Ni kweli kuwa vita vya panzi ni furaha ya kunguru.
Hata hivyo kwa mustakabala wetu wakiwamo watoto wa wajukuu zetu, tusiache mbachao kwa msala upitao.
Haina shaka kuwa nyongeza ya kwenye "boom" haina tofauti na punje ya mchele na punje ya almasi kwa jogoo.
Mengine haya ni yale yale...
Masuala ya bei ni masuala yanayohusu uchumi wa soko, yaani bei huwa inaamuliwa na nguvu za demand and supply au huwa tunaita 'Price mechanism'. Muasisi wa falsafa hii ni baba wa uchumi, na mwanafalsafa wa Uskochi Adam Smith kupitia kitabu chake kilichoandikwa zaidi ya miaka 240 iliyopita (1776)...
Kutoka tovuti ya Nation:
https://nation.africa/kenya/news/politics/kenya-has-only-one-president-and-it-is-me-william-ruto-tells-raila-odinga-4101572
Huku kwetu bahati mbaya busara hii ya kutenga muda wa siasa na muda wa kazi imeonekana haina maana. Kampeni zisizokwisha zinaungwa mkono sasa.
Ni ushauri wa bure kwa CHADEMA, mmemtukana sana Hayati ridhikeni sasa tafteni kuungwa mkono na hao
Sukuma Gang.
Hamkuona wenzenu rufiji wakitaja jina la hayati watu wanalipuka kwa shangwe!?
Viongozi wa dini wajifunze kwa nabii mkuu,kuisaidia jamii,Watu wanateseka na maisha
msijilimbikizie Mali
Neno liendane na matendo,msikalie kufukuzana makanisani kulinda maslahi yenu,saidieni watu,isaidieni jamii ipone
Ndugu Zangu Watanzania,
Huo Ni Utabiri wangu kwa jicho la mbali kwa kuangalia Hali ya mambo Inavyoendelea hapa nchini,Kwa namna Rais Samia anavyokubalika,anavyopendwa na watanzania,alivyoiteka mioyo ya watanzania,uchapa kazi wake uliotukuka,Dhamira yake njema katika kulijenga Taifa letu,upendo...
Mchungaji Hananja akihojiwa na Bongo5 (ingia YouTube, kaongea nusu saa nzima) ameeleza uonevu mkubwa wanaofanyiwa na viongozi wakuu wa kanisa, na anasema yeye aliandikiwa barua na kiongozi mkuu wa kanisa kumsimamisha kazi bila mshahara kwa mwaka mzima, bila sababu yoyote ile.
Hananja anasema...
Tunavyozungumza Arsenal anamnyanyasa Tottenham kwa goli mbili kwa sifuri hadi mapumziko!! Anaongoza ligi kwa pointi 8. Moto aliouwasha hauna dalili ya kuzimika, sana sana unazidi makali!! Ni kweli ligi bado sana lakini dalili za mvua ni mawingu!!
Musimu huu Liverpool na Chelsea ni choka...
Sijawajua vizuri sana viongozi wa kada zingine, lakini nadiriki kusema hawa wanaopanda ngazi na kuwa viongozi wa walimu hubadilika na kuwa na roho ngumu sana!
Katika karne hii ya sayansi na teknolojia, kizazi hiki cha computers ambapo hata vishikwambi vimeanza kufikiriwa kugaiwa kwa kila...
Ndugu zangu watanzania,
Ili chama Cha siasa kipate uungwaji mkono kutoka kwa watu ,Taasisi,Jumuiya,Rika mbalimbali,Makabila yote,Kanda zote na Dini zote Ni lazima Safu ya uongozi wa Juu wa chama husika iwe na viongozi wanao aminika na kuheshimika,wanao kubalika, wenye maadili na misimamo,wenye...
Ndugu Zangu,
Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa kwa hakika Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan Ameshinda katika mapambano ya kulijenga Taifa letu na kuwaongoza watanzania katika ujenzi wa Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe na Taifa letu limeshinda kwa kubaki likiwa Imara na Tulivu.
Rais Samia...
Umekuwa wakati mzuri sana kuichezea klabu ya Young Africans SC (Yanga) klabu yenye historia kubwa na ya kuvutia chini na Afrika yote.
Tumekuwa na nyakati nyingi mchanganyiko, tulifurahi pamoja pale furaha ilipokuja elekeo wetu na tulihuzunika pamoja nyakati mbaya zilipotutokea.
Nitakumbuka...
Baada ya kutazama hotuba ya kiongozi wa upinzani Freeman Mbowe huko Marekani nimefurahi sana kwa jinsi alivyoonyesha uzalendo. Ikumbukwe Mbowe katoka familia ya mpigania uhuru wa nchi hii hayati Aikaeli Mbowe.
Ilikuwa ikishangaza sana kuona Mbowe akiwa kinyume kabisa na maono ya baba yake...
Chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress kimewateua wajumbe wawili kugombea nafasi ya uongozi wa chama hicho. Mshindi wa kinyangànyiro hicho atagombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024.
Wajumbe hao ni mwenyekiti wa sasa Cyril Ramaphosa ambaye pia ni rais wa Afrika...
Sina haja ya kusalimia, natumaini kila mmoja aliepata nafasi ya kuona uzi huu anapumua.
Kuna kipindi kama binadamu tunapitia magumu mpaka unajiuliza kosa lako ni nini?
Je, wewe ni mkosefu kushinda wengine?
Je, Mungu amekuacha ujaribiwe?
Au je kuna mkono wa mtu kwenye magumu unayopitia?
Ni...
Katika hali ya kuishi umungu ndani yetu na kumuishi mungu wetu, Kwa rehema zake tukajae mioyo ya huruma na upendo, tukawashike mkono enye shida mfano wagonjwa hospitalini Kwa chochote kile, iwe pesa, iwe chakula etc.
Sambamba na hilo pia tusiwasahau wajane, yatima na wasiojiweza kama wenye...
Ndugu zangu wafanyabiashara mbalimbali wameipongeza Serikali Ya Rais Samia kwa kuwasaidia kufanya Biashara kwa Amani na utulivu kwa kuzingatia Sheria kanuni na Taratibu,wafanya Biashara wamefurahishwa na namna wanavyopata ushirikiano kutoka kwa serikali yao,wanafurahishwa na namna Elimu hasa...
Ubelgiji imeitolea wito nchi ya Rwanda "kusitisha msaada wowote" kwa waasi wa M23 wanaoendelea na mapigano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, baada ya uchunguzi wa Umoja wa Mataifa kubaini kuwa kundi hilo liliwaua raia 131 mwezi uliopita.
Wizara ya mambo ya nje ya Ubelgiji ilisema jana...
Ni vyema tukubali kuwa kazi inaendelea. Miradi mikakati inakwenda vizuri. Mfano daraja la Wami limekamilika. Sgr kipande cha Dar Moro kipo tayari na na kitaleta mabadiliko ya maisha kwa wananchi.
Tumuunge mkono mama ili kazi iendelee. Hakuna haja ya kuwa na makundi na na kuleta kauzibe kwa mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.