa kazi anazofanya ndani na nje ya Tanzania.
Makundi hayo ni:
-Vyama vya Siasa vinaumuunga mkono ✅
Wamachinga ✅
Wanasiasa / Wanachama wao✅
Viongozi wa dini ✅
Bodaboda ✅
Wanawake ✅
Vijana ✅
Wazee ✅
Walemavu...
Siku chache baada ya tukio la kukatika mkono wa kulia, Halima Mbwana aliyepata ajali wakati akiendesha basi la Super Feo lilipokuwa likitokea Songea kwenda Dar es Salaam, ameelezea kilichotokea sikunde chache kabla ya tukio.
Kwa sasa Halima anaendelea na matibabu kwenye hospitali ya rufaa ya...
Baada ya kusimamishwa kuitumikia Yanga kwa muda kutokana na utovu wa nidhamu, rasmi klabu hiyo imetangaza kuachana na kiungo mshambuliaji Saidi Ntibazonkiza 'Saido' kutokana na mkataba wake kufikia tamati.
Yanga imesema kuwa Saido ambaye alisimamishwa wiki iliyopita baada ya kutoka kambini bila...
Marekani kuna vyama vikuu viwili ..
1. Democrasts - Biden, Obama, Clnton, n.k
2. Republicans - Trump, Bush, Kennedy, n.k
Democrats kimekuwa chama chenye maovu mengi mno ila kwavile wao ndio wamiliki wa media nyingi kama facebook, twitter, cnn, n.k, wanajisafisha sana kwa media na hata huku...
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imeunga mkono na kuridhia hatua ya Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan ya kuendeleza majadiliano na vyama vya siasa yenye lengo la kuimarisha demokrasia kupitia maridhiano ya kisiasa kwa maslahi ya taifa.
===================
Chawa wamenuna.
𝗜𝗱𝗿𝗶𝘀𝘀𝗮 𝗚𝘂𝗲𝘆𝗲 ni mchezaji wa klabu ya mpira wa miguu ya Paris Saint Germain (PSG) aliyekataa kuvaa jezi ya timu yake ambayo kwa upande wa namba ilikuwa imeandikwa rangi zenye kuashiria mahusiano haramu ya jinsia moja na watu waliobadili jinsia kwa pamoja wanajitambulisha kama LGBT+.
Hivi...
Hapo majuzi, timu kubwa ufaransa ya PSG ilienda kucheza mechi huku wachezaji maarufu wa dini kuu mbili wakiwa wamevaa jezi za kuhamasisha na kuutetea ushoga na usagaji lakini kuna mchezaji moja Idrissa Gueye alikataa kuvaa hizo jezi akilalamika ni kinyume na anachoamini
Hili suala si la kidini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.