Tuliosikiliza mistari ya Mwenyekiti na kumuelewa tumepata ujumbe wa kishujaa kwa miaka zaidi ya 100 ijayo.
Tumepata fikra mpya yaani kuuendeleza Msingi na muhimili wa Taifa hili ambao ni Ujamaa na Kujitegemea.
Kazi iliyobaki ni kuhuisha ujamaa na kuuboresha kulingana na hali ya dunia ya...
Wanajukwaaa wazima nyie?
Kiasili mimi ni mzaliwa kutoka Nyanda za Juu Kusini ndani ya Mkoa flani hivi. Elimu yangu niliipata mkoa wa Kaskazini (Kilimanjaro) kuanzia kidato cha pili hadi Chuo nilisoma kule baada ya maza kupata kazi Kilimanjaro.
Nilibahatika kupata Rafiki yangu ambaye amekuwa...
"Nimeshiriki mazungumzo ya amani ya Congo DR na hata kushauri mambo mema ila nasikitika mwenzangu hataki kuwajibika kwa upande wake."
"Wanasema Rwanda inaipiga Congo DR ila hawasemi wala hawaoni jinsi Congo DR inavyoivamia mara kwa mara Rwanda."
"Napenda mno amani na sipendi machafuko kwani...
Ndugu zangu hiyo ndio kauli ya wakulima. Ndio kauli ya pamoja, Ndio msimamo wa wakulima, Ndio uamuzi wa wakulima, Ndio Hitimisho la wakulima. Wakulima wanasema na kuapa kuwa watamuunga mkono Rais Samia katika uongozi wake wa kuendesha serikali yake ya CCM, wameapa kumpa ushirikiano wa kutosha...
Ndugu zangu utulivu,amani na mshikamano uliopo hapa nchini ni kutokana na serikali ya Rais Samia kuaminika na watanzania,kuungwa mkono na kupewa ushirikiano wa kutosha kunakotokana na kuendeshwa kwa uwazi na ukweli kwa serikali inayoongozwa na Rais wetu Mama Samia.
Watanzania wanafahamishwa na...
Ndugai alipotoa TAHADHARI kwa serikali ya wamu ya 6 kuwa nchi yetu itapigwa mnada endapo itaendelea kukopa fedha hovyo toka nje, CCM na jumuiya zake zote walimjia juu. Na hata siku anamwapisha mrithi wa Ndugai mama aliwashukuru wanaccm wa ngazi zote wakiongozwa na wenyeviti wa mikoa kwa...
Ilikuwa ni miaka takriban 13 Iliyopita, mwaka 2009, siku moja niliamka na kukuta nimechorwa alama hiyo ya kujiviringisha, na alama hiyo ilichorwa kwa kutumia kitu chenye ncha kali (nilihisi ni wembe), ambapo alama hiyo ilikuwa imechongwa juu kwenye dole gumba la mkono wa kulia, kwenye ile ngozi...
Haki ni haki bila kujali maslahi binafsi ya awaye yote. Kwa bahati mbaya tumekuwa wabinafsi tusiotaka kuwa sehemu ya kupigania haki hizo.
Tumekuwa kama wapenzi watazamaji wengine wanapojaribu kuuwasha moto.
Imekuwa fulani kasema hivi, fulani kasema vile. Sisi tumesema nini fulani anaposema la...
Kwani kuna nini huko?
Hii ni 2022 haijafika hata 2024, kinacho nishangaza ni kila anaesimama anatulazimisha tumuunge mkono rais Samia. Nabaki najiuliza, kuna nini kwani?
Kuna kitu hakiko sawa huko?
Halafu mtu anatulazimisha tumuunge mkono halafu akiachia mic anakuja kulalamika kama sisi tu...
Vijana wanne kwa kila wilaya wameandaliwa kufanya maandamano Mkoani Dodoma baada ya mkutano mkuu wa uchaguzi wa UVCCM.
Maandamano hayo yatakuwa ya kuonyesha vijana wanamuunga mkono Mama Samia awe mgombea pekee wa CCM Mwaka 2025.
Pia vijana hao watatoa tamko kali sana kwa wanaompinga Mama Samia...
Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana.
DKT BASHIRU, SONGA MBELE
Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku.
Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda.
Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.
Waigizaji hao wa kike, Hengameh Ghaziani na Katayoun Riahi wanashikiliwa wakidaiwa kwenda kinyume na mamlaka kwa kutovaa mavazi ya kufunika vichwa vyao hadharani na kuunga mkono maandamano yanayoendelea.
Maandamano yanayoendelea yamesababisha vifo vya watu wengi na wengine kujeruhiwa chanzo...
Tupate habari kamili. Katika jambo ambalo limeonesha kushangaza baadhi ya watu na wenyeji kutoshangaa sana ni tukio la kisayansi ambalo limetokea baada ya mtoto mmoja kurusha jiwe kwa mbwa na hatimaye mkono huo kuganda.
Tukio hilo limetoka Katika Kijiji cha Nansio Wilaya ya Ukere Mkoa wa Mara...
Kijana huyo ambae hajafahamika majina alimponda mbwa na jiwe jana usiku majira ya saa 2 usiku.
Tukio hilo la kustaajabisha liliyokea/limetokea Ukerewe Nansio maeneo ya Bakwata (Musoma road) mwisho wa lami.
Picha kukujia punde
Ndugu zangu mnyonge mnyongeni lakini Haki Yake mpeni, Rais Samia Anastahili kupewa Haki yake, Haki ya kupongezwa, kuungwa Mkono, kupewa Faraja, kutiwa Moyo na kupewa ushirikiano.
Rais Samia Alipokea Nchi katika Kipindi Kigumu Sana kiuchumi, Alipokea Nchi kipindi Cha mlipuko wa ugonjwa wa CoVID...
Dunia inakabiliwa na changamoto kuu mbili sasa;
1. Uharibifu wa Mazingira
2. Kujenga uchumi imara katika mazingira magumu
Kwa kuangalia kuanzia mwaka 2030 sioni mwanasiasa mwenye upeo wa kuiongoza Tanzania kupita kwenye changamoto hizi na kushinda zaidi ya January Makamba.
Kwanini January...
China imeahidi kuiunga mkono Urusi inapokabiliana na nguvu ya pamoja ya nchi za Magharibi, Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi aliripotiwa kumwambia mwenzake wa Urusi Sergey Lavrov wakati wa mazungumzo ya simu siku ya Alhamisi, ambapo maafisa hao wawili waliapa kuunga mkono juhudi zao za kijiografia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.