Nakubaliana na Kigwangalla kwenye hili. Tatizo letu kubwa kwenye mradi huu ni wizi wa viongozi wa mradi.
Je wanaibaje? Viongozi wanaojinufaisha na mradi huu hawataki kata kata utumiaji wa kadi za mabasi ufanikiwe kwasababu ukifanikiwa hawataweza kuiba. Hivyo kila siku wana hakikisha kuna...
Mwanza. Mtoto Nassoro Rashid Nassoro (1) anapigania maisha yake katika wodi za Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza kutokana na madhara ya kiafya ambayo wazazi wake wanadai ni uzembe wa madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Tanzanite Jijini Mwanza.
Matatizo ya mtoto Nassoro...
Na Fadhili Mpunji
Moja kati ya mambo ambayo China iliyataja mwanzoni wakati wa kuanzishwa kwa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC, ni kuanzisha maeneo maalum ya uchumi (Special economic zones- SEZs) ili kuhimiza uzalishaji wa bidhaa za viwanda, na kuzisafirisha katika masoko ya...
Kwanza tuweke mambo sawa tozo ni aina ya kodi. Hivyo tusiongelee tozo kama vile sio kodi.
Mimi binafsi sijaona ubaya wowote wa serikali kuweka tozo na nina fikiri hakuna njia nyingine kwa wakati huu zaidi ya tozo na nitajaribu kuweka hoja hapa vizuri. Tanzania kama nchi inayoendelea inahitaji...
Ndipo nilipokaa chini pembezoni kidogo na ukingo wa kitanda changu nikiwa nimegubikwa na shauku kubwa ya mafanikio. Kama Kijana mdogo nijuaye kwa hakika na dhairi shairi kua Maisha haya ni duara, hivyo nisimame imara kuligombania Kombe na kuanzisha safari yangu ya Mafanikio. Nikijua...
Wananchi wanaunga mkono Vipaumbele vya Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu, Vipaumbele hivyo ni;
Vituo vya Afya
Kilimo
Maji
Usafiri na Usafirishaji
Elimu
Ajira
Usalama wa Chakula
Huduma ya Umeme
N
At the invitation of the President, Mr. Fletcher-Cooke, special representative of the Administering
Authority for the Trust Territory of Tanganyika, Marealle II, Paramount Chief of the Chaggas, and Mr. Julius K. Nyerere, President of the Tanganyika African National Union, took places...
Dkt. Abbasi, Mchengerwa Kumpokea Balozi wa Amani Duniani Keshokutwa, anakuja kuunga Mkono Royal Tour
Aug 23, 2022 Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema, Agosti 23, 2022, Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa ujio wa Balozi wa Amani Duniani na Kiongozi...
Babu yangu Mzee Mkulima alijulikana sana kijijini kutokana na jitihada zake katika kilimo. Ingawa jamii yetu ilikuwa na uchaguzi wa mazao ya kilimo, na tulipendelea haswa kahawa, ndizi na magimbi; Babu alijaribu kulima kila kitu. Kuna wakati alitoka kwetu milimani na kwenda kujaribu kilimo cha...
Asilimia kubwa ya Wamarekani waliopiga kura ya maoni kuhusu uamuzi wa FBI kufanya upekuzi nyumbani kwa Rais wa zamani wa taifa hilo, Donald Trump wamesema upekuzi uendelee na hakuna kibaya kuhusu uamuzi huo.
Kituo cha NBC News kilianzisha mchakato wa kura ya maoni kuona ni sahihi kile...
Wengi wanaolialia kuhusu Tozo lukuki wameichagua CCM na wanaishabikia wakuidhani wanaikomoa CHADEMA.
Na muhimiza huyo Mwigulu azidishe tozo aongeze zaidi ya maradufu asiishie hapo tu atoze watu kodi hadi wanapotoka majumbani mwao.
No mercy. Watu wakila mlo mara moja kila baada ya siku tatu...
Baada ya kuona nchi inapiga hatua kwa kasi chini ya Rais mpendwa wa awamu ya sita, madaui wa taifa kupitia vibaraka wao wameibuka kwa kasi sana
Mama hata halali kabisa akiwaza jinsi ya kuwaletea maendeleo hili lilithibitishwa na Gerson Msigwa lakini bado kuna wajinga wanalalamika tu
Tozo...
Ifike wakati Sasa Afrika tuungane Katika kutetea masilahi yetu. Linapokuja suala la Afrika lisiachwe liwe la mtu mmoja,au taifa moja.
Afrika tuoneshe kujitambua.
Marekani imeanza mazoez ya kijeshi mpakani kwa China kwenye boda inayopitia India ,hii ni baada ya China kuanza kupeleka vifaa na zana za kijeshi mpakan mwa Taiwan.MUNGU ATUNUSURU SISI HUKU MAANA HUU MKONO UKIPIGWA DUNIA ITASIMAMA KWA MDA
CNN)The United States is to take part in a joint military...
Licha ya kejeli na dhihaka alizofanyiwa Rais Samia Suluhu Hassan, na wapinga maendeleo wa nchini juu ya utekelezaji miradi mbali mbali ikiwemo ya Uviko-19 lakini bado hakurudi nyuma kuleta mabadiliko.
Aliweka pamba masikio na kusonga mbele juu ya kusimamia miradi mikubwa ya uwekezaji pamoja na...
RIDHIWANI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI CHALINZE AMBAYO INAZIDI KUMULIKWA NA SERIKALI YA RAIS SAMIA. WADAU WAMUUNGA MKONO.
Jana Jumatano Julai 28, 2022 Mbunge wa Chalinze ambae pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amekagua maendeleo ya ujenzi wa...
Mgombea mweza wa Urais nchini Kenya, kupitia Kenya Kwanza, Rigathi Gachagua amemtuhumu Rais Uhuru Kenyatta kumtuma Mshauri wake kumwonya iwapo angeendelea kumuunga mkono Rutto lingempata jambo
Madai hayo yanakuja baada Mgombea huyo kudai kuwa kukamatwa na kufungiwa kwa akaunti zake za benki kwa...
jana Genta a.k.a popoma bobefu lilishusha exclusive kali kabisa ya mwaka kuhusu simba sc. likashusha points 7 matata sana za ndani ndani
Wakati nikiwa na digest exclusive hiyo nikapokea simu za washkaji wangu wa tawi la shinyanga na misungwi huko karibu na kolomije home to the greatest Daud...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.