Naandika kwa masikitiko makubwa sana kutoka moyoni mwangu,naamini baadhi ya Viongozi wa Chadema kwa makusudi wamekubali kutapeliwa na wametapelika dhidi ya matapeli wa CCM
Hii inadhihilisha ni jinsi gani wako kimaslai zaidi kuliko kuwa kalibu na wananchi wao, waliokipenda chama kwa moyo mmoja...